DuhKuna mwana yeye miaka mitano nyuma alikuwa na kijiwe cha chips sahivi anamabas km matano sita sijui aliotea wapi pesa
Hivi watanzania inaonekana hamna elimu juu ya mikopo wengi mnaona kukopa ni kushindwa Leo hii ata ukimleta Elon musk aje kuwekeza kwenye nchi yako iyo hela ya kuwekeza anachukua mkopo hatoi akiba yake bank unajua kwanini?Aaah, ila jamaa nae
Wewe ni mjinga, kwanza unaelewa wafanya biashara wa mabasi wengi/karibu wote wanazungushia biashara mikopo ya benki? na basi moja kuanza kukupa faida average ni baada miaka miwili...
Unapiga domo tu hufahamu lolote, wapo vijana wana pesa chafu na hutowaona popote we mpuuzi...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Taja majina ya bus, unarukaruka sana au ni wewe mwenyewe?
Ngada
Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
View attachment 3242338
Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki kampuni ya mabus sio kazi ndogo na kufanya biashara ya mabus sio kazi rahisi na sio biashara rahisi pia maana biashara hii ina changamoto nyingi ina inahitaji sana uvumilivu ila tuseme tu ukweli kijana mwezetu amepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni yake mwenyewe ya mabus hongera sana kwake Shafineyz
View attachment 3242339
Hongera sana kwako Shafineyz na sisi Kaka zako tunaamini utafika mbali katika biashara yako ya mabus hongera sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua hii kubwa
Tumpe support kijana mwezetu
View attachment 3242337
MWANZA TO BUKOBA
Mbona mnasahau kua jamaa ni tapeli wa kujifanya anatoa utajir wa kiganga?!Lets put something on perspective here, sio kwa ubaya, its my 2 cents.
Huyu chalii yuko mwanza. And kusema ni self made, naah, sio kweli. His late dad (RIP) alikua mfanyabiashara mkubwa wa mazagazaga (i dnt have right word for it), yaani hua ana kama used spares lakini za vitu vingi hasahasa vya mgodini. Hata mimi nmewahi kununua pale koromeo la pump yangu ya umwagiliaji.
Baada ya mzee kwenda, i think wakagawana akajitenga akafungua the same thing, na duka ake ipo inatazamana na ilipokua stendi ya kauma zamani (sikumbuki mtaa).
APart frm that, ana daladala (coaster) ndo ziko mob.
Hii mabasi sidhan kama zinazidi 2, tena n za kwenda singida, mayb ndo ameanza kuventure kwenye hii biashara.
Katika ubinadam, nigga n mtu flan humble tu, hana makuu wala nin, hata ukikutana nae tofaut na magari anayoendesha yakiwa na plate number ya jina lake na tatoo mingi na cheni za silver kama wasanii, hana tofaut na watu wengine.
Kuhusu ushombe, not really. Ni mweupe tu, sema kaweka dawa nywele na kachora mwili.
So yeah, mwenye sredi kampakulia minyama , lakn its fair kila mtu akapata mwanga on him.
Ndika tumjuee sasa mbona haujatujumlisha? Ebu tujuze bwanaKwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
View attachment 3242338
Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki kampuni ya mabus sio kazi ndogo na kufanya biashara ya mabus sio kazi rahisi na sio biashara rahisi pia maana biashara hii ina changamoto nyingi ina inahitaji sana uvumilivu ila tuseme tu ukweli kijana mwezetu amepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni yake mwenyewe ya mabus hongera sana kwake Shafineyz
View attachment 3242339
Hongera sana kwako Shafineyz na sisi Kaka zako tunaamini utafika mbali katika biashara yako ya mabus hongera sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua hii kubwa
Tumpe support kijana mwezetu
View attachment 3242337
MWANZA TO BUKOBA
Ndio yeye ni mganga wa kienyejiHuyu ama?
Don Shafineyz TV
NATURAL MEDICINE , RESEARCH, POETRY, ASTROLOGY ,SPIRITUAL ,TRADITIONAL HEALER International Naturopath :Muhadhiri / Mtaalamu wa TIBA na DUAð CALL +255692007575 Instagram- don_shafineyzwww.youtube.com
View: https://youtube.com/shorts/hmLCYSQ8D-g?si=K6qVkppf_S9saNd0
Alinipiga tukio mwakajana na bastora kiunoni,kazi yake ina gharama sana.Sijui kwanini hakumalizia kazi yangu.ana umri gani huyu
Ameshaachs utapeli wa kujifanya mganga /freemason now ameingia na gia ya mabasi?Kwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
View attachment 3242338
Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki kampuni ya mabus sio kazi ndogo na kufanya biashara ya mabus sio kazi rahisi na sio biashara rahisi pia maana biashara hii ina changamoto nyingi ina inahitaji sana uvumilivu ila tuseme tu ukweli kijana mwezetu amepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni yake mwenyewe ya mabus hongera sana kwake Shafineyz
View attachment 3242339
Hongera sana kwako Shafineyz na sisi Kaka zako tunaamini utafika mbali katika biashara yako ya mabus hongera sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua hii kubwa
Tumpe support kijana mwezetu
View attachment 3242337
MWANZA TO BUKOBA
Kwa kweli Hongera zake sanaKwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
View attachment 3242338
Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki kampuni ya mabus sio kazi ndogo na kufanya biashara ya mabus sio kazi rahisi na sio biashara rahisi pia maana biashara hii ina changamoto nyingi ina inahitaji sana uvumilivu ila tuseme tu ukweli kijana mwezetu amepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni yake mwenyewe ya mabus hongera sana kwake Shafineyz
View attachment 3242339
Hongera sana kwako Shafineyz na sisi Kaka zako tunaamini utafika mbali katika biashara yako ya mabus hongera sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua hii kubwa
Tumpe support kijana mwezetu
View attachment 3242337
MWANZA TO BUKOBA
Baraka???Sidhani kama ni kwa Tanzania nzima, kuna mmoja namfahamu sio mtu wa media, low profile sana, ana mabasi kama nguo...
Fanya research...
HeheheBila kutaja anamiliki mabus gani hii ni chai.
HeheheTaja majina ya bus, unarukaruka sana au ni wewe mwenyewe?