Mkakati wa kumchosha na kumpotezea Muda Tundu Lisu utafanya kazi?

Kumaanisha, katika ulimwengu wa maslahi, adui za Lisu watatumia muda huo Lisu akiwa Gerezani kuwekana sawa na wadhamini wake. Huku lisu akiendelea kusota.
Aiseee,
Kama ambavyo Makaburu wa SA waliwekana sawa na wadhamini wa Mandela akina Nyerere wakati Mandela akiendelea kusota gerezani?!
 
..mazingira ya 2015 sio ya sasa hivi, au 2030.

..hakuna mwanasiasa wa kuisafisha Ccm na umwagaji damu wa OCT 29.

..Lowassa alipelekea wapinzani kula matapishi yao wenyewe, na uwezekano wa wapinzani kurudia kosa hilo ni mdogo sana.
 
Inaenda sambamba na kugawa makizetu Kwa waarabu wauwaji waliotuuza wakati wa ukoloni na kukosa misaada muhimu Kwa jamii
 
This is the gravest strategic mistake CCM has ever made. Chuki ya Watanzania dhidi ya CCM is at an all-time high and continues to grow astronomically.

It’s hard to imagine that CCM will survive the current political storm!
Chuki za Watanganyika kwa CCM na Samia ni za wazi kwa kila mwenye akili Timamu. Ule umma unaohudhuria mikutano ya Chadema huku wakiichangia hela ni ishara ya chuki hiyo, wale wanaohudhuria siyo wote ni wanachadema bali ni watu walioichoka CCM na Samia wake, na moja ya sababu kubwa ya chuki hii ni hiki kitendo cha kumsingizia Lissu kuwa ni mhaini na kumweka kizuizini na sababu nyingi ikiwa ni yale mauaji ya maelfu ya Watanganyika waliouwawa na dola 29.10.2025.
 
..mazingira ya 2015 sio ya sasa hivi, au 2030.

..hakuna mwanasiasa wa kuisafisha Ccm na umwagaji damu wa OCT 29.

..Lowassa alipelekea wapinzani kula matapishi yao wenyewe, na uwezekano wa wapinzani kurudia kosa hilo ni mdogo sana.
Somo walilojifunza Chadema kwa kumpokea Lowassa limewaingia vizuri kamwe hawawezi kuingia mkenge huo tena.
 
Sawa LAKINI Magufuli alikuja kama muujiza baada ya mafisadi kufarakana
 
Sahihi.
Lakini nafikiri Lisu atakuwa msafisha njia. Wazo la yeye kushika Dola kwa kweli hilo litakuwa muujiza zaidi ya ze risasi 16
Hata Mugabe kule south Rodhesia wale collaborators wa wazungu kina Askifu Muzorewa waliamini hivyo lakini mwisho wa siku alikuja kuwa prime minister na kisha President so hoja yako is subject to argument.
 
Umma ulio nyuma ya Lissu ndio utaamua hatima yake na siyo vinginevyo.
Kuta za gereza ni laini kuliko biskuti mbele ya umma ulio nyuma yake.
Usisahau kuwa umma huo unamsoma adui kwa kila hatua na adui keshatepeta anaona aibu kumpa ushindi Lissu.
Ccm hata wafanyeje wameshapigwa mahakamani na nje ya Mahakama siku akitoka ni kuwa makini tu.
 
Mkuu siasa za majitaka nafikiri wengi hawazipati.
CCM sio wajinga na ndio maana wana karibia kufikisha karne wakiitawala nchi hii.

Wanamuweka ndani, huku wakifanya makubaliano na wale wadhamini na wanaomsapoti Tundu Lisu. Yaani mabeberu.

Watanzania hawana msaada wowote kwa Lisu. Na hawaamui chochote.
Ila mabeberu wanamaamuzi muda wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…