Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Dada ake hayakukuta tu..mbn utaziweza hizo heka heka na utajikuta unajua taratibu zote za polisi..mahakamni hadi gerezani ...
Sie bibi mkubwa alikua analia kila siku iendayo kwa Mungu
Mi ndio maana Mungu ananiepushia tu maana sina ambacho nitaweza zaidi ya kulia tu.
Kituo tu cha polisi nakiogopa kupita maelezo!
 
Mi ndio maana Mungu ananiepushia tu maana sina ambacho nitaweza zaidi ya kulia tu.
Kituo tu cha polisi nakiogopa kupita maelezo!
Hahahahahaha...dada ake hayajakukuta na usiombe yakukute ..maana unaeza usifanye wewe.akafanya mtu wa karibu yako hapo huna budi kuingia
 
Pasi na shaka leo mjane wa bilionea Msuya atakua uraiani baada ya miaka 8 jela.

Ushahidi uliotolewa kulingana na hukumu inayoendelea kusomwa na mh jaji, basi mtuhumiwa anaachiwa muda si mrefu.
Yaani hata mimi ninaona kabisa huyu mama atakuwa huru.Sema maiti hana haki jamani.R.I.P mdogo wa Msuya.
 
Kesi ya mauaji ni hatari! Huu ni mwaka wa 8 sasa tokea 2016 ndio hukumu inatoka.

Ni kuomba Mungu tu msala wa kesi kama hii ukikuangukia unapoteza kila kitu.

Nakumbuka kama hukumu ilitoka na hii ilikuwa rufaa (wanaofuatilia zaidi watasahihisha kama sipo sawa)
 
Back
Top Bottom