Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ASANTE SANAKesi ya mjane wa bilionea Msuya: Jinsi alivyojibu tuhuma za kumuua wifi yake
Dar es Salaam. Mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea Msuya; Miriam Steven Mrita, ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwa hakuhusika na mauaji ya wifi yake kwani hata sababu inayotolewa si ya kweli. Miriam alitoa...www.jamiiforums.com
Ngoja wajePasi na shaka leo mjane wa bilionea Msuyq atakua uraiani baada ya miaka 8 jela, ushahid uliotolewa kulingana na hukumu inayoendelea kusomwa na mh jaji,basi mtuhumiwa anaachiwa mda si mrefu
Za ndani kabisa mtuhumiwa kashinda kesi ngoma imemwangukia beki 3,kua ndo alikua mtu wa mwisho kabla Marehemu kuuawaKesi inasemaje huko aisee mbona hakuna update?
Kwani huyo housegirl si alikiri kutumiwa na huyo mke wa Msuya kufanikisha hayo mauaji?Ngoma imemuangukia beki 3 eti ndo alikua mtu wa mwisho kabla Marehemu kuuliwa
Revo ndio alikuwa mchinjaji?Huyu ataachiwa labda wanaweza kumbana Revo huyo jamaa aliyekua anakula tunda la kati la mama,
Huyo hausigel baada ya huyo aneth kuuawa alitoroka wakamtafuta karibu miezi mitatu ndio akamatwa Kama mshtkiwa badae akapangwa akawa shahidiKwani huyo housegirl si alikiri kutumiwa na huyo mke wa Msuya kufanikisha hayo mauaji?