Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Alimuua mme wake akamchinja wifi yake, wewe na ukoo wako mtachomwq petrol
Hakuna uthibitisho; wengi tunaongozwa kwa hisia tu.
Migogoro ya kifamilia hasa mawifi, mashemeji, wakwe inawezekana ikawa chamzo cha matatizo.
Migogoro ya kifamilia hasa mawifi, mashemeji, wakwe inawezekana ikawa chamzo cha matatizo.