Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini


Sikudharau nakuelemisha tu! Wewe ndiye unayetakiwa ku'prove' huo ufisadi unaofanywa na Wakristo na unahusianaje na MoU tunayoijadili lakini si kuchomekachomeka tu rubbish kila rubbish kwa vile una chuki na Wakristo.
 
Uislamu unafundisha kisasi na ndiyo uhai wa Waislamu...

Ukristo wenyewe unafundisha UFISADI na wizi kama mzizi mkuu wa iimani hiyo.

Ndugu Waafrika na Watanzania wenzengu, angalieni hapa, hawa wawili, Sweke 34 na Barubaru, ni ndugu moja, wote ni WAAFRIKA tena ni WATANZANIA, lakini tofauti ni kuwa mmoja ni theist wa Kiarabu mwingine theist wa Kizungu, mmoja ajiona yeye ni mwarabu mwingine ajiona yeye ni mzungu, lakini kwa sababu tunajua hapo hakuna mwarabu wala mzungu basi mwisho wa siku hawa jamaa si waafrika na wala si wazungu na wala si waarabu. kifupi ni kuwa wamepoteza identity yao kama waafrika watanzania, wanachotaka sasa ni kuuana tu basi, kila mmoja akimpigania Mungu wake ambaye hata hivyo kila mmoja husema kuwa Mungu ni mmoja tu na si wawili wala watatu...can you people see the ironic display of this notorious brainwashing???!!
 
moshdar dini ni imani na inatakiwa iwe kitu kizuri. Kitu cha kuwaunganisha watu si kuwatenga watu...

Mkuu Sweke 34, vip kuhusu hiyo video uliyoipost na 607, huyo anayezungumza anachotuambia hapo ndicho unachotuambia wewe? huyo Mungu anayemsema yeye na huyu unayemsema wewe ni yupi na yupi? ni Mungu mmoja au ni Muingu wawili tofauti? kwa sababu ni kama kwenye video nimeskia mzungumzaji anasema kuwa "kauwawa kiongozi wa dini ya Mungu basi na ninyi, yaani watu wa Mungu wa huyo kiongozi aliyeuwawa, kaueni kiongozi wa dini ya Mungu wa upande ule!!! huyu Mungu wenu mbona mnywa damu za watu huyu??!! haeleweki huyu Mungu. huyu Mungu amekuwa ni kiini cha laana ya machafuko, visasi, chuki na mauaji kwa wana wa Afrika na Tanzania.
 
Mkuu mbona mimi ni Mtanzania na sitaki kumuua mtanzania mwingine ambaye siyo dini yangu? Mbona unatuweka wote kwenye kundi moja? Mimi sina tatizo na mtu wa dini nyingine wala mpagani.
Mkuu acha kupandikizia watu wengine hisia unazoziona kwa watu wengine.
 
Mkuu hata baadhi ya imani zetu za kitamaduni zinaleta mauaji...Halafu unaposema mungu wenu analeta machafuko,visasi,chuki na mauaji unatakiwa umtaje ni Mungu anayefuatwa na akina nani siyo kujumuisha waamini wote wa madhehebu yote kama wanamfuata Mungu huyo.
 

kaka nakuskia sana unachokisema. Tatizo ni kuwa waabudi Mungu wa kikoloni, bila kujali ni wa Mungu yupi, bila kujali kuwa Mungu huyo anatangaza wema ama mauaji,....hakuna atakayekubali kuwa Mungu wa upande wake ndiye Mungu asiyetakiwa na kuwa Mungu wa upandewa pili ndiye Mungu anayetakiwa. Kila mmoja atashkilia kwa nguvu zake zoooooooooooooooooooote kuwa Mungu wake ndo Mungu sahihi, na atakusomea kwenye vitabu nyao kukudhibitishia hilo!!

ukijaribu kufikiri kidogo nje ya boksi utaona kuwa ukweli ni kuwa hawa wote hawana Mungu(if there is one by the way) wao, ila ni wafuasi wa Mungu wa watu wengine kutoka huko uarabuni. Ni Mungu anayezunguka duniani kunyang'anyana wafuasi, ni Mungu wa wafuasi. waafrika wamemwacha Mungu wao, ambaye hana haja ya kupigania wafuasi na wala hana makundi, wamemfuata Mungu Mpigania wafuasi. Waafrika wamemwasi Mungu na sasa Mungu anawaadhibu - mtoto anamchinja mama yake, mama anamchinja mumewe nk nk. Mtu ukishapoteza asili yako ni kama vile haupo tena, you becabe a nonsensical.

Lakini si kuwa dawa haipo, dawa ipo nayo ni waafrika kujitambua wao ni kina nani. KUtambua kuwa, kaMa wewe ni mmatumbi ni mmatumbi tu huwezi kugeuka kuwa mwarabu kwa kujifunga kilemba, huwezi kugeuka kuwa mzungu kwa kuvaa tai, mmatumbi ni mmatumbi tu hadi kufa.
 
moshdar waliokuwa brainwashed ni wale ambao wanaangalia kila kitu kupitia jicho la dini na hata kufikia hatua ya kuua ndugu zao kwa sababu ya dini. Mifano ipo mingi.
Ni mambo mangapi wewe ya wazungu umeyachukua, kuyaamini na kuyashabikia? Unaposema tupo brainwashed inatuchoma sana wengine maana utanzania wetu upo ndani sana ya mwili labda kupita hata wewe mpagani.
 

kwani ninyi waabudi Mungu huwa mnafundisha NINI kuhusu Mungu Mmoja? au nikuulize wewe mwenyewe mkuu, je mafundisho yako kuhusu Mungu yanasema Mungu ni wangapi? Ntaomba na shekhe naye aje atuambie mafundisho yao yanasema Mungu ni wangapi? kama mafundisho ya kila mmoja yatasema Miungu ipo mingi basi ntataja unachotaka nikitaje lakini kama kila mafundisho yatasema Mungu ni mmoja tu na kuwa hakujawahi kuwa, hakupo na hakutakuwepo na Mungu mwingine basi hapo utanisamehe kwa unalotaka nitaje..
 
Hapo kwenye red inabidi ufafanue vizuri... halafu ututambulishe kwa huyo Mungu wa Africa. Je kila mmoja alimwamini Mungu huyo. Hebu tueleze...
Mkuu umeleta mjadala mwingine ambao ni mpana sana.
 
Mkuu dini ni imani. Mababu zetu/na wengine mapaka sasa wanaamini ushirikina. Kuna imani ambazo siyo ushirikina lakini ni potofu. Babu zetu walikuwa wanapigana koo kwa koo/kabila kwa kabila. Mambo ambayo bado yanaendelea sehemu mbali mbali afrika. Sasa unataka tuyashikilie hayo au? Ningekuona wa maana kama ungehimiza kila mtu ahubiri dini yake kwa upenda bila kumkwaza au kumdhuru mwenzake. Hapa duniani karibu kila kitu kina wafuasi...hata ushirikina...
 

Sweke 34, hapo kwenye red, ni lazima wafanye hivyo kwa sababu ndivyo dini yao(yaani dini yakiarabu) na Mungu wao anavyoamrisha. Na huyo Mungu anasema majibu yoooooooote yapo kwenye dini na after all yeye huyo Mungu ndiyo mwanzo na mwisho, alfa na omega. najua hata dini yako(yaani dini ya wazungu) ndivyo inavokuambia wewe, kuwa majibu yoooooooooooote yapo kwenye dini na kuwa Mungu ndo yote kwa yote, alfa na omega, ila tu mnatofautiana kwenye mkazo.

solution ni ninyi nyote mjitambue kama waafrika kwanza na mjue nyinyi si waarabu na wala si wazungu. bila hivyo ni lazima mtamalizana tu. Yule anayejifanya mwarabu ataua mwafrika mwenzake akdhani anamuua mzungu kumbe anamuua nduguye wakati mwarabu yupo tuliiiiiii anauza petrol yake tar tiiiiiibu. halikadhalika kwa upande mwingine ndivyo. Jitambueni kwanza. eleweni ni nini hasa ukolon, ulisababishwa na nini, ulipata nguvu ya kuenea kupitia nini, ulitutenda nini nk nk
 
Mara zote Pedri Slaa hasemi ukweli. Eti anatetea kauli ya maaskofu katika tamko lao kwamba MoU ilihusisha makanisa ya ujerumani na ya Tanzania wakati cover page ya MoU yenyewe inaonesha wazi ni kati ya CCT na TEC kwa upande mmoja na Serikali ya Tanzania kwa upande mwingine. Na si kweli eti serikali ni Mwangalili (Observer) bali ni mtekelezaji wa MoU.
 
Waislam muwe macho na dk slaa. Amekuonyesheni mapema. Mara kesho ataingia kuutetea mfumo kristo
 

hapo red mkuu, tatizo ninyi hamhubiri dini zenu bali mnahubiri dini za wenzenu. dawa ya imani za ushirikina wa babu zetu ilikuwa simpo....ni kuwafundisha tu kuwa hakuna kitu kama ushirikina. na hakuna kitu kama kuamini halafu ukasema imani hiyo ni hakika, ni ukweli. ukweli pekee ni kujua na kujua ndiyo ukweli. huwezi sema namwamini mungu na mungu huyo nayemwamini najua kwa uhakika ndiye mungu wakweli...hii tiyar ni contravercial statement kwa sababu huwezi kuithibitisha. na kwa sababu huwezi kuidhibitisha bas atajitokeza mwingine atasema wewe unapotosha bali mungu ni huyu huku. bahati mbaya sana katika kila upande kumfuata huyo mungu wanayemjua wao kuna maslahi flani flani mfuasi anayapata, na hayo maslahi hayawezi kuwa sawa sababu hakuna usawa duniani, mwishon mmoja naona wivu...watu mnachnjana,lakini kiini....ni imani za kuletewa na kusadikishwa ndiyo ukweli.

hapo blue jibu langu ni mwendelezo wa jibu hilo hapo juu, kwa kifupi ni kuwa two wrongs does not make it right. kuu-replace ushirikina wa kiaafrika kwa ushirikina wa kizungu au wa kiarabu si suluhisho sahihi. Suluhisho sahihi ni kuufuta ushirikina altogether. waafrika turudi nyuma, tuchukue uchafu wa babu zetu tuusafishe tupate kitu safi twende mbele, hivi vya kuazima havitatusaidia sababu si vyetu. Nguo ya kuazima haisitiri mata.o
 
Waislam muwe macho na dk slaa. Amekuonyesheni mapema. Mara kesho ataingia kuutetea mfumo kristo

ni kwa kuwa anayeandika hapa ni mtu ambaye hajitambui asili yake yeye ni nani, ndo maana hajui kuwa anchoandika hasa ni kitu kingine na si hicho alichandika. sentensi aliyoandika hapo juu kimsingi siyo yenyewe ila yenyewe ni hii hapa chini

Waarabu-waafrika muwe macho na dk slaa. Amekuonyesheni mapema. Mara kesho ataingia kuutetea mfumo-wazungu-waafrika
 

Nilikuuliza hiki kitu ulichokiandika ukitolee maelezo
waafrika wamemwacha Mungu wao, ambaye hana haja ya kupigania wafuasi na wala hana makundi
Ufafanuzi tafadhali, ni Mungu gani huyo wa afrika??
Cha kuazima hakistiri ------ umekiona kwenye dini tu?
Mbona siasa iliyoua/inayoendelea kuua waafrika wengi na yenyewe ni ya kuazima tu? tuiache kwa sababu inatufanya tuwe wafuasi wa makundi fulani yanayopingana?
 
usipotoshe. Si unajua maaskofu wamebanwa sana. Mwanzo walikana mo. Dk slaa kaona aingie kusaidia jahazi. Lkn naona ameficha mengi kuhusu mou na kazungumzia zaidi propaganda
 
dk slaa ni apdri, anaeijua UFISADI WOTE WA KANISA. UNADHAANI ANGALISEMAJE KUHUSU MOU?
 
usipotoshe. Si unajua maaskofu wamebanwa sana. Mwanzo walikana mo. Dk slaa kaona aingie kusaidia jahazi. Lkn naona ameficha mengi kuhusu mou na kazungumzia zaidi propaganda

walikana mno nini? unaweza kutupa ushahidi tukaona ni nani , wapi , lini na kitu gani walikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…