Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini


You need to go back and re-read what I have written and then do think afresh before coming back.

Just to help you, that you may think properly; do consideration of what you have written and underlined against what I had elaborated.

Ukishindwa kunielewa basi.
 

Sijui kama una uhakika na unalichokisema lakini kama kweli tunataka serikali iache kutoa subsidy kwa uendeshaji wa huduma za jamii zinazotolewa na kanisa, basi kwanza tuishauri serikali ijenge miundo mbinu yake itakayochukua nafasi ya hizo za kanisa halafu ndio iache kutoa hiyo subsidy. Lakini kuiambia serikali iache, ni sawa na kusema serikali iwaache watu wake waendelee kufa bila kupata huduma bora za matibabu na elimu!!!

Mchangiaji mmoja ameshauri kwamba ili kuwe una uwiano, basi na waislamu waorodheshe huduma za hosiptali na mashule ambazo wanataka serikali itoe subsidy ili kuzirun, do you have any? Tuache hii tabia ya kulishwa ujinga na watu wasioitakia mema nchi yetu.

Tiba
 


Mkuu weka kumbukumbu sawa sio kanisa lililotoa tamko kuwa Kikwete ni chaguo la MUngu ni Askofu Method Kilaeni halikuwa tamko la kanisa kwa mantiki kwamba alitoa kauli hiyo kwa maelekezo ya kanisa lakini pia kanisa katoliki haliwakilishi wakristo wote hata kama Kilaeni angekuwa ametoa kauli hiyo kwa niaba ya wakatoliki.

Watoto wetu na vizazi vijavyo visije kupokea kumbukumbu potofu.
 
Mimi labda sijaelewa Slaa anatolea ufafanuzi kama msemaji wa kanisa au kiongozi wa chadema.Babu mbona unatuchanganya uko upande upi

Nimsemaji na niwala wa kanisa we hujajua2
 
Tupeni MoU kwa miaka 20 na nyie mchukue kile chuo basi.

Inatia huruma kweli ukitazama mtanzania mwenzako alivyokua na uwezo wa kuelewa mambo kiasi hiki..sijui anafikiri MOU ni kama bidhaa au pesa mpaka anataka kupewa? Ningekua na uwezo ningezifanya madrasa zote kuwa shule za msingi na secondari ili wenzetu wafunguke macho
 

1) Kuhus uwezo wangu wa kufikiri kuwa mdogo, sishangai sana maana serikali iliamua kuwasomesheni nyie na ikatuacha sisi wapweke.

2) Nafasi za ualimu huwa zinatolewa kwa merit sio itikadi. Kwani wanaosoma kwenye vyuo vya ualimu si watanzania? Kwa nini kanisa litake upendeleo kwa wakristo pekee?

3) Serikali sio tu facilitator kwa Ujerumani bali na wafadhili wengine. Kwani kuna kosa gani serikali leo kujiunga na OIC, ikiwa watakaonufaika ni waislamu ambao nap ni raia wa Tanzania?
 
Kikwete kishawaambia pale Dodoma kuwa pelekeni maombi yenu. Changamkieni tenda!

Tupeleke marangapi? Wakati unaambiwa tulisha peleka, lakini serkali hiyihiyo ya mfumo kristo ikatupiga danadana mpaka leo!
 

Well said mkuu. Nimekosa sehemu ya kugonga senks. n'way senk yuu
 
Unaumba wewe na kuleta wewe huku ukilisha maneno wewe?

Leo Yeriko sijakuelewa kama ndiyo yule ambaye hapa siku zote naona unaelewa haraka, sijajua. Kwa mtazamo wangu, "the good interpretation of any idea comes from the thinker himself". Dr. Slaa anapaswa awe ndio msemaji anayeelewa vizuri kuliko sisi tuliokuwa tunafikiri tu, ila yeye alishiriki mchakato. Naona amefanya vizuri kutufafanunulia. Kwa sasa hatutajadili kitu hiki kama siri, na mimi namshukuru aliyetuletea copy, tuweke copy hii siku ukija mjadala, tusianze kusema sijawahi kuona MoU ikoje.
 

1) DR Slaa anasema hata hiyo MoU alikuwa haijui mpaka ameiona JF! Hapa natumia akili ya kuzaliwa pia kwa vile hata yeye ni mwanadamu na ana utashi wake. Swali la kwanza ni kwa nini kanisa litake upendeleo kwenye vyuo vya ualimu ambavyo vinagharamiwa na kodi za watanzania wote wakristo na wasio wakristo? Kumbuka mwisho wa siku hizo taasisi zinabaki kuwa mali ya kanisa na kuendeshwa na kanisa kwa manufaa ya kanisa sio watanzania.

2) Waislamu huwezi kuwaelewa ni wa kizazi gani ikiwa DR Slaa ambaye naye anataka kuwa rais wa Tanzania ameshindwa kuona kosa la MoU liko wapi.

3) Kwanini muilazimishe serikali kwenye MoU ikawaombee misaada nje ya nchi kwa manufaa ya kanisa badala ya serikali kufanya kazi kwa manufaa ya raia wake wote?
 
Maswali ya kujiuliza sasa;-

1. kwanini MoU ilifanywa kwa siri kubwa na hakukuwa na transparency huku serikali ya watu wote ikihusishwa?
2. Kwanini waislam na wao wakitaka kujiunga na OIC ili waboreshe shule na vituo vyao vya afya huwa wanapingwa vikali?

NB: Kikubwa zaidi nilikuwa sijui kama Dr. slaa nae alishiriki kufanikisha MoU, safi sana katibu!
 

Ndio maana natamani kuwepo na uwazi zaidi juu ya MOU.

Kusoma pekee hizi nyaraka bila ufafanuzi ni njia moja ya kujenga hoja na kupata ufafanuzi wa vyombo husika ni njia bora zaidi ili watanzania tuamue MOU iwepo au ifungwe rasmi kama ilivyoanzishwa rasmi.
 


Dhulma haiondolewi kwa dhulma bali kwa haki.

Kimsingi serikali inaimba kila siku kuwa haina dini na ndio maana haitaki kujiunga na OIC. Sasa iweje ikubali masharti ya kuimbea kanisa misaada kwenye ziara zake za nje?
 

Halafu munasema waislamu na wakristo tukae pamoja kwa matusi kama haya haiwezekani never never never!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! labda mkae na sheikh wa mkoa wa Dar sisi tutakula sahani moja na nyinyi mpaka kieleweke MWENYEZI MUNGU ANASEMA HAWATAKUWA RADHI NA NYINYI MAYAHUDI WALA WAKRISTO MPAKA MFUATE MILA YAO
 
Tupeleke marangapi? Wakati unaambiwa tulisha peleka, lakini serkali hiyihiyo ya mfumo kristo ikatupiga danadana mpaka leo!

Unaweza kuweka copy (hata kama ni draft) ya hicho kilichopelekwa kwa serikali?
 

You are missing the point. Huwezi kutuambia kwamba wakristo wana elimu sana kwa vile waliumbwa hivyo! Ni set up tu ambayo serikali kwa kushirikiana na makanisa waliamua kufanya makusudi kwa misingi ya kibaguzi. Hili lazima lijadiliwe katika national level kama ambavyo tuanjadili ufisadi mwingine.
 

wewe huna akili kabisa MOU imeisoma vizuri? pesa inatoka serikali ya ujerumani unyonyesha ni wapi serikali yetu ya tanzania ilikubali kutoa pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…