bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ipo wazi ukiwa na pesa unakaaje jela sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama house girl alishika panga na kuchinja basi yeye ndio muuaji hao wengine walishiriki maujiHold on! House girl ndio alimchinja Aneth?
Na alifanya hivyo kwa maagizo kutoka kwa nani?
Sasa Mkuu miaka 8 mchezo? Mi mambo ya kesi nayaogopa sana.Nina mdg wangu alikuwa na kesi ya mauji alikaa miaka 8 ..akashinda kesi..yuko uraiani sasa hv ..kesi za mauji kushinda ni rahisi sana .na kufungwa ni rahisi pia.. ukijua kucheza na kesi na vifungu
Ashaachiwa msala.Kwani huyo housegirl si alikiri kutumiwa na huyo mke wa Msuya kufanikisha hayo mauaji?
Hahah Beki tatu alirudishwa kijijini Kabla mauaji Hayajafanyika.Kwani huyo housegirl si alikiri kutumiwa na huyo mke wa Msuya kufanikisha hayo mauaji?
Kwa kesi ya mauaji miaka 8 midogo..maana ukikutwa na hatia kunyongwq au kifungo cha maishaSasa Mkuu miaka 8 mchezo? Mi mambo ya kesi nayaogopa sana.
Familia walitoa ushahidi kuwa hakuna mgogoro wa mirathi kila kitu walgawana na wale ambao hata hawakuwa wanufaikaAtoke akafaidi mali za jasho lake,kifuatacho hapo watamalizana kwa kuuwana kisa Mali,kulipizana visasi
Labda hajui kujitetea na hana pesa ya kumlipa wakili.Kama house girl alishika panga na kuchinja basi yeye ndio muuaji hao wengine walishiriki mauji
Alikuwa amejificha chanika alipoona anatafutwa sana akakimbilia Moshi baada ya miezi mitatu akajisahau akatoka akamatwaHahah Beki tatu alirudishwa kijijini Kabla mauaji Hayajafanyika.
Kauli ya mtoto wa marehumu " i see Two guys kill my mom in front of my eyes " .
Hahahahahaha..sasa huyo usikute wanaenda kumchomoa mbele ktk rufaa ..wamepisha kwanza awamu ya kwanza ya hukumuLabda hajui kujitetea na hana pesa ya kumlipa wakili.
Kwa akili ya kawaida kweli housegirl auwe namna ile
Mkuu ukimuuliza mdogo wako aliua kweli au walimsingizia tu?Kwa kesi ya mauaji miaka 8 midogo..maana ukikutwa na hatia kunyongwq au kifungo cha maisha
Katika hii kesi nilijifunza mengi sana mpk inaisha na kurudi na dogo mtaani
Poleni sana. Mimi nina roho nyepesi hizo hekaheka sitaziweza.Kwa kesi ya mauaji miaka 8 midogo..maana ukikutwa na hatia kunyongwq au kifungo cha maisha
Katika hii kesi nilijifunza mengi sana mpk inaisha na kurudi na dogo mtaani
Hahahahahaha..bila kukusudia maana ulikua ugomvi wa mtaani..kifupi aliuaMkuu ukimuuliza mdogo wako aliua kweli au walimsingizia tu?
Mbona mnanichanganya sasa? Wengine hapa wanasema kesi imemuangukia msaidizi kuwa ndiye aliyeua.Hahah Beki tatu alirudishwa kijijini Kabla mauaji Hayajafanyika.
Kauli ya mtoto wa marehumu " i see Two guys kill my mom in front of my eyes " .
rudiaHivi kweli ukiwa na pesa na unahitaji kumpoteza mtu mmoja unaweza kufanya mauaji ya kishamba kama Yale? Yaani unamtumia hawara yako ndo awe mastermind kweli?
Sijawahi kuelewa ushamba kama huu, Kuna jamaa nilikua nae mida flani tulikua tunaongelea hili swala maana jamaa tunamjua, akawa ananiambia roho ya mtu Ina kama mkosi flani, ukitaka kuitoa akili ni kama inaruka unafanya ujinga mwingi
Dada ake hayakukuta tu..mbn utaziweza hizo heka heka na utajikuta unajua taratibu zote za polisi..mahakamni hadi gerezani ...Poleni sana. Mimi nina roho nyepesi hizo hekaheka sitaziweza.
kweliThere is no way ukaua usijulikane, hata mkiwa wawili tu.
Hakuna mtu anayeweza kuua Asiache alama