Faiza Fox said:Wanauondoa mjadaala kutoka MoU ya kanisa na Serikali, ambao ni wizi mtupu, kuelekea kwenye usomi wa watu.
Four walls of a class room does not make a person learned, it is rather a solitary confinement of someones greater potentials.
Mkuu hapa unafanya makosa makubwa sana... Kama Nyerere asingekifanya kiswahili kuwa lugha ya Taifa tusingekuwa hapa tulipo leo...Na ni makosa makubwa sana ktk ELIMU kuchukua lugha ya kigeni kufundishia..Hakuna nchi iliyoendelea inayochukua lugha ya kufundishia tofauti na lugha ya Taifa isipokuwa nchi maskini na koloniwa, ndio maana Ujinga hauwezi kwisha..Mdondoaji,
..Mwalimu hakuleta kiswahili nchi hii.
..hata wakati wa harakati za uhuru inasemekana ni mara 2[akiwa mbulu, na mwanza(??)] tu alilazimika kuzungumza kupitia mkalimani.
..kwa upande wangu nadhani ilikuwa ni makosa makubwa kukifanya kiswahili kuwa lugha ya kufundishia ktk shule za msingi.
..kwa kweli mfumo wetu wa elimu ulivyoparaganyika, na hili zimwi la EAST AFRICA FEDERATION linavyotunyemelea, at least wangetuachia Kiingereza wanetu wangeweza kufurukuta ndani ya federation.
Mdondoaji,

..naungana mkono. hoja kwamba Waislamu hawajasoma ni mufilisi.
..hoja kwamba Waislamu hawawezi kusoma pia ni mufilisi.
..I am one of those who believe kwamba Waislamu wakipewa access to a quality education basi wanaweza ku-achieve mambo makubwa.
..Personally nimesoma na Waislamu, and looking back, manake wakati huo tulikuwa hatuulizani dini, kuna vijana wa Kiislamu who were very smart.
..miongoni mwa wa-Tanganyika watatu wa kwanza kupata shahada ya London University ni Abdulrahman Salim Msangi. Ilibidi DC wa wilaya ya Pare wakati huo apande milima ya Usangi kwenda kumpongeza Mzee Salim Msangi kwa achievement ya mwanawe. Later on Abdulrahman Msangi alikuwa dean wa kwanza mzalendo wa kitivo cha Science UDSM.
..now,Prof.Juma Mikidadi Mtupa anafahamika sana tangu akiwa mbunge toka mkoa wa Lindi.
..baada ya kuondoka bungeni akagombea nafasi ya Mufti wa Bakwata na kushindwa. lakini nadhani huyu angewafaa Waislamu.
NB:
..tatizo ninaloliona mimi ni kwamba Waislamu wenye elimu ya ki-secular hawashiriki/hawashirikishwi ktk uongozi wa Jumuiya za Kiislamu.
..nadhani kukosekana kwa waumini wenye elimu ya ki-secular ktk taasisi za Kiislamu ndiko kunakosababisha viongozi wa taasisi hizo kutumiwa kisiasa na CCM na kupelekea kuviaibisha vyombo hivyo.
Mkandara said:Mkuu hapa unafanya makosa makubwa sana... Kama Nyerere asingekifanya kiswahili kuwa lugha ya Taifa tusingekuwa hapa tulipo leo...Na ni makosa makubwa sana ktk ELIMU kuchukua lugha ya kigeni kufundishia..Hakuna nchi iliyoendelea inayochukua lugha ya kufundishia tofauti na lugha ya Taifa isipokuwa nchi maskini na koloniwa, ndio maana Ujinga hauwezi kwisha..
Nani kasema mwalimu Nyerere alikuwa ni Mkamilifu???? Ebu taja tu au onyesha cooment Kule kwenye Mada ya Mohamed said inaonekana Nyerere alikuwa Adui wa usilam. Lakini kwenye Maada hii inaonekana act zilibadilihswa wakati wa mwinyi ndio zilikuwa adui wa uislam na zile za kipindi cha nyerere zilikuwa bora..... Ndio maana tunahitaji consistencyZing,
Nitake radhi baba wa taifa ana mazuri mengi ila sio mkamilifu kama mnavyotaka kumfanya awe.
Mazuri ya Nyerere ni mengi siwezi kuyataja yote ila nitakupa list yake:
a. Ameleta umoja even though with sacrifices but ni umoja uliodumu hadi sasa.
b. Ameleta national identity nayo ni kiswahili.
c. Ameanzisha misingi imara ya uwajibikaji na uadilifu kazini.
d. Ameleta ukakamavu katika taifa
e. Ana mchango mkubwa katika kupatikana kwa uhuru wa nchi hii hata hivyo hayuko peke yake.
Na mengineyo mengi.
Hayo mabaya hayakosekani Kwa mtu yeyote lakini tuwe wawazi na wakweli .Tutafute chanzo haiisi na sababu. Mimi na wewe hatuwezi kukataaIla kuna mabaya pia anayo ambayo ndio tunayazungumzia.
Joka Kuu.,
Ni kweli hoja kwamba waislam hawajasoma ni hoja muflisi!
Nilichokuwa nasema mimi ni kuhusu viongozi wao wa dini kwamba wengi wao hawana hiyo elimu ya ki secular. Ndiyo maana priority kubwa unaweza kukuta ni kujenga misikiti tu. Yaani unaweza kukuta katika eneo dogo kuna misikiti mingi hata kama hiyo sehemu kuna waislam wachache.
Kingine kinachowakwaza waislam ni dhambi ya ubaguzi. Siyo tu baadhi yao wanabagua wakristu lakini hata wao wenyewe kwa wenyewe wanabaguana sana. Utashangaa sana ukiona wasomi wakubwa kama akina Issa Shivji wanabezwa na baadhi ya waislam eti kwa sababu tu anayasifia mazuri aliyofanya Nyerere. Tunaona hata hapa jamvini akina Mkandara wanavyoshambuliwa wakijaribu ku acknowledge ‘machache' mazuri aliyofanya Nyerere. Kwa wao ukimsifia mtu mkatoliki kama Nyerere basi wewe siyo muislam safi.
Kifupi watu kama akina Topical, FaizaFoxy na wengine wengi wanaona matatizo yote ya waislam yamesababishwa na bado yanaendelezwa na kanisa(Mfumo Kristu). Hapa mimi nakubali kuwa wanatafuta tu kizingizio baada ya kuona udhaifu wao na kushindwa kutatua matatizo yao wenyewe.
Huu utitiri wa taasisi za kiislam kuanzia Bakwata na nyinginezo zinawakilisha vikundi gani vya waislam? Sasa kama umoja wenyewe haupo na kuna vikundi tu , hizi kelele za kupinga mfumo kristu/MoU zitafika wapi? Hivi badala ya kwenda Diamond Jubilee na kuzunguka nchi nzima kuhamasisha waislam kupinga mfumo kristu, kwanini waislam wasikae chini kwanza na kuanza mchakato wa kuunda chombo/taasisi moja ambayo itakuwa ndiyo inawakilisha sauti ya waislam wote Tanzania nzima?
Mimi nadhani haya makelele ya uhalali wa MoU na mfumo kristo tungekuwa tunayajadili katika angle tofauti kabisa kama hawa wenzetu wangekuwa na viongozi wa dini wenye uwezo wa kutoka nje ya box!
..............................
Anayetetea MoU anakosa mora authority kuwaonyeshea mkono epa, richmond etc maana..
Either ni mdini (ukristo) au ni mnafiki wa kutupwa period..
MoU hata kama ina tatizo ni tofauti na EPA na richmond. Unless huelewi mana ya MoU
Then you are either "Mdini (mkristo) kutetea hadi kifo kwasababu inafaidisha miradi ya kanisa au ni mnafiki mkubwa...
Tofauti ipo kwasababu EPA/ Richmond wanatoa services kibiashara wanaibia serikali kibiashara..
MoU inaibia serikali kupitia kanisa (unaudited) bila auditing na viwango ni vilevile spririt ni ileile wahi mapema..
Nakubaliana nawe 400%: sio miungano yote na ma federation na ma union yana tija. Sasa hivi wanasema baada ya Greece inakuja Italy, na Italy iki default inadaiwa dunia nzima inaingia great depression. Tunachokosea waswahili tunaishi kwa methali: "Umoja ni nguvu, utengano.." Well, kuna exceptions katika hizi general aphorisms. Again, sio miungano yote ina manufaa.Kwanza mie siungi mkono East Africa Federation. Federation kama hizi zina madhara mengi kuliko manufaa na nadhani tungelikuwa tunaungana na majirani zetu kwa vitu vyenye manufaa nasi na sio kila kitu. European Union na matatizo yao ya madeni ni funzo tosha kwetu ila asiyesikia la mkuu huvunjika guu tutakuja kuelezana hapa baada ya federation hasara na matatizo yake...
1. Nina maana kwamba kabla kiswahili hakijawa lugha ya taifa mikoa mingi sana ya bara tulikuwa tukitumia lugha zetu ktk mawasiliano. Nakumbuka vizuri udogo wangu nilikuwa nazungumza kijita na kikerewe zaidi nikiwa nje na marafiki zaidi ya kiswahili ambacho tukizungumza nyumbani tena tukiitwa Waswahili na tulionekana watu tofauti. Wakati huo mikoani asilimia kubwa ya Waislaam ndio walizungumza kiswahili kuliko Wakristu na Wapagan hivyo kama kiswahili kisingekuwa lugha ya Taifa tusinge kuwa hapa kwa maana ya kwamba Umoja wetu ungekuwa kwa Utaifa tu lakini Ukabila usingeweza kuondoka...
Mkandara,
..una maana gani unaposema "tusingekuwa hapa tulipo"?
..kwanza taaluma nchi hii iko chini, juu ya hilo lugha ya mawasiliano ambayo ni Kiingereza ipo chini vilevile. sasa si bora tungekuwa tunafundisha Kiingereza at least tungekuwa na tatizo moja la taaluma tu.
..hivi unajua ujuzi wa lugha ya Kiingereza umechangia kiasi gani kuifanya India kuwa kati ya mataifa vinara ktk masuala ya Teknolojia?
..kwa taarifa yako KIINGEREZA ndiyo official language ya EAST AFRICA FEDERATION. Bunge la Afrika Mashariki linaendeshwa kwa Kiingereza. Raisi wa Afrika Mashariki atakuwa akiwasiliana na wananchi wake kwa Kiingereza. sasa wa-Tanzania tuna nafasi gani hapo?
..anyway, tusiharibu mada ya MOU.
Then you are either "Mdini (mkristo) kutetea hadi kifo kwasababu inafaidisha miradi ya kanisa au ni mnafiki mkubwa...
Tofauti ipo kwasababu EPA/ Richmond wanatoa services kibiashara wanaibia serikali kibiashara..
MoU inaibia serikali kupitia kanisa (unaudited) bila auditing na viwango ni vilevile spririt ni ileile wahi mapema..
Mkuu hapa unafanya makosa makubwa sana... Kama Nyerere asingekifanya kiswahili kuwa lugha ya Taifa tusingekuwa hapa tulipo leo...Na ni makosa makubwa sana ktk ELIMU kuchukua lugha ya kigeni kufundishia..Hakuna nchi iliyoendelea inayochukua lugha ya kufundishia tofauti na lugha ya Taifa isipokuwa nchi maskini na koloniwa, ndio maana Ujinga hauwezi kwisha..
Hapana mkuu hawa wameweza kutumia resources zao ipaswavyo na sii matumizi ya lugha ya kiingereza. Ukiwaondoa wazungu tu (waliosoma kwa lugha zao), nchi inabwaya ingawa weusi wote wanaongea kiingereza na wamekwenda shule! Halafu walioendelea zaidi yao wote ni South Africa, huko karibu kila mtu anaongea kiingereza, sasa google utazame kiwango cha elimu nchini humo ukashika tama..Wee jiulize tu kitu kimoja, inakuwaje nchi zote zilizotumia lugha zao kufundishia ndizo zimeendelea na zile tulizotumia lugha ya kigeni ndizo maskini duniani - WHY?Mkuu hii ishu ni complicated kidogo, maana ukiangalia kwa mifano halisi nchi kama Zimbabwe, Botswana, Namibia, South Africa zinatumia kiingereza and they are far much better kiuchumi (ukiondoa zimbabwe kwa sasa), well educated workforce na somehow ki-utawala bora (ondoa tena zim hapa). Lakni at the same tyme Malawi na Zambia zinatumia kiingereza kufundishia na ni mskini kuliko sisi.
Nenda Jamaica, Antigua, Guyana (Georgetown), Dominica, Trinidad kiingereza ni lugha ya taifa lakni ni maskini sana tu.
mkuu wangu narudi ktk mjadala wetu..Joka Kuu.,
Ni kweli hoja kwamba waislam hawajasoma ni hoja muflisi!
Nilichokuwa nasema mimi ni kuhusu viongozi wao wa dini kwamba wengi wao hawana hiyo elimu ya ki secular. Ndiyo maana priority kubwa unaweza kukuta ni kujenga misikiti tu. Yaani unaweza kukuta katika eneo dogo kuna misikiti mingi hata kama hiyo sehemu kuna waislam wachache.
Kingine kinachowakwaza waislam ni dhambi ya ubaguzi. Siyo tu baadhi yao wanabagua wakristu lakini hata wao wenyewe kwa wenyewe wanabaguana sana. Utashangaa sana ukiona wasomi wakubwa kama akina Issa Shivji wanabezwa na baadhi ya waislam eti kwa sababu tu anayasifia mazuri aliyofanya Nyerere. Tunaona hata hapa jamvini akina Mkandara wanavyoshambuliwa wakijaribu ku acknowledge ‘machache' mazuri aliyofanya Nyerere. Kwa wao ukimsifia mtu mkatoliki kama Nyerere basi wewe siyo muislam safi.
Kifupi watu kama akina Topical, FaizaFoxy na wengine wengi wanaona matatizo yote ya waislam yamesababishwa na bado yanaendelezwa na kanisa(Mfumo Kristu). Hapa mimi nakubali kuwa wanatafuta tu kizingizio baada ya kuona udhaifu wao na kushindwa kutatua matatizo yao wenyewe.
Huu utitiri wa taasisi za kiislam kuanzia Bakwata na nyinginezo zinawakilisha vikundi gani vya waislam? Sasa kama umoja wenyewe haupo na kuna vikundi tu , hizi kelele za kupinga mfumo kristu/MoU zitafika wapi? Hivi badala ya kwenda Diamond Jubilee na kuzunguka nchi nzima kuhamasisha waislam kupinga mfumo kristu, kwanini waislam wasikae chini kwanza na kuanza mchakato wa kuunda chombo/taasisi moja ambayo itakuwa ndiyo inawakilisha sauti ya waislam wote Tanzania nzima?
Mimi nadhani haya makelele ya uhalali wa MoU na mfumo kristo tungekuwa tunayajadili katika angle tofauti kabisa kama hawa wenzetu wangekuwa na viongozi wa dini wenye uwezo wa kutoka nje ya box!
Hahahahaha Call me mdini ,mkabila au vyovyte lakini usipotaka kufanya analytical apprrocah kutafuta au kufafanua tatizo huwezi kujua chanzo cha tatizo. U will end fighting the right war agaisnt the wrong enemy
Ebu Nikuulize naomba unipe mtazamo wako ili tutafute jibu
- Kwa nini ilianzishwa baada ya Nyerere na si wakati wa nyerere?
- Kwa nini Mou Hii ilikuja wakati wa Alhaj Mwinyi?
- Kwa nini Mkapa pamoja uwezo wa kifedha wa serikali iliyoweka hakujenga hopitali nyingine ya rufaa yenye hadhi mkoa wowote
- Kwa nini Kikwete naye anaendeleza yale yale aliyoacha Mwinyi na kuendelzwa na Mkapa ?
katika kujibu zingatia dondooo hizi amabazo badhi yake nimezitaja wenye coment nyingine
Kwa hiyo Topical I happened to be a christian but I can analyse any problem with an open mind
- Kama tunadhani chanzo halisi cha tatizo ni "mfumo kristo" kwa nini baadhi ya waaisisi wa huu mfumo wamo kina rashid, juma, bakari.? Kwa nini bado kuna kina john, Silvanus, David nao wanaathirika na huu mfumo
- Baada ya kusoma soma Nimeona MoU sio Legal Binding document. Kwa nini Jakaya Kikwete haifuti. Kwa nini mkapa hakuifuta?
- Priority ya Mfumo wa siasa tanzania uko wapi? kwenye huduma za jamii au kwenye siasa.?Kwa nini serikali iinaazisha wailaya au mikoa ya Kisiasa sehemu amabzo hazina huduma. Angalia kiwkete kaazisha wialaya ngapi. ulizia hizo sehemu alizoanziiha wilaya zina huduma gani.Kwa nini kabla ya kuanzisha tawala za kisiasa wasihakikkishe kuna hudum za kijamii. Nani wa kulaumiwa kama serikali inakimbilia kuanzisha wilaya na kanisa linakimbia kuanzisha hospitali.? Kipi cha muhimu wilaya moja itengwe kwenye majimbo mawili ya uchaguzi (Kisiasa) au wilaya mja ibaki ni jimbo moja na seriali ijenge hospitali. kuliko kuwa na maimbo mawili bila hospitali ya wilaya.
Serikali iepuke Negotiations za namna hii zinatia wasiwasi. Kwa nini iwe Kanisa peke yake? Memorandum ya namna hii ihusishe Dini na madhehebu mengine. Serikali inaongoza wananchi siyo Kanisa. MoU ya Serikali ni kwa manufaa ya nchi siyo Kanisa. Serikali yetu haina Dini ila watu wake wana Dini, wakipewa madaraka ya serikali wasi assume dogma za Dini zao.Kufanya hivyo ni kukaribisha mkanganyiko wa kisiasa, kiitikadi, kifalsafa na kiutawala.Wenye nchi mpo!