Afanye research ili iweje yani. Huo muda unaomwambia afanye research kwa ajili ya mabasi ya mtu mwingine ni kwa nini usimwambie atumie huo muda kutafuta mabasi yake mwenyewe?Sidhani kama ni kwa Tanzania nzima, kuna mmoja namfahamu sio mtu wa media, low profile sana, ana mabasi kama nguo...
Fanya research...
Huyo Mwana, ndio mwenye mabasi yanayo itwa Mwana...🤔Kuna mwana yeye miaka mitano nyuma alikuwa na kijiwe cha chips sahivi anamabas km matano sita sijui aliotea wapi pesa
Wewe ndiye ulitakiwa utuambie nani huyo, ili sisi tunaosoma hapa tujue, badala ya kumpaka kazi hiyo.Sidhani kama ni kwa Tanzania nzima, kuna mmoja namfahamu sio mtu wa media, low profile sana, ana mabasi kama nguo...
Fanya research...
hapana...Baraka???
Okhapana...
wapi nimesema kwenye maelezo yangu wameshindwa kutumia pesa zao...Hivi watanzania inaonekana hamna elimu juu ya mikopo wengi mnaona kukopa ni kushindwa Leo hii ata ukimleta Elon musk aje kuwekeza kwenye nchi yako iyo hela ya kuwekeza anachukua mkopo hatoi akiba yake bank unajua kwanini?
mjengo upi...Huyu ni mkurugenzi wa kampuni, mmiliki wa mabus yuko Mjengoni.
Kwani kuna mijengo mingapi? Na wee unaijua ipi?mjengo upi...
Lengo la kujua umri wake lilikuwa nini?
Labda si alitaka kujua huo umri mdogo kuliko wengine wenye Kampuni za magari ni upi?.Swali lilikuwa la msingi kutokana na wasilisho linagusia umri mojakwamoja.Lengo la kujua umri wake lilikuwa nini?
Ukimaliza huyu tafuta historia ya superfeoKwa Tanzania huyu mmiliki wa mabus ya Shafineyz ndiye mmiliki mdogo zaidi wa mabus kwa Tanzania au kama nitakuwa nimekosea mtanirekebisha.
View attachment 3242338
Ila tusiwe tu wachoyo wa pongezi inabidi tumpongeze sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua kubwa ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni ya mabus maana kumiliki kampuni ya mabus sio kazi ndogo na kufanya biashara ya mabus sio kazi rahisi na sio biashara rahisi pia maana biashara hii ina changamoto nyingi ina inahitaji sana uvumilivu ila tuseme tu ukweli kijana mwezetu amepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo kwa kumiliki kampuni yake mwenyewe ya mabus hongera sana kwake Shafineyz
View attachment 3242339
Hongera sana kwako Shafineyz na sisi Kaka zako tunaamini utafika mbali katika biashara yako ya mabus hongera sana kijana mwezetu kwa kupiga hatua hii kubwa
Tumpe support kijana mwezetu
View attachment 3242337
MWANZA TO BUKOBA
Weusi tunarogana sana, urogwe na mchepuko, urogwe na mkeo, urogwe na watumishi wenzako kazini, urogwe na jirani anaye mega mpaka wa shamba lako, yaani unarogwa na kurogwa Tena.Mimi kinachonishangaza Kwa Nini watu wengi wanaofanikiwa haraka wanakuwa na asili ya Asia na siyo ngozi nyeusi?
Kwani Jamaa kazi yake ni kutafuta historia za watu tu?Ukimaliza huyu tafuta historia ya superfeo
Sijajua..Kwani Jamaa kazi yake ni kutafuta historia za watu tu?
Mjengoni mi naelewa bungeni...Kwani kuna mijengo mingapi? Na wee unaijua ipi?
Jibu unalo tayari.Mjengoni mi naelewa bungeni...
Hebu eleza yupo mjengo upi?
Ni mbunge?Jibu unalo tayari.
Muda haunitoshi Mzee.Ukimaliza huyu tafuta historia ya superfeo
Na wewe kapige matungulo kama ni KAZI rahisi kihivyoAmeshaachs utapeli wa kujifanya mganga /freemason now ameingia na gia ya mabasi?
Hamna low profile hapo mshamba tu kama ndo wewe mwenyewe nakuchana tu acha ushamba. Kwenye insta anaweka post kibao za majigambo kuwa ana hela but kwa jicho la tatu unamuona mpigaji tu matunguli