Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

watajulia wapi hayo ivi vitoto vya JF,
Oya mzee wa furushi za mchanga hawa jamaa walikukataa majuzi eti kuzika pesa kumbe walikuwa wana note nondo zako kajenga bana mpaka Renta 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Duh
Katika fani uliyonayo au biashara unayofanya au mazingira unayoishi siyo kila mtu ana experience nayo unapokuwa unawaelekeza watu jambo elekeza kama hakuna mwenye idea zaidi yako wenye kujua watachangia zaidi na wasiojua watakuwa wamejifunza

Hujaelezea vizuri mfano mbao zinatumika kwenye ujenzi na shughuli nyingine za useremala labda nikikodi mbao si inabidi nizirudishe kwa mwenyewe sasa kazi ambayo naenda kuifanya na hizi mbao ni ipi ikiwa natakiwa kurudisha kwa sababu nimekodi tu sijanunua
Me napataje hela na huyu aliyenikodishia anapataje hela
Ukianza ujenzi utajua
 
Sio wote wana eneo la kuhifadhi hizo mbao. Wewe unaizungumzia tu hela ya iPhone inayonunua mbao lkn husemi kiwanja hicho ambacho jamaa kajenga na kaweka hizo mbao

Kiwanja cha nini?

Mimi nilipokodi ametengeneza kama kichanja
Mbao zinapangwa kwenda juu

Mbao moja 1000 ukikata au kupasua unalipa na kuna kipande kukata hakuepukiki
 
Oya mzee wa furushi za mchanga hawa jamaa walikukataa majuzi eti kuzika pesa kumbe walikuwa wana note nondo zako kajenga bana mpaka Renta 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bwana mdogo naona unahangaika kweli. Pamoja na kubadili ID umebaki mtu Yule Yule. Kwenye maisha you can see a glass half full or half empty.
Kukupeni somo kuwa nyumba sio uwekezaji mzuri haina maana sijengi,dogo nishapita huko pambana Acha roho ya korosho.
 
Mbao za kukodi+milunda kwa juma kojogo ye alipewa na bosi wake baada ya kumlindia site+mchanga wa kuvua mto mbezi na sio wa kuchimba mbagara+kokoto tanganyika pacers kwenye zile nguzo tunavunja+cement mifuko thelathini ila mitano fundi said chaurembo kaipiga = 😭😭
Kweli mjini mipango😀😀😀😀
 
Basi fundi wangu aliniibia

Nikamwambia tuchukue za jamaa yangu akasema hazifai tununue mpya

Inawezekana alienda kuchukua kwa mtu wake tu zilizotumika, maana sikuziona kama mpya sana
Hiyo ndo mipango yenyewe ya mjini!
 
Leo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/- haina kodi wala nini maanake mbao ziko uwani kwake. Vijana amkeni fursa zipo zinasubiri uthubutu.
Hii inafanyika sana ukitaka mbao za linta
Etc

Ova
 
Sometimes location tunazoishi zinatunyima fursa.

Kulima huwezi unaishi Kinondoni Manyanya.

Kufuga huwezi unakaa Mikocheni Shule ya Msingi.

Kukata mkaa huwezi unakaa Kisiwani Ngilangwa.

Kukodisha mbao huwezi unakaa Mwananyamala Makaburini.

Tuhame jamani tukatafute fursa mbali huko.
 
Bwana mdogo naona unahangaika kweli. Pamoja na kubadili ID umebaki mtu Yule Yule. Kwenye maisha you can see a glass half full or half empty.
Kukupeni somo kuwa nyumba sio uwekezaji mzuri haina maana sijengi,dogo nishapita huko pambana Acha roho ya korosho.
Mbona unakuwa serious kwenye Jokes
 
Leo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/- haina kodi wala nini maanake mbao ziko uwani kwake. Vijana amkeni fursa zipo zinasubiri uthubutu.
Kuna fundi mmoja kwenye kazi zake huwa anakodishaga mashine mfano grinder, driller
Kwa siku au mashine ikilala anampa jamaa 7000 sasa utakuta fundi huyo anakuwaga na kazi za siku mpaka 15,nkajaga mwambia hivi mbona nyie hamtaki kujichanga muwe na vifaa vyenu au mnaona ugumu kutoa hela mnaona bora mkodishe
Kuna wakati jamaa alienda kwa jamaa wa Total alichukua vifaa kwa ajili ya kazi zake mpaka leo ananishukuru

Ova
 
Sometimes location tunazoishi zinatunyima fursa.

Kulima huwezi unaishi Kinondoni Manyanya.

Kufuga huwezi unakaa Mikocheni Shule ya Msingi.

Kukata mkaa huwezi unakaa Kisiwani Ngilangwa.

Kukodisha mbao huwezi unakaa Mwananyamala Makaburini.

Tuhame jamani tukatafute fursa mbali huko.
Very true.
 
Back
Top Bottom