Baada ya kuja na ule ushahidi wako wa kutengeneza studio ukabuma, sasa umeona ukatafute hako ka mkataba ili uje kumtengenezea mamako kichaka cha kujifichia..
Hicho kichaka nacho tunachoma moto, iko hivi;
Huo mkataba kama hamuutaki uvunjeni sasa hivi, wakatoliki walijichanga wakajenga hospitali kwa pesa zao, bila kujali kama serikali ingejitokeza kuchangia gharama ili kuwahudumia wananchi, hivyo utambue pia, hawawezi kushindwa kupata pesa za kuziendesha.
- Hawa sio watu wa kukaa kwenye mikeka na kupiga umbea, wakitafuna kahawa na kashata, ni watu wa kazi kwa vitendo.
Hivi kwanza, hizo bilioni 36 umezitoa wapi tuambie? sio unakuja na maneno yako ya uongo kama ulivyozoea ilimradi uandike tu hapa JF, hii sio JF ile ya wajinga mliyoizoea miaka iliyopita, njoo na ushahidi wa kusapoti haya madai yako, usituletee mipasho yenu uliyoizoea huko Pwani.
Tuwekee check au risiti kuthibitisha madai yako, bil. 36 kwa mwezi hii serikali inaweza kuzitoa wapi kila mwezi? tena kwa miaka yote hiyo? hizo pesa kama serikali inazo kwanini wasijenge hospitali zao mikoa yote Tanganyika? kwanza una hakika serikali hutoa hizo pesa kila mwezi, au unaimba tu kama kasuku?
Wewe mswahili unaonekana hauna hata common sense, upo static kama jiwe, linalosubiri mpaka lipigwe teke ndio lisogee!.