Mimi nalijua hili swala siku nyingi hiki chama ni cha kikristo waislamu hawaamini hawajamaa ni double faceMimi nilichogundua ni kuwa CDM na CCT/TEC ni faces of the same coin! Hushangai wapambanaji wa CHADEMA ndio hawa wanaopigania MOU!
Tusiende huko ( Hospital, Mashuleni ) kwanini Wakati kodi zetu zina enda huko? Tumieni michango yenu ya kanisani kuudumia shule, hospital zenu alafu muone kama kuna muislam atakae kanyaga
You need to go back and re-read what I have written and then do think afresh before coming back.
Just to help you, that you may think properly; do consideration of what you have written and underlined against what I had elaborated.
Mwisho wako wa maelezo ndio hapo na ni kauli ya kiungwana kwa vile muungwana akivuliwa nguo huchutama.
Ukishindwa kunielewa basi.
Mimi nilichogundua ni kuwa CDM na CCT/TEC ni faces of the same coin! Hushangai wapambanaji wa CHADEMA ndio hawa wanaopigania MOU!
Umewasoma mkuu? Ndio maana wako hukohuko kaskazini2 huku cidadi hawampati mtu, maana tumeshtuka kuwa wana tumiwa na kanisa
wewe huna akili kabisa MOU imeisoma vizuri? pesa inatoka serikali ya ujerumani unyonyesha ni wapi serikali yetu ya tanzania ilikubali kutoa pesa.
hapo kwenye red kuna mjadala ama fedha zote zinatoka kwa wahisani au serikali pia inatoa. Sina jibu ni swali tu. Kama serikali inatoa basi pia tunahitaji kuwa na taarifa za kina kwa kiasi gani na kama haitoi tunahitaji kujua.
Ni kitu gani kimezuia taasisi zingine za dini kupata?
je kuna mkono wa kanisa kuzuia hilo?
Je, kuna mkono wa waislamu kujizuia kupata?
je kuna haja ya kuwepo MOU katika mazingira ya malalamiko ya sasa hasa kama serikali inahusika?
Mkuu inawezekana unalolisema ni kweli, labda walitaka mashirika ya kikatoliki yawasidie maana huko kwenye mashirika yao wanasaidiana namna ya kujilipua au kuutokomeza ukristu. Wanasahua kuwa kumwondoa anayeshikilia njia kuu za uchumi au huduma za kijamii ni ngumu. Kwa mfano leo hii ukiwaambia wakristu wafunge hospitali zao zote nchini, patachimbika. Hadi hao wanaouchukia ukristu wataathirika. Kwenye mashule na vyuo hayohayo
Leo Yeriko sijakuelewa kama ndiyo yule ambaye hapa siku zote naona unaelewa haraka, sijajua. Kwa mtazamo wangu, "the good interpretation of any idea comes from the thinker himself". Dr. Slaa anapaswa awe ndio msemaji anayeelewa vizuri kuliko sisi tuliokuwa tunafikiri tu, ila yeye alishiriki mchakato. Naona amefanya vizuri kutufafanunulia. Kwa sasa hatutajadili kitu hiki kama siri, na mimi namshukuru aliyetuletea copy, tuweke copy hii siku ukija mjadala, tusianze kusema sijawahi kuona MoU ikoje.
Katika MoU, serikali ya JMT inakubaliana na makanisa mambo mawili makubwa ya kifisadi dhidi ya waumini wengine wa Tanzania:
1) Kutoa nafasi za upendeleo kwenye vyuo vya serikali vya ualimu kwa ajili ya kufundisha walimu watakao kwenda kufundishwa shule za kanisa. Kumbuka nafasi hizo ni over and above zile ambazo wakristo huzipata kwa merits. Halafu utegemee waislamu wawe juu kielimu?
2) Serikali ilijicommit kuingiza maombi maalumu kusaida kanisa kupata misaada kutoka nje ya nchi. Hivi hata kama mimi leo hii ukinipa huo uwezo nitashindwa kuanzisha chuo kikuu?
Ombi kwa wale wabunge mashuhuri wa kupeleka hoja binafsi bungeni:
Tunataka MoU ijadiliwe na bunge na kupata maoni ya wabunge tuliowachagua kama kweli MoU inasimama katika misingi ya haki.
Cc: Zitto, Halima Mdee, John Mnyika, Tundu Lissu
Ritz utanisaidia kuwa copy wabunge a CCM ambao wako JF ili wapate message za wapiga kura wao.
Sasa waje hapa akina Sadeeq na wote wale waliokuwa wanapotosha MOU kuwa matokeo ya mfumokristo na uonevu wa serikali kwa Waislamu. Njooni hapa tuwasikie na upotoshaji wenu.
Slaa kasema vizuri tu,msingi wa mou ndio huo waislam wenzangu,masheikh waache sasa hii habari jambo la msingi walilopaswa kulivalia njuga ni urejeshwaji wa mahakama ya kadhi ambayo mkapa aliwaahidi waislam akiwa mwenyekiti wa ccm na kuonyesha msisitizo kwamba jemedari mkapa alipania kutupatia waislam kadhi kama alivyopigana kiume licha ya upinzani mkali wa kanisa kuhakikisha chuo kikuu cha kiislam kinaanzishwa ndani ya utawala wake,tatizo la utekelezaji wa uanzishwaji wa mahakama ya kadhi lilianza kulegalega walipoingia madarakani kikwete na lowassa angekuwepo mkapa muda huu mahakama ingekua ilishaanza muda mrefu,masheikh muulizeni kikwete kwanini aliiondoa kabisa kwenye ilani issue ya mahakama ya kadhi?????????pengine tuanzie hapo,mjadala wa mou umefungwa rasmi sababu ni wa kitoto
kwanini usiwe muwazi tu na kusema unaichukia dini yake? serikali ya ccm iliyosimamia haya yote na rais wako kikwete aliyeitetea mou mbele ya umma wa waislamu naye unamsemaje? anatetea maslahi ya kanisa? akili fupi mpaka inatia kinyaa...Dr Slaa bora angekaa kimya huyu ndiyo anategemea kugombea urais kupitia chama chao cha Chadema anaeleza suala la MoU kwa maslahi ya Kanisa.
Mkuu mbona hili swala mkuu lynxeffect22 na wengine humu wamekujibu lakini hutaki kuelewa au unataka majibu yatakayo kupendeza unatatizo kubwa sana la udiniKusema tu kuwa hana akili kwa vile anatetea haki yake hakusaidii. Mimi nimeisoma MoU vizuri na kama unaweza jibu haya maswali hapa chini yanayotoana na MoU:
By Freshthinking
Ufisadi wa MoU uko hapa ambapo DR Slaa nasikitika hakuweza kutuelezea kwa undani:
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi
The government shall endeavour to include financial assistance for church run social services in its bilateral negotiations particularly with the Federal Government of Germany. Consideration shall be made during its bilateral negotiations with other donors. Article xiii.
Sasa wakristo tujadiliane kwa hoja:
1)Hivi ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kutowa nafasi za upendeleo kwenye elimu kama artcle xi inavyosema, tena isitoshe kw manufaa ya kanisa?
2)Ni haki kwa serikali isiyokuwa na dini kuombea kanisa misaada katika Nyanja za kimataifa.
Sasa hapa ni kipi mnahitaji kuoneshwa ili muamini kwamba serikali inawazunguka waislam?
My take: "Tukumbuke kubomoa ni kazi nyepesi sana, sekunde lakini kujenga tena inachukua muda mrefu na ni kazi ngumu, na wakati mwingine hata ukifanikiwa huwezi kujenga kama ilivyokuwa."
Nisaidieni kufahamu zaidi, hii safari ya negotiation (makubaliano) baina ya serikali na taasisi za kidini, naona ilianza na dini zote, lakini baadaye MOU imebaki kati ya taasisi za kikristo na serikali, ili hali taasisi za kiislamu hazionekani? au walijitoa? ama hawakuwa na kitu kilichotaifishwa sasa ikabidi wasihusishwe?
Naomba nijibu kipengele cha pili:
The government shall provide vacancies in its Teachers training colleges for training qualified persons as teachers earmarked for church owned schools. Article xi
Hapo nilipopigia mstari ni walimu makhsusi kwa ajili ya shule za kanisa.
Mkataba huo kwa sasa una miaka takriban 22, ni upi ukomo wake? Kama hivyo ndivyo kuna ajabu gani kwamba shule za serikali hazifanyi vizuri bali ni shule za kanisa? Huu ni ufisadi ambao hauwezi kumalizwa JF bali viongozi wa dini ya kiislamu, kanisa na serikali kukaa na kujadiliana. Kinyume chake ni maafa twendako.
Usiwe na akili fupi kama maisha ya funza, wewe unaupenda Uislam?kwanini usiwe muwazi tu na kusema unaichukia dini yake? serikali ya ccm iliyosimamia haya yote na rais wako kikwete aliyeitetea mou mbele ya umma wa waislamu naye unamsemaje? anatetea maslahi ya kanisa? akili fupi mpaka inatia kinyaa...