Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini




si kweli,yapo mengi sana umeyaacha kwenye mission & visions za oic,na zipo nchi nyingi za kiafrika kama tanzania ambazo sio islamic states au arabic states zilizojiunga na oic kwa manufaa ya kiuchumi pia,kama unaibana hoja hiyo,vip waislam wakija na hoja ya kuwepo kwa uwakilishi wa vatican hapa nchini??uwakilishi huo ni kwa manufaa ya upande upi baina ya pande hizi mbili??

oic ina takriban nchi wanachama 57 zinazoshirikiana kiuchumi na mambo mengine,nitakupa baadhi ya nchi za africa ambazo sio islamic states na zimejiunga na jumuiya hiyo kwa manufaa makubwa kabisa,
ZIPO NCHI KAMA UGANDA,NIGERIA,SUDAN,IVORY COAST,GABON,MSUMBIJI,TOGO N.K
HIZO NI NCHI WANACHAMA WANAONUFAIKA MOJA KWA NA JUMUIYA HIYO HALI YA KUWA KWENYE MATAIFA YAO KUNA MCHANGANYIKO WA DINI MBALI MBALI,VIP NYERERE ALIZUIA HOJA HIYO ILIPOTOKEZA HAPA NCHINI,VIP VATICAN IKAPATA URAHIS WAKATI HILI LINAPINGWA,NI WAZI YA KWAMBA ALISHAJENGA MATABAKA NA TENSION ZA KIIMANI,KAMA VATICAN IPO HAPA NA INASAIDIA NDUGU ZETU WA IMANI ZINGNE AMA IMANI ZOTE KWA UJUMLA ALIKUWA ANA SABABU ZIPI ZA KUTILIA SHAKA JUMUIYA HIYO YA MAENDELEO YA KIUCHUMI??NAOMBA UNIPE MAJIBU MKUU.
 
Mkuu kwani utaifishaji ulipita Bungeni? Then lasilimali nadhani msimamo wako ungeuelekeza kwenye gesi,dhahabu,pembe za ndovu zinazoibiwa kila kukicha kuliko kupingana na MoU ambayo inabaki kuwa na manufaa kwa Watanzania wote pasipo kubagua.

kwa vile umejitwisha jukumu la kumjibia basi jibu kwanza "Sasa mbona Dr amesahau kuelezea ilikuwaje mpaka serikali inakuwa inachota hazina fedha na kuyapatia makanisa peke yake?"
 
Baby show nasikia ulikamatwa kwa uzururaji maeneo ya Manyanya ukitafuta chips yai ukienda kibaruani mtaa wa Ufipa milango ya saa 7 usiku.
 

Ni mawazo yako kaka,nawajibika kuyasikiliza hata kama tunatofautiana. Vipi swala la huduma za jamii walijenga?
 
Naona akina Mohamed Saidi wengine wameibuka na Historia yao ya ukweli..."Waarabu hawakufanya biashara ya Utumwa. Wanapakwa matope tu". Hivi wenzetu dini inawafanyaje vichwa vyenu?
 

achana na makaratasi hayo mimi nakuambia practical thing kinachofanyika.
 

hebu tumia ubongo wako kidogo. Unatakiwa kuiuliza serikali yako siyo Dr Slaa, DK hana dola, hakusanyi kodi, labda nikusaidie njia mbili chagua moja, mapinduzi ya nguvu ya umma kwa shinikizo la maandamano na migomo, au demokrasia kupitia sanduku la kura, kuchagua Raisi,Wabunge,Madiwani na viongozi wa serikali za mitaa ambao wana uwezo wa kuihoji na kuibana serikari, vinginevyo utabaki kulalamika humu JF mpaka unaenda kaburini
 
kwa vile umejitwisha jukumu la kumjibia basi jibu kwanza "Sasa mbona Dr amesahau kuelezea ilikuwaje mpaka serikali inakuwa inachota hazina fedha na kuyapatia makanisa peke yake?"
Kaka soma bandiko vizur, Dr. mbona kafafanua vizur tu. Kwani jukumu la kutoa huduma kwa raia ni la nan?
 

uko sawa kabisa, huenda hajasoma bandiko vizur
 
una hatari
 
Naona akina Mohamed Saidi wengine wameibuka na Historia yao ya ukweli..."Waarabu hawakufanya biashara ya Utumwa. Wanapakwa matope tu". Hivi wenzetu dini inawafanyaje vichwa vyenu?

Bora kaka unisaidie
 
 
baby show nasikia ulikamatwa kwa uzururaji maeneo ya manyanya ukitafuta chips yai ukienda kibaruani mtaa wa ufipa milango ya saa 7 usiku.

kama milembe unasema mwenyewe wameshindwa kukupatia tiba,mimi nitakuwezea wapi mingoi??
 
Naona akina Mohamed Saidi wengine wameibuka na Historia yao ya ukweli..."Waarabu hawakufanya biashara ya Utumwa. Wanapakwa matope tu". Hivi wenzetu dini inawafanyaje vichwa vyenu?

Du! hivyo ndivyo ulivyoelewa? ama kweli kazi ipo. Hii siyo mada tunayojadiri ebu anzisha link upate fundishwa uelewe. warabu na wazungu wote walifanya hiyo biashara isipokuwa imekolezwa zaidi kwa waarabu as if wazungu hawakufanya na iyo ni propaganda iliyofanywa purposely wala siyo kw kukosea na ndio maana nikasema hutopata picha ya kupigwa ambayo inamuonesha mwarabu akimtesa mtumwa japo hiyo ni biashara haramu, ila utapata picha za wazungu. walichokifanya kwa kuwa walikusudia kuhakikisha mwarabu anaeleweka vibaya walimueleza tofauti na alivyokuwa na kwa kuwa hawakuwa na picha ambazo ni photo kwa waliyoyatengeneza ndio wakawa wanachora. sasa tulio wengi tumeimeza hiyo historia. najua wakati ukiwa shule ndio unasomeshwa historia ulifundishwa na kuaminishwa kuwa wewe umetokana na nyani laki i sidhani kama mpaka sasa eti imani hiyo kama bado unayo.
 

Big Shaw huwa sipendi malumbano ya kidini, ila kwa uwelewa wangu nilijaribu kuangalia dhumuni ili kuona hoja yako kama inasimama. mimi ninashauri utengenezwe MUO ya Jumuiya za Kiislamu Tanzania kupata msaada OIC na serikali ya Tanzania ihusishwe na kwa manufaa ya watanzania wote.
 

Kaka kwani leo hii watu hawatibiwi? hawasomi kwenye taasisi husika? uko dunia ipi mwenzetu? au ndio elemu ahela inavyosema upinge tu hata kama huna hoja?
 
Na Warabu je? wao shida yao ilikuwa ni watumwa tena kwa kuwafunga minyororo, tena wana roho mbaya hata shule na hospital mnazotolea povu hawakuwajengea.

You have said it all. Zaidi tena waarabu waliwahasi watumwa ili wasizae na wanawake wenye mimba kutumbuliwa. Ajabu kuna baadhi ya watu wanawaabudu. Wao walifika kabla ya wazungu tuambieni waliwapatia waafrika nini?
 
nakushukuru sana,
na ubarikiwe sana.
 

Hivi kwanini WAISLAMU mnapenda kujivika majoho ya UJINGA?

Umesoma tamko la maaskofu la juzi? Maaskofu wameitaka serikali iondoe UKIMYA, iulezee umma wa watanzania hasa walalamishi WAISLAMU juu ya MoU na kanisa. Na Kama serikali inaona hakuna sababu tena ya kuendelea kuwepo kwa MoU kati ya serikali na kanisa. Basi SERIKALI ivunje MoU na kanisa. Lakini hadi leo serikali ya Mh. Jakaya KHALFANI Kikwete iko kimya as hakuna kitu kichoendelea.

Lakini hii ni calculated move ya CCM ya kuendelea kuwatumia WAISLAMU kama toilet papers kwa kisingizio hicho hicho cha MoU. Khalfani Kikwete vunja MoU na kanisa uwasaidie Waislamu wenzake tuone kama wataweza kujenga hospitals, shule na hata kuendesha mahakama ya kadhi.

BTW, ni Serikali ALHAJI Alli Hassan Mwinyi ndiyo iliingia MoU kati ya kanisa na serikali. Sipati picha kama ingekuwa serikali ya Nyerere sijui akina Mohammed Said, Riz1, Sadeeq etc wangesemaje? Nafikiri wangekwishajilipua hawa watu!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…