BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,534
- 11,011
Duh,sawa mkuu.watajulia wapi hayo ivi vitoto vya JF,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh,sawa mkuu.watajulia wapi hayo ivi vitoto vya JF,
Basi fundi wangu aliniibiaKila nyumba inayojengwa inapitia hatua hio. Zinakaa sana zile na ukiiharibu/ukiikata/ukiivunja unalipa mpya.
Oya mzee wa furushi za mchanga hawa jamaa walikukataa majuzi eti kuzika pesa kumbe walikuwa wana note nondo zako kajenga bana mpaka Renta 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂watajulia wapi hayo ivi vitoto vya JF,
Ukianza ujenzi utajuaDuh
Katika fani uliyonayo au biashara unayofanya au mazingira unayoishi siyo kila mtu ana experience nayo unapokuwa unawaelekeza watu jambo elekeza kama hakuna mwenye idea zaidi yako wenye kujua watachangia zaidi na wasiojua watakuwa wamejifunza
Hujaelezea vizuri mfano mbao zinatumika kwenye ujenzi na shughuli nyingine za useremala labda nikikodi mbao si inabidi nizirudishe kwa mwenyewe sasa kazi ambayo naenda kuifanya na hizi mbao ni ipi ikiwa natakiwa kurudisha kwa sababu nimekodi tu sijanunua
Me napataje hela na huyu aliyenikodishia anapataje hela
Na hutakiwi kuikata😀Watu wa hardware wanapiga sana pesa kwenye hii biashara na ukipasua mbao yake unailipa..!!!
mara nyingi ni ujenzi. kwenye kufunga mkanda ama lintelMbao za kukodi
unazitumia kufanya nini
Sio wote wana eneo la kuhifadhi hizo mbao. Wewe unaizungumzia tu hela ya iPhone inayonunua mbao lkn husemi kiwanja hicho ambacho jamaa kajenga na kaweka hizo mbao
Bwana mdogo naona unahangaika kweli. Pamoja na kubadili ID umebaki mtu Yule Yule. Kwenye maisha you can see a glass half full or half empty.Oya mzee wa furushi za mchanga hawa jamaa walikukataa majuzi eti kuzika pesa kumbe walikuwa wana note nondo zako kajenga bana mpaka Renta 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huenda na wengine hawajui hata beam ni nn..ungeeleza zaidi pia[emoji846]
Kweli mjini mipango😀😀😀😀Mbao za kukodi+milunda kwa juma kojogo ye alipewa na bosi wake baada ya kumlindia site+mchanga wa kuvua mto mbezi na sio wa kuchimba mbagara+kokoto tanganyika pacers kwenye zile nguzo tunavunja+cement mifuko thelathini ila mitano fundi said chaurembo kaipiga = 😭😭
Basi fundi wangu aliniibia
Nikamwambia tuchukue za jamaa yangu akasema hazifai tununue mpya
Inawezekana alienda kuchukua kwa mtu wake tu zilizotumika, maana sikuziona kama mpya sana
Hiyo ndo mipango yenyewe ya mjini!Basi fundi wangu aliniibia
Nikamwambia tuchukue za jamaa yangu akasema hazifai tununue mpya
Inawezekana alienda kuchukua kwa mtu wake tu zilizotumika, maana sikuziona kama mpya sana
Hii inafanyika sana ukitaka mbao za lintaLeo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/- haina kodi wala nini maanake mbao ziko uwani kwake. Vijana amkeni fursa zipo zinasubiri uthubutu.
Unadhan..maana kam watu hawajui tu kuwa zina matumizi gan hata beam hawatajua..ni vyema kuwaelewesha😪[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] fala kweli
Mbona unakuwa serious kwenye JokesBwana mdogo naona unahangaika kweli. Pamoja na kubadili ID umebaki mtu Yule Yule. Kwenye maisha you can see a glass half full or half empty.
Kukupeni somo kuwa nyumba sio uwekezaji mzuri haina maana sijengi,dogo nishapita huko pambana Acha roho ya korosho.
Kuna fundi mmoja kwenye kazi zake huwa anakodishaga mashine mfano grinder, drillerLeo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/- haina kodi wala nini maanake mbao ziko uwani kwake. Vijana amkeni fursa zipo zinasubiri uthubutu.
Very true.Sometimes location tunazoishi zinatunyima fursa.
Kulima huwezi unaishi Kinondoni Manyanya.
Kufuga huwezi unakaa Mikocheni Shule ya Msingi.
Kukata mkaa huwezi unakaa Kisiwani Ngilangwa.
Kukodisha mbao huwezi unakaa Mwananyamala Makaburini.
Tuhame jamani tukatafute fursa mbali huko.