Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwaka gani?Edward Lowassa ndiye aliyesign hii Memorandum of Understanding kati ya Kanisa na serikali
You've not answered my question, tunahitaji facts and figures. Serikali imetoa kiasi gani kwenye hii miradi?Ukiisoma hii MOU na Kanisa hapo ndipo utakapojua kwamba hizo hela za kujenga hizo projects zinatoka wapi.
Tatizo siyo utolewaji wa hizo huduma. Tatizo hizo huduma zinahudumiwa na fedha ya serikali, sasa kama ni za public kwa nini ziwe za upande mmoja tu?
Hata mimi nilitaka kuuliza swali kama hili. Kwani ajabu hapo iko wapi? MoU ni makubaliano kuwa na uelewa wa pamoja kwamba Taasis fulani itatoa huduma fulani katika muktadha fulani na hapa kwa mfano, hizo taasis za "kanisa' zitatoa huduma kufuatana na makubaliano hayo. Serikali nayo imekubali kufanya mambo fulani kama namna ya mashirikiano.Hizo huduma kwani haziwasaidii wenye imani tofauti? Ni lini taasis zenu nyie mnaokereketwa na hii MoU zilikataliwa kusaini MoU na serikali?
Mbona Serikali ina saini MoU n akila taasis inayoshiriki katika kusaidia kufanya kazi au kutoa huduma? Mbona hamuulizi MOU za serikali na UN, Bilaterals kama NORAD, SIDA etc?
Au kwa vile hapa kuna "udini"? Hebu tuache mambo mepesi tujadili issues nzito.Huu udini unakuwa kama ajenda ya siri ya kuleta machafuko hasa ukizingatia wengi wa watanzania bado ni wageni sana wa modalities mbalimbali za namna serikali inavyofaya kazi kushirikiana na taasis zisizo za kiserikali.
Former President, Alli Hassan Mwinyi is in a better position to answer your question. Likewise, Benjamin Mkapa can tell us what really happened to the TANESCO College in Morogoro.
Huo ndio ukweli, kwani serikali kama ndiyo inayotoa pesa kwa hayo makanisa sasa inashindwa nini kusimamia yenyewe. na kumbuka slogan ya serikali yetu ni kuwa haina dini sasa kwanini isign mikataba na makanisa, je upande wa pili utalichukuliaje hilo?Tatizo ni kwanini Serikali imeingia makubaliano na Kanisa; kwa maoni ya watu inaonesha kuwa Serikali inapendelea makanisa. Kwa baadhi ya watu haijalishi kama mambo ya MoU ni ya kawaida au haijalishi kama serikali inafanya hivyo kwa taasisi nyingine hata ziwe za Kihindu au Kiislamu au mashirika mengine yasiyo ya kiserikali. Haijalishi. Tatizo ni kuwa kanisa limeingai makubaliano hayo. Na utaona kuwa watu hawataki kuangalia kabisa kuwa ilipofanyika Rais alikuwa ni Muislamu - hata hilo halijalishi.
Kuna msemo kwamba ni kujaribu kutengeneza kimbunga kwenye kikombe cha chai!
Former President, Alli Hassan Mwinyi is in a better position to answer your question. Likewise, Benjamin Mkapa can tell us what really happened to the TANESCO College in Morogoro.