Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Sijui kwa nini hawa wakina Ritz , FaizaFoxy na wenzao wanapenda kulia lia.
Yaani wao wanapenda waonekane kama ni kundi maalumu sawa na walemavu, albino au wenye mtindio wa ubongo!

Mnapenda sana kulia lia kuwa mnaonewa,mnataka muwekwe kundi maalumu na mpate upendeleo kama wanawake wanavyofanyiwa.

Elimu
Elimu
Elimu
 
Mkataba ufutwe haraka sana na wote waliohusika na mkataba huu wapandishwe mahakamani
 
Umesoma kilichoandikwa kwanza au unaropoka tu.

Na wewe muulize huyo mwenzako alisoma MOU vizuri kati ya serikali na TEC? Kama mnaona TEC inafahidi waambie BAKATWA wajenge hospital ili hizo 36B mchukue nyinyi.

Halafu Chuo cha Morogoro mkirudishe serikalini.
 
Mkataba ufutwe haraka sana na wote waliohusika na mkataba huu wapandishwe mahakamani
Kila Taasis ya Kidin ijiendeshe yenyewe, Serikali inyang'anye vyote vilivyotoa kwa Hizi Taasis km vyuo mfano MUM, na Serikali pia irudishe vilivyopora kwenye Taasis hizi za kidin zikiwemo shule, vyuo n.k.

Then, Serikali ijiendeshe na hizi taasisi za Kidin ziachwe zijiendeshe
 
Na wewe muulize huyo mwenzako alisoma MOU vizuri kati ya serikali na TEC? Kama mnaona TEC inafahidi waambie BAKATWA wajenge hospital ili hizo 36B mchukue nyinyi.

Halafu Chuo cha Morogoro mkirudishe serikalini.
Unadhani maandazi hayo sio?
Wagalatia mkiona mtu anataja hela mnazokula bila kuulizwa mnakuwa wakali sana.
Paroko zimeiba sana na hakuna mwananchi yyt anaefaidika zaidi ya hao wanaotapeli watu kuwa wanasamehe dhambi.
Mzalendo gani atakubali billion 36 zitolewe bila kuona zinaenda wapi?

Hivi wagalatia wanadhani hawatokufa kisha wakasimamishwa mbele ya mahkama ya Mungu?
 
Number 1 ameamua kuvujisha hako kanyaraka ili ajiponye na zimwi la DPW?

Mwambie asishupaze shingo litavunjika. Lisipo vunjika litavunjaa na likigoma kuvunjika hata baada ya kuvunjwa (nitakuja kumalizia baadae)
Nafikiri hapa hujajibu hoja ila umeuvamia UISLAM.
Kuna uislam na muislam/waislam.
Hata DPW wakipewa bandari watatoa huduma kwa kila mteja.
KAMA MKATAKA UPO NA SISI WALIPA KODI TUNAUCHANGIA SIYO MBAYA UKIWEKWA WAZI.
 

Kwani hizo 36B wanapewa bure? Soma MOU vizuri ,wakati wakristo wanajenga Shule ,Hospitali nyinyi mlikuwa mnaomba misada kwa waarabu wawachimbie visima na kujenga mdrasa tu ,serikali ikawa haina hospital ndipo MOU ikaingia hapo na kama mnaona wivu waambie serikali wavunje mkataba huo mpewe nyinyi kina BAKWATA.
 
ALETE USHAHIDI, UKIKAMILIKA TUTAITAKA SERIKALI ITOE UFAFANUZI WA MABILIONI YETU HAYA.
 
Kwahio kuchangia bila kufokea wenzio umeshindwa??
 
Lakini when it comes to Serikali kuoffset overhead expenses katika hospital kubwa binafsi ambapo inatoa huduma kwa wananchi ambapo ni jukumu ya Serikali kuwatibu bado mnaona nongwa?

Ndiyo maana tunawaambia hawa Mvaa Kobazi Riz ,Kahatan ,The Small Show ,Jimmy Foxy wawashawishi BAKATWA wajenge hospital nyingi ili 36 B wapewe wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…