Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Shahidi wa upande gani?Huyo hausigel baada ya huyo aneth kuuawa alitoroka wakamtafuta karibu miezi mitatu ndio akamatwa Kama mshtkiwa badae akapangwa akawa shahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shahidi wa upande gani?Huyo hausigel baada ya huyo aneth kuuawa alitoroka wakamtafuta karibu miezi mitatu ndio akamatwa Kama mshtkiwa badae akapangwa akawa shahidi
Upande wa jamhuri..za ndan kabisa zinasema ndugu zake walimpanga awaangushie jumba bovu mke wa bilionea ila uhalisia kuwa hausigel ndio aliuwaShahidi wa upande gani?
Aiseeee, mbona haiingii akilini beki 3 afanye hivyo ili afaidike Nini?Za ndani kabisa mtuhumiwa kashinda kesi ngoma imemwangukia beki 3,kua ndo alikua mtu wa mwisho kabla Marehemu kuuawa
Aiseeee mbona balaaaa?Upande wa jamhuri..za ndan kabisa zinasema ndugu zake walimpanga awaangushie jumba bovu mke wa bilionea ila uhalisia kuwa hausigel ndio aliuwa
Hold on! House girl ndio alimchinja Aneth?Upande wa jamhuri..za ndan kabisa zinasema ndugu zake walimpanga awaangushie jumba bovu mke wa bilionea ila uhalisia kuwa hausigel ndio aliuwa
Aliua kwa manufaa Gani sasa, ukweli upo wazi mke wa marehemu na Revo ndo walikua na conflict of interest na huyo dada aliyechinjwa baada ya yeye kuchaguliwa na ndugu kua msimamizi wa mirathiUpande wa jamhuri..za ndan kabisa zinasema ndugu zake walimpanga awaangushie jumba bovu mke wa bilionea ila uhalisia kuwa hausigel ndio aliuwa
Tutafute pesa, kesi imemwangukia asie na kitu. Beki 3. 😁 Inasikitisha.... Hivi Kibatala alikuwa upande gani?Aliua kwa manufaa Gani sasa, ukweli upo wazi mke wa marehemu na Revo ndo walikua na conflict of interest na huyo dada aliyechinjwa baada ya yeye kuchaguliwa na ndugu kua msimamizi wa mirathi
Sasa let's say huyo house girl ndo alimchinja, alafu apate Nini sasa?? Na upande wa jamhuri Wana ushahidi wa vinasaba(DNA) inalomlink Revo na tukio Moja kwa Moja
Hawa wataachiwa tu maana mwenye pesa hafungwi ila walifanya mauaji ya kishamba kabisa kuwahi kutokea
Mauaji ya kijanja yakoje Mkuu? Wao walifeli wapi hadi uyaite ya kishamba?Aliua kwa manufaa Gani sasa, ukweli upo wazi mke wa marehemu na Revo ndo walikua na conflict of interest na huyo dada aliyechinjwa baada ya yeye kuchaguliwa na ndugu kua msimamizi wa mirathi
Sasa let's say huyo house girl ndo alimchinja, alafu apate Nini sasa?? Na upande wa jamhuri Wana ushahidi wa vinasaba(DNA) inalomlink Revo na tukio Moja kwa Moja
Hawa wataachiwa tu maana mwenye pesa hafungwi ila walifanya mauaji ya kishamba kabisa kuwahi kutokea
Huyo Dada hakuchaguliwa kusimamia mirathi wala hsuwa mnufaika ila mjane alimpa milion 78Aliua kwa manufaa Gani sasa, ukweli upo wazi mke wa marehemu na Revo ndo walikua na conflict of interest na huyo dada aliyechinjwa baada ya yeye kuchaguliwa na ndugu kua msimamizi wa mirathi
Sasa let's say huyo house girl ndo alimchinja, alafu apate Nini sasa?? Na upande wa jamhuri Wana ushahidi wa vinasaba(DNA) inalomlink Revo na tukio Moja kwa Moja
Hawa wataachiwa tu maana mwenye pesa hafungwi ila walifanya mauaji ya kishamba kabisa kuwahi kutokea
Kibatala alikua anamtetea mke wa marehemu msuya, ukiwa na hela unachagua best lawyer availableTutafute pesa, kesi imemwangukia asie na kitu. Beki 3. 😁 Inasikitisha.... Hivi Kibatala alikuwa upande gani?
Hold on! House girl ndio alimchinja Aneth?
Na alifanya hivyo kwa maagizo kutoka kwa nani?
Bado tunafuatilia kwa kina kujua hasa aliagizwa na nani,japo sio kesi ya kwanza hauzigel kuuwa bos Kuna kesi nyingi tu hapa nchinHold on! House girl ndio alimchinja Aneth?
Na alifanya hivyo kwa maagizo kutoka kwa nani?
Kibatala mpuuzi yule alikuwa upende wa mtuhumiwa,mjane wa bilionea msuyaTutafute pesa, kesi imemwangukia asie na kitu. Beki 3. 😁 Inasikitisha.... Hivi Kibatala alikuwa upande gani?
Hivi kweli ukiwa na pesa na unahitaji kumpoteza mtu mmoja unaweza kufanya mauaji ya kishamba kama Yale? Yaani unamtumia hawara yako ndo awe mastermind kweli?Mauaji ya kijanja yakoje Mkuu? Wao walifeli wapi hadi uyaite ya kishamba?
Nina mdg wangu alikuwa na kesi ya mauji alikaa miaka 8 ..akashinda kesi..yuko uraiani sasa hv ..kesi za mauji kushinda ni rahisi sana .na kufungwa ni rahisi pia.. ukijua kucheza na kesi na vifunguKesi ya mauaji ni hatari! Huu ni mwaka wa 8 sasa tokea 2016 ndio hukumu inatoka.
Ni kuomba Mungu tu msala wa kesi kama hii ukikuangukia unapoteza kila kitu.
There is no way ukaua usijulikane, hata mkiwa wawili tu.Hivi kweli ukiwa na pesa na unahitaji kumpoteza mtu mmoja unaweza kufanya mauaji ya kishamba kama Yale? Yaani unamtumia hawara yako ndo awe mastermind kweli?
Sijawahi kuelewa ushamba kama huu, Kuna jamaa nilikua nae mida flani tulikua tunaongelea hili swala maana jamaa tunamjua, akawa ananiambia roho ya mtu Ina kama mkosi flani, ukitaka kuitoa akili ni kama inaruka unafanya ujinga mwingi
Kumtumia hawara sio shida, shida ni kwamba ameiva katika hizo medani?Hivi kweli ukiwa na pesa na unahitaji kumpoteza mtu mmoja unaweza kufanya mauaji ya kishamba kama Yale? Yaani unamtumia hawara yako ndo awe mastermind kweli?
Sijawahi kuelewa ushamba kama huu, Kuna jamaa nilikua nae mida flani tulikua tunaongelea hili swala maana jamaa tunamjua, akawa ananiambia roho ya mtu Ina kama mkosi flani, ukitaka kuitoa akili ni kama inaruka unafanya ujinga mwingi
Hold on! House girl ndio alimchinja Aneth?
Na alifanya hivyo kwa maagizo kutoka kwa nani
Kwani huyo housegirl si alikiri kutumiwa na huyo mke wa Msuya kufanikisha hayo mauaji?