Mjue Shafineyz, kijana mdogo anayemiliki kampuni ya mabasi

Pongezi kwake, tunamtakia Kheri.
 
Hiki kichwa kinaonekana kiko smart; anastahili kuwa na uwezo huo
 
Weupe ubebwa na uaminifu kitu ambacho ngozi nyeusi haina
Familia zao zilishawekeza zamani,Hivyo,kupata mtaji wa kuanzisha biashara ni rahisi kwao tofauti na sisi weusi ambao huanza mwanzo kabisa na ukifanikiwa kidogo tu wategemezi lukuki.
 
Zaidi ya kumiliki utajiri wa masharti, ana nini la maana anafanya katika kusaidia jamii?
Kwani asipoisaidia jamii ambayo pia haijawahi kumsaidia anapungukiwa kitu gani. Ana-hustle kwa ajili yake na familia yake si kwa ajili ya jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…