Mbona umejishikilia sana hapo kwa wadhamini kuchoka as if unaweza kututajia hao wadhamini?Mkuu Lisu ni mtu kama watu wengine. Anazeeka, anachoka, wadhamini wake hubadilika. Hilo weka kwenye akili pia
Hawana ubavu huo kwani wanao wakopesha wamekasirika hivyo wamesema hawatoi mikopo hadi Lissu awe uraianiHamjambo!
Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake.
Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu.
Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda kila mtu hujikuta akijisalimisha.
Lisu anachoshwa na kupotezewa muda huku wafuasi na wanachama wake wakiwa hawaelewi mpango wa adui ukoje.
Mbinu hii inafanya kazi zaidi pale ambapo wale wanaomdhamini Tundu Lisu wakiwa wanafuatwa na Adui za Lisu kisha mazungumzo yakiendelea huku Lisu akiwa gerezani.
Katika ugomvi wa kisiasa, hakuna mtu atamjali Lisu zaidi ya mkewe na watoto. Na bahati mbaya ilioje. Wadhamini na wazungu wanaomsapoti Tundu Lisu sio familia ya Lisu na hawachangii damu.
Kumaanisha, katika ulimwengu wa maslahi, adui za Lisu watatumia muda huo Lisu akiwa Gerezani kuwekana sawa na wadhamini wake. Huku lisu akiendelea kusota.
Hatari sana.
This is the gravest strategic mistake CCM has ever made. Chuki ya Watanzania dhidi ya CCM is at an all-time high and continues to grow astronomically.Hamjambo!
Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake.
Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu.
Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda kila mtu hujikuta akijisalimisha.
Lisu anachoshwa na kupotezewa muda huku wafuasi na wanachama wake wakiwa hawaelewi mpango wa adui ukoje.
Mbinu hii inafanya kazi zaidi pale ambapo wale wanaomdhamini Tundu Lisu wakiwa wanafuatwa na Adui za Lisu kisha mazungumzo yakiendelea huku Lisu akiwa gerezani.
Katika ugomvi wa kisiasa, hakuna mtu atamjali Lisu zaidi ya mkewe na watoto. Na bahati mbaya ilioje. Wadhamini na wazungu wanaomsapoti Tundu Lisu sio familia ya Lisu na hawachangii damu.
Kumaanisha, katika ulimwengu wa maslahi, adui za Lisu watatumia muda huo Lisu akiwa Gerezani kuwekana sawa na wadhamini wake. Huku lisu akiendelea kusota.
Hatari sana.
Unataka kujua au unatafuta majibu uyawasilishe mahali?Ni sahihi.
CHADEMA wanaakiba ya watu wa kariba ya Lisu?
Na sio kuhimili Tu, Bali majaliwa Yao ya baadae , yataharibiwa kutokana na hii kadhiaThis is the gravest strategic mistake CCM has ever made. Chuki ya Watanzania dhidi ya CCM is at an all-time high and continues to grow astronomically.
It’s hard to imagine that CCM will survive the current political storm!
Hili swali gumu kwa sababu hakuna utaratibu wa kukuza mifumo bali kukuza watu.Ni sahihi.
CHADEMA wanaakiba ya watu wa kariba ya Lisu?
akitoka atahangaika sana na Afya kuliko siasa.Huyo Lisu wameshamshindwa. Na hawana jinsi zaidi ya kumuachia kwa sasa. Kwa taarifa hata jamuhuri imeshachoka maana hawawezi hata kupeleka tena ushahidi wa uongo mahakama kuu. Na deadline ya Common Wealth unakaribia. Sasa hivi inabidi kuficha aibu wajifanye Lisu kaomba mazungumzo na Samia kitu ambacho ni uongo wa wazi.
Wanaohangaika na afya ni wengi hata wale ambao hawajafungwa. Wala hicho sio kitisho.akitoka atahangaika sana na Afya kuliko siasa.
Maek my word.
Jabaa boya sana
Hivi nafsi zenu nje ya siasa huwa haziwasuti kwa kumnyima mtu uhuru wake bila sababu za msingi?akitoka atahangaika sana na Afya kuliko siasa.
Maek my word.
Jabaa boya sana
sio Tishio ila kwa uboya wake alibugia sikipodiWanaohangaika na afya ni wengi hata wale ambao hawajafungwa. Wala hicho sio kitisho.
nafsi gan?Hivi nafsi zenu nje ya siasa huwa haziwasuti kwa kumnyima mtu uhuru wake bila sababu za msingi?
Sema ushetani sio siasanafsi gan?
Hutaki dhambi kuwa sheik au padri ndg
siasa aina nafsi wala dhambi.
Wewe sio Mungu,kwa nini unajipa kazi ya MunguSahihi.
Lakini nafikiri Lisu atakuwa msafisha njia. Wazo la yeye kushika Dola kwa kweli hilo litakuwa muujiza zaidi ya ze risasi 16
Broo soma basi hata historia. Ama umeamua kuchagua upande wa historia ukaacha ule mwingine.?Mkuu Lisu ni mtu kama watu wengine. Anazeeka, anachoka, wadhamini wake hubadilika. Hilo weka kwenye akili pia
📌Brother kwenye siasa bado sana huja excel kwa uchambuzi,kiufupi uhai wa siasa za Tanzania kwa sasa kwa 99% inategemea maamuzi ya Lissu.
Yeye kuendelea kuwa ndani ni risk katika siasa ya CCM.
Ngoja nikupe mfano kidogo,Je imetokea uchaguzi kesho-je uchaguzi huo unaweza kufanyika kwa amani.Jibu ni No labda uamue kutumia tena force ambapo hatari yake imeonekana-mtawala gani anaweza risk hicho kitu tena? Je wanaomuzunguka watakubali.
Kama Lissu ataweza ku hold hadi mwaka 2029 au 2030,brother hali itakuwa mbaya kwa upande wa CCM.hiyo kete ya muda kisiasa inamunufaisha Lissu kuliko CCM.
Mkuu Lisu ni mtu kama watu wengine. Anazeeka, anachoka, wadhamini wake hubadilika. Hilo weka kwenye akili pia