Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Sheria haioni ndani kweli pesa. Mawakili wetu wanajua kuchangamkia fursa. Ndio maana Magu alikuwa hataki ujinga
Jamaa walikuwa wanavuta muda kidogo watanzania wasahau
Tafuta pesa sana Utaipenda hii nchi. Kesi ni Biashara nzuri Tanzania
Sasa mngefanyaje kwa mfano?
 
Muuwaji kaachiwa kirahisi, aliuwa mmewe akamchinja wifi ushahidi upo jamani dunia tambala bovu.
 
Alikufa ila walomuua sio waliofunguliwa kesi, jamuhuri imeshindwa kvthibitisha, jamuhuri iwasake wauaji, hiyo ndo hoja ya mwamba
Muuwaji ndo huyo kaachiwa asakwe wapi tena? Limama lile lilimuuwa mme, likamuua na wifi kupoteza ushahidi
 
Ni aibu kwa Jamhuri kuwashikilia watuhumiwa kwa miaka zaidi ya 8 huku wakiwa hawana ushahidi uliojitosheleza.

Wafungue shauri upya sasa la mauaji ya marehemu ili wahusika halisi akamatwe na kufunguliwa mashtaka ya mauaji.
Wauaji wa marehemu si walishiahukumiwa au mi nachanganya mafiles
 
Hakimu anapomuachia mtuhumiwa hua anataja na "grounds“ alizotumia to make such decisions. Yaan vipengele vilivyompa doubt ni vipi.

Huyu wa hii kesi alisemaje kwani?
 
Hakimu anapomuachia mtuhumiwa hua anataja na "grounds“ alizotumia to make such decisions. Yaan vipengele vilivyompa doubt ni vipi.

Huyu wa hii kesi alisemaje kwani?
Huo ndo ulipaswa kuwa mjadala, watu wanaongozwa na hisia!
 
Kesi ya Mbowe afande Kingai na wenzake wapelelezi wabobezi yaani ndio wanategemewa na jeshi ila waligeuka kituko mbele ya mahakama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…