HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ndo utafute pesa sasaHii kesi pesa imetembea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo utafute pesa sasaHii kesi pesa imetembea
Mbona mmeshindwa kutumia uenyeji kutajirika au kuiondoa ccm?Hakuna watu wa hovyo kama polisi! Wanaharibu sana kesi za mauaji kwa tamaa zao! Ifike mahali wananchi wamalize hizi changamoto kienyeji! Sumbawanga/Katavi/Kigoma siyo mbali!
'Hiz sura na makalio yasikupofushe hakuna jipya'uko sahihi sana,wengi wameumia hapo.Angalia mfano wakina Diamond,Ali Kiba,Harmonize n.k,wanajitahidi kwa pesa zao kuchukua wanawake walio wazuri ajabu,lakini baada ya muda mfupi unashangaa mahusiano yamevunjika...Daah polen sana Auntuja polen sana dada zangu, na wazee wangu. Rafiki yangu Erasto Mungu azid kukupa pumziko la Aman tuonane ile asubuh iliyo njema. that's how life it's. Jambo la muhimu kukumbuka daima ni hili.
Kabla hujaoa piga magoti funga hata mwez tu muombe Mungu akupe mke wa kuwa nae maishan. Mungu sio dhalimu utapata. Unaweza kuoa mtu mmoja akasambaratisha familia nzima. Hiz sura na makalio yasikupofushe hakuna jipya aisee. Mtwisheni Mungu fadhaa zenu mbona liko wazi. Watu wengi wanateseka coz ya kwenye maamuz ya kuoa. Kumbuka wanawake wameamka na wanaume itabid tuwe macho. Kuna maisha baada ya hela ambayo ni mateso matupu.
Si unaona anavyo finya finya macho hapoo kama anaumwa Red eyesKibatala kakunja sichini ya B 2 hapo
Kama ulimsikiliza kwa makini na kwa kutafakar alichosema siku zile Rostam Aziz wala hutashangaa kilichotokea. Kuna kitu kinaitwa siasa za mahakaman mzee hata uwe na ushahid live kesi itapigwa dana dana ili upatikane upenyo tu wapite na wewe kama wamedhamiria. That's why kila cku nasema hii life kwa Africa ni kudance according the tune. Tofauti na hapo umeumia.Mambo ya Mahakamani mtu kufungwa ni mpaka iwe proven beyond reasonable doubts (kwahio kama ushahidi ulikuwa na mashaka hata kidogo basi mtu atakuwa hana Hatia)
It is better that ten guilty persons escape than that one innocent suffer. - Ingawa na huyu kwa kukaa ndani muda wote huu hata kama alikuwa innocent inaonesha walakini katika kushughulikia haya mambo kwa haraka....
Anyway Andhaa Kanoon - Na hii sio Bongo tu bali dunia kwa Ujumla
Utapeli mtupu, ndugu wa marehemu wamelaani sana.Ila sheria hizi, bas tyuuh
Narudia tena Hii sio Africa tu.....; Exhibit A: O. J. Simpson CaseKama ulimsikiliza kwa makini na kwa kutafakar alichosema siku zile Rostam Aziz wala hutashangaa kilichotokea. Kuna kitu kinaitwa siasa za mahakaman mzee hata uwe na ushahid live kesi itapigwa dana dana ili upatikane upenyo tu wapite na wewe kama wamedhamiria. That's why kila cku nasema hii life kwa Africa ni kudance according the tune. Tofauti na hapo umeumia.
Rais anaruka ruka tu na ndege kila siku.Shida sio kakolaki.
Kakolaki ni mzoefu kwenye kesi za jinai kafanya miaka mingi tangia akiwa wakili aa serikali , kapitia pia tume ya kupambana na madawa ya kulevya, huko ndiko anakopajua.
Tatizo lipo kwenye upepelezi, haufanyiki vizuri, niliwahi kushauri hapa na pia tume ya haki iliyoundwa na kumpa ripoti Rais Samia ilikuja na maoni kama hayo kuwa iundwe taasisi maalum ya upelelezi wa makosa ya jinai.
Bila kufanya hivyo tutarudi hapa kulaumiana kila siku.
Kwenye kesi kama hizi ambazo serikali au viongozi wa chama hawana interest wanaacha mpambane na hali yenu tu.Kwa hyo kumbe leo mahakama zipo huru? Tofaut na mnavyo imba siku zote
Nani kakudanganya ushahidi ndio kila kitu? Ni lazima uwe na mawakili mazuri hasa kwenye mahojiano na Cross examination ya ushahidi, utetezi, exhibits kama hauwezi tetea hoja vizuri hata kama una ushahidi utaanguka. Mfano Sabaya ushahidi ulikuwepo cha ajabu kosa lilikua kwenye aina ya mahakamai iliyosikiliza kesi! Mambo ya hovyo kabisa mawakili wa serikali.Wakili anaingiaje hapo wakati hapo swala ni upelelezi na vidhibiti hafifu?
Walaumiwe Polisi
Unless tender iwe ya mtu binafsi ila as long as ni serikali na check number inasoma mshahara kila mwezi ufanisi utakua chini sana. Maybe wasiwe na salary ila walipwe based on the tasks they successfully execute wawe tu kama private investigatorsVijana wa kazi, wapewe task na target kama business vile. Wawe na power ya kukamata pia na ikibidi matumizi ya silaha.
Halafu waziachie mahakama zifanye kazi.
Unadhani huyo maza kakaa kibwege?Utapeli mtupu, ndugu wa marehemu wamelaani sana.
Waparw wakifanya yao wasilalamikiwe
Yes, itangazwe tender kama kampuni ya ulinzi. Na wasiingiliwe mambo yao. Kila baada ya miaka 5 mkataba mpya kwa kutangaza tender. Check number zinaharibu sana, kama unavyoona mawakili wa serikali.Unless tender iwe ya mtu binafsi ila as long as ni serikali na check number inasoma mshahara kila mwezi ufanisi utakua chini sana. Maybe wasiwe na salary ila walipwe based on the tasks they successfully execute wawe tu kama private investigators
Wewe wanakutafuna kweli mumeo makonda tu katamka kwa kinywa chake kuwa mahakamani kumeozaKwa hyo kumbe leo mahakama zipo huru? Tofaut na mnavyo imba siku zote
Tatizo watu wanachanganya haki na taaluma. Mbele ya sheria kila mtu ana haki (hata muuaji) ya kupewa Wakili wa Kumtetea. Tena Wakili anakwambia useme ukweli wa kilichotokea then baada ya hapo anatafuta weak points ili Mteja wake ashinde kesi. Kwenye kesi hii Wakili aliyekuwa anamtetea Mtuhumiwa hana shida. Tatizo lipo kwa Wapelelezi na Waendesha Mashtaka wetu. Yawezekana hawajajengewa uwezo wa kutosha wa kupambana kisheria na Mawakili Binafsi ambao ni Wabobevu.Wakili anaingiaje hapo wakati hapo swala ni upelelezi na vidhibiti hafifu?
Walaumiwe Polisi
MasumbukoHuyu wakili hakumbuki kilikuwa na wakili anaitwa Lamwai?
Yuko wapi!!