Mjane wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haijamkuta na hatia ya mauaji ya Aneth Msuya

Kutafuta haki mahakamani sometime sio,
 
Kwa nini wengi wanapinga hii hukumu utadhani wana uhakika kuwa ni yeye aliua? kwani huyo dada wa ''bilionia'' aliyeuawa ndugu zake hawana fedha? Wazazi hawakubakia na chochote?
Vyombo vya dola vifanye uchunguzi viwakamate wauaji kama sio hao maana ndio wenye jukumu la kulinda raia na mali zao.
Haipaswi kuachwa hivi hivi itakuwa Taifa la namna gani mtu achinjwe kisha uchunguzi usifanyike kukamata watuhumiwa na kuwashitaki?!
 
Walishindwa kipindi hicho, wataweza sasa?
 
Hongera? Our legal system is very corrupt. Wenye jinai na hela ndio hu walk away with it. Ila the innocent are always getting shoved behind the bars.

'Innocent until proven guilty beyond reasonable doubt' does not exist in Tanzania.
Kiukweli hii inafikirisha sana, atleast tungepata justice ya yule dada. Aliuawa kinyama sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…