Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

🤣🤣
Tumeshindwa kupata maelezo ya BILION 36 ZINAZOTOKA KILA MWEZI tuanzishe kujadili vibanda vya Tanesco?
We ndugu kwenye safari ngumu lzm utabaki porini.

Sisi waislamu kwa jina la Mungu hatupokei pesa ya HARAMU tukajengea chochote ktk Ibada yetu.
Hilo muulize muislamu yyt hata yule ambae hajasoma darasa la kwanza atakwambia hivyo hivyo.

Kutaka kutambua ruzuku yyt ya serikali wanayopata Bakwata wala huna haja ya kuhamgaika.
Nenda BAKWATA MAKAO MAKUU. Wamenndika ukutani.

Kwa sasa tunataka kuanza na KANISA. BILION 36 kwa mwezi sio mzaha.
Isitake tuanze kutafuta dagaa wakati PAPA KAJIFICHA.
Tukamate huyo kwanza.
Hao dagaa hata kwa chandarua unakamata tu
 
Owky tufanye audit, ila pamojs na yote mkataba wa bandari ni non starter. Sio kwa sababu ya dini. Hatuwezi kumpa mtu mmoja kontol ya bandaei, uwekezaji wa kimkakati ba usafirishaji kutoka nje exclusive right mwenyewe.
 
Acha kupotosha mkuu. Hayo unayoongea yote ni ya kihisia tu. Tusiharibu upendo wetu wa dini zote uliojengwa na watu wenye hekima zao. Hadi tuna baraza la amani ambalo linafanyakazi nzuri mno ya kuondoa ubaguzi wa dini. Huu uzi unachochea ubaguzi haufai kuendelea.
 
Tukimaliza hilo twende kwenye katiba tukarekebishe kifungu cha viongozi kushtakiwa wakivunja katiba katika jambo lolote lile wakiwa madarakani.
 
Sina chuki na mtu yyt. Na ili tuweze kidumisha huo umoja
Na amani basi ukweli lzm tuseme japo nafsi zipate nafuu kuwa tumeongea wazi
La sivyo vichwa vikipata moto sababu ya dhulma zinazonedelea tunaweza kugeukiana km Rwanda sasa hivi.
 
 
Hilo wajadili wabunge.

Sio KANISA KATOLIKI.

Wao kazi yao sio kujadili mipango ya serikali na kudai ati ni sauti ya Mungu.

Wao wabaki kuuza maji ya uzima na kuuza michanga wakidai ina tiba

Huko waibe na kudanganya wanavyotaka hatuwezi kuingilia mambo yao.



Suala la mikataba ya serikali na wawekezaji hayahitaji UPAKO WALA MAJI YA UZIMA.

Wakati wazungu Wameingia mkataba na Bandari na kuindesha miaka yooote ile iliwahi kusikia KANISA linaongea kitu? Sasa Leo katokea mwarabu kelele kila kona

km sio kulazimisha watu kufikiri ni UDINI kuna nini hapo?
 
Muhimbili ambayo ni 100% owned by the government unatibiwa bure?

Waislam wala msipate tabu na kanisa hizo hela za kulipia watu mahari jengeni hospitali 😀😀 Dini ya kiswahili sana hii
Yako ya kizungu
Wala haina shida
Muhimu leo umejifunza kuwa wale wavaa magauni marefu ni WEZI MAJAMBAZI WAKUBWA wasio na adabu wala huruma.
Mtoto wa kitanzania ANAKUFA KIJIJINI kwa kukosa Dawa ya shs elf 5 Hapo hapo kijijini PADRI kwenye PAROKIA ANATEMBELEA GARI YA MILION 400 akipita kutoa pepo kwa mabinti wa wanakijiji .
Laanatullah.
 
Hao waingereza waliojenga Bugando walikuwa wakristo,au waislamu?
Good Samaritan ni shirika la dini Gani? Na kama ni good Samaritan ndio walijenga hiyo KCMC ulitaka wapewe waislamu?
 
Hizo zote zilijengwa Ili wazimiliki wao wao wenyewe na watibiwe wao wenyewe na ndio maana huwezi kukuta Hindu Mandal ipo mikoani
Na Hindu Mandal, Burhani, Ebrahim Haji nazo zinapewa mpunga? Zote hizi ni za jamii za dini
 
Hao waingereza waliojenga Bugando walikuwa wakristo,au waislamu?
Good Samaritan ni shirika la dini Gani? Na kama ni good Samaritan ndio walijenga hiyo KCMC ulitaka wapewe waislamu?
Acha kubwabwaja ovyo kama binti alieko kwenye mchiriku.
Nani kadai kuwa waislamu wanataka kupewa vya bure km yatima.
Soma uzi na fahamu nini kimejadiliwa hapo sio kupayuka ovyo ka pashkuna la buza.
Vijana mbona mnakosa adabu kwenye minakasha namna hii?
 
The bitter truth is,waislamu hata misikiti ya maana wanajengewa na waarabu,wamejikita kujenga madrasa kuliko hospitali,zahanati,Shule vyuo nk. Unaweza kutaja makanisa yaliyopokonywa na Roma kutokana Anglikana ? Na Anglikana wamenyamaza mpaka sasa?
 
The bitter truth is,waislamu hata misikiti ya maana wanajengewa na waarabu,wamejikita kujenga madrasa kuliko hospitali,zahanati,Shule vyuo nk. Unaweza kutaja makanisa yaliyopokonywa na Roma kutokana Anglikana ? Na Anglikana wamenyamaza mpaka sasa?
I don't argue with a fool,
onlookers may not be able to tell the difference.

Siku njema.
 
Muhimbili ambayo ni 100% owned by the government unatibiwa bure?

Waislam wala msipate tabu na kanisa hizo hela za kulipia watu mahari jengeni hospitali 😀😀 Dini ya kiswahili sana hii
Wewe punguani kweli kama Muhimbili tunalipa na hospitali za Kaniisa tulipe nikiwa na pesa natibiwa popote. Jibu swali Lini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi.?

Harafu ulivyokuwa na akili za kushikiwa unaona dini ya kulawiti watoto na mashoga ndiyo bora😂
 
Umeishiwa hoja umeanza kuchamba kama ilivyo desturi yenu! Serikali ndio ilizifuata hizo tasisi za Elimu na Afya za kikristo Ili iwasaidie kutoa huruma Kwa wananchi,na ni kuhakikishie kwamba,Nyerere asingechukua hatua kama hiyo,hata ww na ukoo wako wasingesoma, Kwa sababu wazungu waliieneza dini,Elimu ya Dunia,kujenga hospitali,vituo vya Afya,uchumi mfano kahawa Kule Kilimanjaro,ujenzi wa reli n.k wakati Mwarabu aileta kuran na misikiti tu. Serikali isingechukua hizo Shule za dini,waislamu wangesoma wapi wakati serikali ndio kwanza inajenga Shule za Kata? Unasema waislamu hawapewi vya Bure??? Hivi unajua chuo kikuuu Cha MUM(Morogoro university) kulikuwa chuo Cha Tanesco mkapa akawapa Bure? Mmeshindwa kujenga hata zahanati ya maana🚮
 
Padri wa Mchongo 🤣🤣🤣 mnabaka wahumini mnalawiti watu afu mnajiita mapadri eti watu wa Mungu? Mungu ndo anawaambia mlawiti watoto wa watu? Au kisa nyie wagumba mnatutesea watoto wetu.. Kanisa la Roma nilakipuuzi Sana na limelaaniwa na Mungu.
 

Attachments

  • IMG_2282.jpeg
    27.9 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…