Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Tume jinsi,naimani wamehakikisha a/c zote zimebaki na hela ya kawaida.
7years drama nyingi za miamala.
Naimani moyo wake unavuja damu
 
Na huyo Revocatus Everist Muyella naye kachomoka!! Hatma ya kesi ya msingi ikoje? Kama hahusiki, muuaji halisi ni nani? Miaka 8 kwa nini serikali imekomaa na watuhumiwa ambao hawana ushahidi nao wa kutosha?

Nadhani kuna uzembe kwa wapelelezi wetu! Ila pia Wakili Msomi Peter Kibatala na jopo lakr watakuwa wametisha sana. Maana wameigaragaza Jamhuri kwa mara nyingine tena.
Kibatara ni pesa Yako tu hata ukikutwa na kisu chenye damu,kesi ni biashara
 
Back
Top Bottom