Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Muulize JK kama hizo pesa ni za serikali ama la
 
Dini isiwe kichaka Cha mikataba mibovu
 
Umemaliza, pia anatakiwa kujua serikali inamuhitaji zaidi RC kuliko RC anavyoihitaji serikali katika Hilo suala la hospitali.
 
Wewe kweli hata historia ya kanisa huijui. Unadhani shule za kanisa zilizotaifishwa na serikali miaka ya 1960s zilijengwa kwa pesa ya serikali!!!!???? Hiyo pesa mnayopigia kelele imeanza kutolewa 1992. Kwanza mshukuru serikali kutaifisha hizo shule kwa sababu wazee wengi wa kiislam walikuwa hawapeleki watoto wao kwenye hizo shule wakihofia eti watalishwa kitimoto!!!
 
Umemaliza, pia anatakiwa kujua serikali inamuhitaji zaidi RC kuliko RC anavyoihitaji serikali katika Hilo suala la hospitali.
Yaani wakatoliki huwa mnajifariji mno kwa mambo ya vijiweni.

Yaani Rais wa nchi akiamuru kuuwa hao wakatoliki kama wanahatarisha usalama wa nchi basi aliyeagizwa kufanya hivyo hata awe RC mtiifu atauwa tu sasa hapo ndo ujue nani mwenye nguvu kati ya lidude likuuubwaaa serikali na hicho kichanga RC.
 
Wavunje tu mkataba. Tutachangia tu.
 
Sawa mkuu
 
Katika hili la Waislamu kutokujali watu wa chini nakubaliana na wewe kabisa. Waislamu wanapokuwa Katika mawaidha yao unaweza kuamini ni watu wenye huruma sana na wanaojua kujali masikini. Kiukweli wana mafundisho mazuri sana lakini HAWAISHI KATIKA HAYO MAFUNDISHO. , KIUFUPI NI WA BINAFSI SANA. Ni wachache sana wanaoishi kwa kufuata mafundisho ya dini yao kama vile MZEE BAHARESA, Japo watoto wake hawapo kama yeye
 
Ndugu yangu Ritz ivi unataka mikataba yote ya nchi hii iwekwe hadharani?
Jua Nia ya kwanza ya serikali ni kutoa huduma Bora za kijamiii kama afya,maji na elimu.
Tec inajulikana anamikiki hospitals nyinyi na hivyo kuwa mbia muhimu kwa serikali katika kuimarisha huduma za afya.
Kwa hiyo sioni shida yoyote kwa serikali kushirikiana na tec katika kutoa huduma Bora za afya kwa wananchi.
Hata ovyo pia mkataba huu ni within btn tanzanian wenyewe kwa hiyo Kila kitu kinaweza kuwa settled kwa kuzingatia utaifa.
Lakini mikataba na foreigner ukiwa mbaya hakuna utaifa hapo ni full aggressive
 
Dini isiwe kichaka Cha mikataba mibovu
Hilo ndio tatizo kubwa kwa upande wa wakristo.
jambo lolote lenye kuonekana litaingiza pesa hawataki kuona linaongozwa na muislamu yyt.

Yaani bora hilo jambo lifie mbali kuliko kuongozwa na Muislamu.
Hii tabia wanayo wakristo toka tumepewa uhuru mbuzi na waingereza.
 
Mkuu 36 billion kwa mwezi...bado nimekwama hapa napiga hesabu
 
Kama mtu anatukana ovyo hio ni dalili ya malezi mabaya .
Andiko linasema Mithali 20:3 “Mtu kujitenga na ugomvi ni heshima kwake; Bali kila mpumbavu ataka kugombana”.

Na pia andiko linaongezea

26:11 Kut 8:15; Za 85:8; 2 2:22

Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake.

Yeye akitukana na wewe ukitukana nani mwenye busara?
 
Kwa hili wagala wanaona ni haki yao kabisa
 
Ndo kanisa lijitegemee na hizo pesa zikaimarishe hospital za serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…