Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Before 1992 MoU nitajie chuo kikuu kimoja cha kikristo Tanzania?

Before 1992 MoU nitajie hospitali moja ya kikristo Tanzania? usinitajie Bugando, wala KCMC kwasababu zote zilijengwa na serikali ya mkoloni, unajua serikali maana yake ni kodi za watanzania wote..

Acha hizo nyie mkiiba seriaklini si juhudi hiyo hakuna tofauti na RA na EL
Wangejengaje vyuo vikuu bila sheria kuruhusu? Bugando ilijengwa na Mkoloni? Cardinal Rugambwa atajisikia vibaya huko kaburini.
 
Out of topic

Kumbe kuonyesha dhuluma ni kulalamika aisee tutaendelea kufanya hivyo mwisho wa umri wetu ok

Besides, shule tunajenga, zinajengwa wala kama huna macho maendeleo ni makubwa baada ya kuondoka babu nyerere sana tu..

Ila hiyo ya kuchukua fedha za walipa kodi na kupeleka kanisani tutapiga kelele kwa sauti hadi kieleweke no retreat..

MoU mnayoilalamikia iliidhinishwa na al haji ali hassan mwinyi, ama huyu sio muislamu?

Kikwete keshawaambia nanyi pelekeni proposal lakini hampelekji mnaishia kulalamika. Kama ngekuwa na hospitali msingekuwa hapa JF kulalamika, mngeshapeleka proposal ya MoU na serikali ingeshaisaini, kwakuwa ingesaidia kusogeza na kuboresha huduma kwa watanzania.

Kama unadhani kupiga kelele bila kufanya kazi itasaidia, basi endeleeni tu, tutaona mwisho wake.
 
Kwanza asante sana kwa kujitahidi kutetea labda nichambue hoja zako kama ifuatavyo.

a. Hospitali za kanisa nyingi gharama zake ni kubwa kuliko hata hospitali za binafsi na hivyo basi hata kama mie nina uwezo basi ilitakiwa hospitali kama zinapokea msaada wa serikali wa kodi zitoe huduma hizo either bure au kwa gharama nafuu which is something hospitali nyingi za kanisa hazipo hivyo. Tangu mjadala uanze nimekuwa nawauliza wapi hospitali za kanisa zinatoa huduma bure au bei nafuu tuende hamna jibu.

b.What makes you think waislamu hawajapeleka MoU serikalini? Nimewauliza mbona serikali haikutaja sababu za kwanini MoU ya akina Sheikh Ponda ilikataliwa ili tuwasaidie utaalamu wa kuandika upya ipelekwe huko serikalini? Jibuni kwanza sababu za MoU ya akina Ponda kukataliwa??? Acheni kuleta unafiki hapa.

c. Kuhusu shule nilizotaja hapo Mzizima, Feza na Al - Muntazir ziko nafasi ya juu sana kwa kufaulisha watoto na watoto wenye nidhamu ya hali ya juu unajua kwanini zimefanikiwa na isiwe shule za Bakwata kama Kinondoni nk.???

d. Auditing ni muhimu kwasababu kuu mbili:-
a. Kujua accountability ya fedha zetu kumbuka kila mwaka mie binafsi nachangia Tshs 360,000 katika Bilioni 91 zinazopelekwa huko kanisani. Mtu kama Bakhressa yeye anatoa karibu Bilioni 1.54 kwenye pesa zinazoenda kanisani hivyo tunademand tujue hela zetu zimetumikaje????

b. Auditing itatusaidia kufahamu gharama zenu mnazodai ni halali na hakuna unfairness yeyote. Hivyo basi anapolipia gharama ya juu kwenye hospitali za makanisa ajue analipia kitu gani. Na usidai quality of service kwasababu mpaka hospitali pekee yenye standards za juu ni Muhimbili Hospitals hasa MOI ikifuatiwa na Aga Khan hospitals. TMJ, sijui wapi ni miyeyusho mitupu.

Pesa za misikitini hakuna senti moja ya serikali mkuu hivyo kama watahitaji auditing ni waislamu wenyewe waulize lakini pesa za makanisani ni hela zetu mkuu tunaomba auditing maana tujue hela zetu zimetumikaje otherwise hatutaki MoU na hela zetu zirudishwe zile Trilion 2.
Karo ya FEZA ni shilingi ngapi vile kwa mwaka? Waturuki wale wanatuibia sana. Halafu, UISLAMU ule wa Waturuki sio kama huu anaouhubiri Mohamed hapa!
 
Nadhani inatakiwa kuanzishw thread mpya ya kitafifa kuzungumiza Miaka 50 ya uhuru.

Hakuna anayebisha kuwa hakuna Usawa . Lakini tatizo hili kwa kundi moja au mfanikio kwa kundi lingine chanzo chake ni nini. Tatizola kutokuwepo usawa linawezwa hat kutazamwa kijinsia, Kiumri, Kimkoa, etc

Tujadili

  • Sayansi- JWTZ walitengeza nyumbu. kwa nini mpka leo hatujaweza kusupry hata moja kwa raia?
  • ELIMU- Nini kifanyike kuwepo equal quality eduation no matter mkoa, wilaya, au shule mwanafunzi atayosoma. Nini mchango wa familia, jamii na Seriali tasisi zinazoongoza shule katika mfanikio au kuzorota kwa elimu mashuleni
  • Michezo &Utamaduni- Tuko katka hali gani kimichezo katika ramani ya dunia na kwa nini? Lonon 2012 tutapata medali ngapi? Nini kimetokea badaa ya 50 tumekuwa wasindikizaji. Nini Kifanyike ?
  • Makazi na nyumba .- Kwa nini hakuna mpango kama ile iliyofanikisha kuwepo kwa nyuba za NHC na wakopwe watu wa kawaida?
 
Kitu rahisi kabisa cha kufanya ni kususa huduma hizi zinazotolewa na hawa jamaa. Msikanyage Bugando, KCMC, St. Nanihii,.... halafu muiambie serikali ikome kutoa ruzuku hii.

Hapo umeishiwa hoja umeamua kuhalalisha dhulma..as long as inafanywa na kanisa..

Hiyo za hela za umma iko siku mtaacha kupewa hiyo ruzuku kwasabb si halali..
 
MoU mnayoilalamikia iliidhinishwa na al haji ali hassan mwinyi, ama huyu sio muislamu?

Kikwete keshawaambia nanyi pelekeni proposal lakini hampelekji mnaishia kulalamika. Kama ngekuwa na hospitali msingekuwa hapa JF kulalamika, mngeshapeleka proposal ya MoU na serikali ingeshaisaini, kwakuwa ingesaidia kusogeza na kuboresha huduma kwa watanzania.

Kama unadhani kupiga kelele bila kufanya kazi itasaidia, basi endeleeni tu, tutaona mwisho wake.

Tutaona mwisho wake ni jambo jema

Lakini hatutaacha kupiga kelele kwa mtu yeyote anaiba mali umma anapeleka kanisani au kokote..

MoU ilishapelekwa of course hatutegemei kupata majibu ya maana kwasabu ya mfumo kristo ..hadi wakawaulize kwanza maaskofu..

Iko siku tutafika kama ulivyo sema
 
Kwanza asante sana kwa kujitahidi kutetea labda nichambue hoja zako kama ifuatavyo.

a. Hospitali za kanisa nyingi gharama zake ni kubwa kuliko hata hospitali za binafsi na hivyo basi hata kama mie nina uwezo basi ilitakiwa hospitali kama zinapokea msaada wa serikali wa kodi zitoe huduma hizo either bure au kwa gharama nafuu which is something hospitali nyingi za kanisa hazipo hivyo. Tangu mjadala uanze nimekuwa nawauliza wapi hospitali za kanisa zinatoa huduma bure au bei nafuu tuende hamna jibu.

b.What makes you think waislamu hawajapeleka MoU serikalini? Nimewauliza mbona serikali haikutaja sababu za kwanini MoU ya akina Sheikh Ponda ilikataliwa ili tuwasaidie utaalamu wa kuandika upya ipelekwe huko serikalini? Jibuni kwanza sababu za MoU ya akina Ponda kukataliwa??? Acheni kuleta unafiki hapa.

c. Kuhusu shule nilizotaja hapo Mzizima, Feza na Al - Muntazir ziko nafasi ya juu sana kwa kufaulisha watoto na watoto wenye nidhamu ya hali ya juu unajua kwanini zimefanikiwa na isiwe shule za Bakwata kama Kinondoni nk.???

d. Auditing ni muhimu kwasababu kuu mbili:-
a. Kujua accountability ya fedha zetu kumbuka kila mwaka mie binafsi nachangia Tshs 360,000 katika Bilioni 91 zinazopelekwa huko kanisani. Mtu kama Bakhressa yeye anatoa karibu Bilioni 1.54 kwenye pesa zinazoenda kanisani hivyo tunademand tujue hela zetu zimetumikaje????

b. Auditing itatusaidia kufahamu gharama zenu mnazodai ni halali na hakuna unfairness yeyote. Hivyo basi anapolipia gharama ya juu kwenye hospitali za makanisa ajue analipia kitu gani. Na usidai quality of service kwasababu mpaka hospitali pekee yenye standards za juu ni Muhimbili Hospitals hasa MOI ikifuatiwa na Aga Khan hospitals. TMJ, sijui wapi ni miyeyusho mitupu.

Pesa za misikitini hakuna senti moja ya serikali mkuu hivyo kama watahitaji auditing ni waislamu wenyewe waulize lakini pesa za makanisani ni hela zetu mkuu tunaomba auditing maana tujue hela zetu zimetumikaje otherwise hatutaki MoU na hela zetu zirudishwe zile Trilion 2.

Wakiona uzi kama huu hawajibu watakwambia unalamimika this guys are difficult
 
Wangejengaje vyuo vikuu bila sheria kuruhusu? Bugando ilijengwa na Mkoloni? Cardinal Rugambwa atajisikia vibaya huko kaburini.

Kwa hiyo unakubali walijenga kwakutumia pesa za umma? through MoU pretending kwamba ni za church..huu umafia wa kanisani unawasaidia nini?
 
Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam enzi za ukoloni wa Ujerumani, Askofu Cassian Spiss aliwaambia Wajerumani, msiwape elimu Waislamu. Na ikawa amri. Tazama Tanganyika Notes and Records No. 62/63, 1964. Kwa historia hiyo hiyo kujirudia kuwa kauli ya Kardinali au Askofu kwa serikali ni amri takatifu, hatushangai. Wakati wa utawala wake, Rais, Alhaj Ali Hassan Mwinyi hakupuuza historia hiyo. Aliiendeleza; alimleta Pope, akaamrisha nguvu zote za dola ziwaangukie wale wanaowabughudhi wanaofuga nguruwe na kuweka bucha za nyama hiyo hadi kwenye vibaraza vya Misikiti.
Pia akaleta 'Memorundum of Understanding' ambapo sasa, serikali inawajibu wa kuzipa mabilioni ya fedha hospitali za Kanisa, kuyatafutia makanisa misaada na kuwapa upendeleo katika kusomesha wataalamu wao.
Lakini wakati akifanya yote hayo, kiongozi huyo wa awamu ya pili hakupuuza shinikizo la Maaskofu kwamba hakuna 'rukhsa' Tanzania kujiunga na OIC! Si hivyo tu, viongozi hao pamoja na kuujua ukweli huo wa "kihistoria" unaowanyima Waislamu haki ya kujiunga na OIC, kuvunja jumuiya zao na kufisadi mali zao za Wakfu, baadae hugeuka na kuwalaumu Waislamu eti hawana dira wala mipango ya kuendeleza jamii yao. Wakati mwingine kuwaambia Waislamu kuwa "wenzenu" wanaletewa misaada na "ndugu zao toka nje, nyie mbona hawaji kukujengeeni mahospitali makubwa". Mtadhani hawajui kuwa OIC ndio iliyotaka kuleta mahospitali hayo!

Soma zaidi:
An-nuur Na. 237

Ndio maana hadi leo wanatumia pesa serikali kuendeleza kanisa

Church with goverment money is a died institutions tangu enzi za mkoloni, then mwalimu up to now ..kupendlewa kwa kwenda mbele
 
Kwanza asante sana kwa kujitahidi kutetea labda nichambue hoja zako kama ifuatavyo.

a. Hospitali za kanisa nyingi gharama zake ni kubwa kuliko hata hospitali za binafsi na hivyo basi hata kama mie nina uwezo basi ilitakiwa hospitali kama zinapokea msaada wa serikali wa kodi zitoe huduma hizo either bure au kwa gharama nafuu which is something hospitali nyingi za kanisa hazipo hivyo. Tangu mjadala uanze nimekuwa nawauliza wapi hospitali za kanisa zinatoa huduma bure au bei nafuu tuende hamna jibu.
Naweza kutoa mfano wa hospitali moja ya Bugando Gharama yak ni chini zaidi ya Hopitali ya Aghakhana mwanza. kwama gharama ni sawa Kwa nini Watu wapate shida kupanda ulelima wakati wanaipita hospitali ya aghakhan pale Mwanza

Hospitali ya bugano pamoja na kupkea hiyo ruzuku bado inatembeza bakuli nje kuwa huduamai watu masikini. Piga simu ulizia gharam ay kulzwa kwa siku Aghakhana alafu ulizi gharama y Bugando. Kuna vitu kama menu na vinginevyo. Gharama ya kumuona doctor bugando ni ndogo. Huyo huyo doctor ukienda kumuona Aghakhan gharama yake ni kubwa. Hilo Liko wazi

Kodi unazsema ungejua zinatumika kufanya nini. Kama ni pesa inatumwa kuwalip wafanyakazi wa serikali waliopo bugando sasa kuna tatizo gani. Serikali ina wafanyakazi wake bugando. Inaweza kuwa na baadhi ya equipent zake bugano. Sasa kama serikali ikitumia pesa ya mlika kodi kumlipa Dr Juma au John mshahara au kufanya service ya CT scanner ya serikali iliyopo bugando kuna tatizo gani.

What makes you think waislamu hawajapeleka MoU serikalini? Nimewauliza mbona serikali haikutaja sababu za kwanini MoU ya akina Sheikh Ponda ilikataliwa ili tuwasaidie utaalamu wa kuandika upya ipelekwe huko serikalini? Jibuni kwanza sababu za MoU ya akina Ponda kukataliwa??? Acheni kuleta unafiki hapa.
Hawajapeleka Mou sabbau Kiwete Alisema wapeleke. na mou lazima izingatie katiba. Inawezekan hao Kina shekih Ponda waliandik Mou kuzingatia dini na sio Katiba ya Tanzania. Ndio maana nimesema nyie waislama wasomi waaambieni viongozo wenu wa dini muunde structures . Shekh Ponda na Karnali Pengo wanaweza waisiandike Mou ya Kitanzania. Tafauti iliyopo ndiyo Hiyo kanisa lina structure za ambazoo za kushughulia mambo kiroho(kwenda mbinguni) na ambo ya kimwlili( afya, elimu, etc). in your part hilo tatizo mkubali hakuna stucture inayooleweka au kukubalika.

c. Kuhusu shule nilizotaja hapo Mzizima, Feza na Al - Muntazir ziko nafasi ya juu sana kwa kufaulisha watoto na watoto wenye nidhamu ya hali ya juu unajua kwanini zimefanikiwa na isiwe shule za Bakwata kama Kinondoni nk.???
Haya ndiyo maswali ya kujiiliza lakini bila ushabiki

Lakini hata shule za semianry zipo hazifanyi vizuri. Na waendeshaji wanabadilisha uzoefu kuwa wa nini St fulani iwe ya Kwanza na St fuani iwe ya 100.
Sasa nimbie kwa nini baadhi Shule za bakwata hazifanyi vizuri tukiondoa ile sababu ya Kigoma malima amabyo nawewe unaiunga mkono. Lakini Najua shule moj ya Bakwata ilizishwa mwanza inaitwa Thaqafa katika miaka ya mwanzo ilifanya vizuri sana. Sijui sasa hivi ikoke.

d. Auditing ni muhimu kwasababu kuu mbili:-
a. Kujua accountability ya fedha zetu kumbuka kila mwaka mie binafsi nachangia Tshs 360,000 katika Bilioni 91 zinazopelekwa huko kanisani. Mtu kama Bakhressa yeye anatoa karibu Bilioni 1.54 kwenye pesa zinazoenda kanisani hivyo tunademand tujue hela zetu zimetumikaje????

Kwanza elwa Kanisa na hpsitali ya kanisa ni vetity mbili tofauti japo zina uhusiano. Sadaka ya waumini wa kanisa haiingi accont oja na sadaka ya hospitali. Elewa Auditing inafanyika na imekuwa ikifanyika kulingana na sheria zilizopo. Nasisitiza hizi Pesa haziedi kanisani zinenda kwenye hospitali za kanisa. Lakini kama Hujaelewa basi . Na kuhusu bhakresa kulipa kodi analipa kama mtanzania na sidhani kama yeye anachukia hilo au wewe ni msemaji wake. So Ingawa bhakresa ni Muislam uisitake apande kwenye mtumbwi wa mawazo yako.

Auditing itatusaidia kufahamu gharama zenu mnazodai ni halali na hakuna unfairness yeyote. Hivyo basi anapolipia gharama ya juu kwenye hospitali za makanisa ajue analipia kitu gani. Na usidai quality of service kwasababu mpaka hospitali pekee yenye standards za juu ni Muhimbili Hospitals hasa MOI ikifuatiwa na Aga Khan hospitals. TMJ, sijui wapi ni miyeyusho mitupu.

Wewe inoekana unotoka katika familia bora . Umzaliwa na kukulia magorofani.
Nachokuambia Aduting inafanyika . kanisa na hopitali ya kanisa ni vitu viwili tofauti. Serikali hawezi Kuendelea kutoa pesa Mika yote bila kuwepo na Audting report. Enhee wht about mwananyamala hospital Na bugando au KCMC. Usifanye generalisation ya vitu. QOS hiyo ni mada nyiingine na ukitaka kujua QOS ya hopitali za kanisa basi Tumuombe JK azitafishe au azichkue au azinunue ziwe chini chini y serikali. Utagundua kuwa pia pamoja na matatizo achache Kanisa limejitahidi. Kuna hopsitali za kanisa ziko vijijini lakini zinawazidi Mwananyamala, Amana, Seko Toure.

Na watu wanaolipa gharam wanajua wanalipa nini. kama ni kulzwa mtu akilipa mtu akilipa 500 auau 1,000 kwa siku atapewa risiti. hakuna kitu kinacholipishwa hakitwei risiti na bado gharaa zao ni nafuu. Wewe unahoji vitu ambvyo labda hujawai kuvi exprenice

Pesa za misikitini hakuna senti moja ya serikali mkuu hivyo kama watahitaji auditing ni waislamu wenyewe waulize lakini pesa za makanisani ni hela zetu mkuu tunaomba auditing maana tujue hela zetu zimetumikaje otherwise hatutaki MoU na hela zetu zirudishwe zile Trilion 2.

Nimesema Kanisa ni tofauti na hospitali Kanisa.
  • Hosopatli zina mangemnt zake, Orgnisation structure zake. na ccont zake na zinafnyiwa uudting
  • Kanisa lina Structure yake.
Sasa wewe unataka kufany Auditing ya kanisa au Auditing ya Hospitali ya kanisa. Ndio nikasema kama ni auditing ya anisa ni ngumu kam kufnya Auditing ya Msikiti laini kama ni Audting ya Hospitai ya Kanisa basi hizo zipo na zinafanyika.
 
Topical said:
Kwa hiyo unakubali walijenga kwakutumia pesa za umma? through MoU pretending kwamba ni za church..huu umafia wa kanisani unawasaidia nini?

Topical,

..Hospitali ya Bugando ilijengwa kwa msaada wa shirika la wakatoliki wa Kimarekani Maryknoll Sisters.

..Ujenzi wake ulimalizika mwaka 1970/71 na mwaka huo huo ikataifishwa na serikali ya Tanzania.

..KCMC iliyopo Moshi ni hospitali ya Walutheri nayo pia ilifunguliwa miaka ya mwanzo ya 70.

NB:

..wakati wa kampeni za Uraisi 2010 Raisi Kikwete alikuwa anaeleza waziwazi Hospitali za Misheni ambazo zitapandishwa ngazi na kuwa hospitali za wilaya na mikoa. Kama Waislamu mnachukia sana haya masuala ya MOU kwanini mkaendelea kuipigia kampeni na kura CCM???
 
Topical said:
Before 1992 MoU nitajie chuo kikuu kimoja cha kikristo Tanzania?

Before 1992 MoU nitajie hospitali moja ya kikristo Tanzania? usinitajie Bugando, wala KCMC kwasababu zote zilijengwa na serikali ya mkoloni, unajua serikali maana yake ni kodi za watanzania wote..

Acha hizo nyie mkiiba seriaklini si juhudi hiyo hakuna tofauti na RA na EL
SAUT Mwanza
 
SAUT Mwanza

Haikuwa chuo hicho..mkuu

Wala hakikuwa na hadhi ya sec..labda

Ni baada ya pesa za umma kwenda huko ndio ikajengwa chuo lakini bado ni below standard kwasabb hakuna auditing..
 
Topical,

..Hospitali ya Bugando ilijengwa kwa msaada wa shirika la wakatoliki wa Kimarekani Maryknoll Sisters.

..Ujenzi wake ulimalizika mwaka 1970/71 na mwaka huo huo ikataifishwa na serikali ya Tanzania.

..KCMC iliyopo Moshi ni hospitali ya Walutheri nayo pia ilifunguliwa miaka ya mwanzo ya 70.

NB:

..wakati wa kampeni za Uraisi 2010 Raisi Kikwete alikuwa anaeleza waziwazi Hospitali za Misheni ambazo zitapandishwa ngazi na kuwa hospitali za wilaya na mikoa. Kama Waislamu mnachukia sana haya masuala ya MOU kwanini mkaendelea kuipigia kampeni na kura CCM???

Siyo kweli.. Bugando na KCMC zilijengwa wakati wa mkoloni na serikali ya kikoloni (pesa za umma ni sawa na vuwanja vya mpira vya ccm)

Na bado serikali through MoU inatakiwa iwatafuatie sponsors (outside ther countries ili kufinance shughuli project hiyo (special treatments from goverment of all people) kwa waislamu itakuwa udini huu

Kuhusu kura wananchi hawapigi kura kwasababu ya MoU tu kuna parameters nyingi..mkuu nafikiri unafahmu labda ujidai kipofu
 
Naweza kutoa mfano wa hospitali moja ya Bugando Gharama yak ni chini zaidi ya Hopitali ya Aghakhana mwanza. kwama gharama ni sawa Kwa nini Watu wapate shida kupanda ulelima wakati wanaipita hospitali ya aghakhan pale Mwanza

Hospitali ya bugano pamoja na kupkea hiyo ruzuku bado inatembeza bakuli nje kuwa huduamai watu masikini. Piga simu ulizia gharam ay kulzwa kwa siku Aghakhana alafu ulizi gharama y Bugando. Kuna vitu kama menu na vinginevyo. Gharama ya kumuona doctor bugando ni ndogo. Huyo huyo doctor ukienda kumuona Aghakhan gharama yake ni kubwa. Hilo Liko wazi

Kodi unazsema ungejua zinatumika kufanya nini. Kama ni pesa inatumwa kuwalip wafanyakazi wa serikali waliopo bugando sasa kuna tatizo gani. Serikali ina wafanyakazi wake bugando. Inaweza kuwa na baadhi ya equipent zake bugano. Sasa kama serikali ikitumia pesa ya mlika kodi kumlipa Dr Juma au John mshahara au kufanya service ya CT scanner ya serikali iliyopo bugando kuna tatizo gani.

Hawajapeleka Mou sabbau Kiwete Alisema wapeleke. na mou lazima izingatie katiba. Inawezekan hao Kina shekih Ponda waliandik Mou kuzingatia dini na sio Katiba ya Tanzania. Ndio maana nimesema nyie waislama wasomi waaambieni viongozo wenu wa dini muunde structures . Shekh Ponda na Karnali Pengo wanaweza waisiandike Mou ya Kitanzania. Tafauti iliyopo ndiyo Hiyo kanisa lina structure za ambazoo za kushughulia mambo kiroho(kwenda mbinguni) na ambo ya kimwlili( afya, elimu, etc). in your part hilo tatizo mkubali hakuna stucture inayooleweka au kukubalika.

Haya ndiyo maswali ya kujiiliza lakini bila ushabiki

Lakini hata shule za semianry zipo hazifanyi vizuri. Na waendeshaji wanabadilisha uzoefu kuwa wa nini St fulani iwe ya Kwanza na St fuani iwe ya 100.
Sasa nimbie kwa nini baadhi Shule za bakwata hazifanyi vizuri tukiondoa ile sababu ya Kigoma malima amabyo nawewe unaiunga mkono. Lakini Najua shule moj ya Bakwata ilizishwa mwanza inaitwa Thaqafa katika miaka ya mwanzo ilifanya vizuri sana. Sijui sasa hivi ikoke.

Kwanza elwa Kanisa na hpsitali ya kanisa ni vetity mbili tofauti japo zina uhusiano. Sadaka ya waumini wa kanisa haiingi accont oja na sadaka ya hospitali. Elewa Auditing inafanyika na imekuwa ikifanyika kulingana na sheria zilizopo. Nasisitiza hizi Pesa haziedi kanisani zinenda kwenye hospitali za kanisa. Lakini kama Hujaelewa basi . Na kuhusu bhakresa kulipa kodi analipa kama mtanzania na sidhani kama yeye anachukia hilo au wewe ni msemaji wake. So Ingawa bhakresa ni Muislam uisitake apande kwenye mtumbwi wa mawazo yako.

Wewe inoekana unotoka katika familia bora . Umzaliwa na kukulia magorofani.
Nachokuambia Aduting inafanyika . kanisa na hopitali ya kanisa ni vitu viwili tofauti. Serikali hawezi Kuendelea kutoa pesa Mika yote bila kuwepo na Audting report. Enhee wht about mwananyamala hospital Na bugando au KCMC. Usifanye generalisation ya vitu. QOS hiyo ni mada nyiingine na ukitaka kujua QOS ya hopitali za kanisa basi Tumuombe JK azitafishe au azichkue au azinunue ziwe chini chini y serikali. Utagundua kuwa pia pamoja na matatizo achache Kanisa limejitahidi. Kuna hopsitali za kanisa ziko vijijini lakini zinawazidi Mwananyamala, Amana, Seko Toure.

Na watu wanaolipa gharam wanajua wanalipa nini. kama ni kulzwa mtu akilipa mtu akilipa 500 auau 1,000 kwa siku atapewa risiti. hakuna kitu kinacholipishwa hakitwei risiti na bado gharaa zao ni nafuu. Wewe unahoji vitu ambvyo labda hujawai kuvi exprenice

Nimesema Kanisa ni tofauti na hospitali Kanisa.
  • Hosopatli zina mangemnt zake, Orgnisation structure zake. na ccont zake na zinafnyiwa uudting
  • Kanisa lina Structure yake.
Sasa wewe unataka kufany Auditing ya kanisa au Auditing ya Hospitali ya kanisa. Ndio nikasema kama ni auditing ya anisa ni ngumu kam kufnya Auditing ya Msikiti laini kama ni Audting ya Hospitai ya Kanisa basi hizo zipo na zinafanyika.

Zing,

Umesema hospitali ya Bugando ni bei rahisi kuliko ya Aga Khan pale mwanza naomba ufafanue zaidi urahisi wake ukoje? Mfano gharama za kupima homa (BS) ni kiasi gani Bugando na Aga Khan Mwanza.

Pia umezungumzia kuwa katika hospitali hizo kuna wafanyakazi wa serikali na vifaa vya serikali. Je inakuwaje vifaa na wafanye kazi hao wafanye kazi katika hospitali za makanisa tu wasifanye kazi hospitali zengine za privates? Labda to put it into perspective mnaweza kutuambia ni akina nani wameajiriwa huko katika mahospitali ya kanisa na shule za kanisa?

Kuhusu MoU ya sheikh Ponda na wenzie waachie serikali wajibu kwanini waliikataa maana waislamu wana shauku ya kutaka kujua kilitokea nini mpaka ikakataliwa. Hii interpretation yako kuwa ati MoU yao ilikuwa kidini zaidi ni sawa sawa na interpretation ya Mohamed Said kuwa MoU ya akina Ponda ilikataliwa kwasababu imetoka kwa waislamu na ina nia ya kunufaisha waislamu which kwa mtazamo wa serikali ya Tanzania wao ni SECOND CLASS CITIZEN AMBAO KAZI YAO NI KUIFANYIA KAZI SERIKALI HII NA KULIPA KODI ILA WASINUFAIKE NA KODI ZAO!!!.

Unadai tutofautishe baina ya hospitali ya kanisa au shule ya kanisa. Pengine nikuulize nani ni mmiliki wa shule au mmiliki wa hospitali ya kanisa. Je nikuulize ile dividend inayopatikana kwenye profit inaenda wapi??? Pia nikuulize wale wafanyakazi wa hospitali na mashule mishahara yao michango yao ya kanisani ikoje? Huwezi kutofautisha baina ya kanisa na hizi taasisi kwasababu BENEFECIARY WA MWISHO KATIKA HII SUPPLY CHAIN NI KANISA.... Humdanganyi mtu!!!!
 
Hapo umeishiwa hoja umeamua kuhalalisha dhulma..as long as inafanywa na kanisa..

Hiyo za hela za umma iko siku mtaacha kupewa hiyo ruzuku kwasabb si halali..

Sio wataacha kupewa vijana wetu watakuja kudai hela hizo zirudishwe kwasababu ni ufisadi tu period. Mtu unaanzisha biashara, gharama za kuendesha biashara serikali inakulipia, mishahara ya wafanyakazi wako serikali inalipia, kodi haulipi halafu usipate faida??? Huu ni wizi na ufisadi samahani wakuu kama nimewakwaza ila hakuna jibu fasaha zaidi ya kusema huu ni wizi na ufisadi otherwise tujibuni maswali yetu!!!!
 
Haikuwa chuo hicho..mkuu
Kilikuwa ni nini? Ni sabbau tu serikali kipindi hico haikurusu mashrika kujenga vyuuo lakini quality ya wanafuzi waliomaliza pale kabla ya 1992 inajulikana na wapo. Google tu Nyegezi social Traiinng Institute

Wala hakikuwa na hadhi ya sec..labda
Kuna boss moja sasa hivi ni afisa wa ngazi ya juu yuko serikali ni Muislam alifundisha pale na alikuwa head wa kitengo fulani. Hiyo ni moja ya tofauti y watu wa kanisa. Linapokuja suala la elimu hawaaangalii surakabila na rangi au dini. kama ni mwalimu zuri anitwa Hussin atatafutwa na atafundisha

Ni baada ya pesa za umma kwenda huko ndio ikajengwa chuo lakini bado ni below standard kwasabb hakuna auditing..
Ebu fafanua SAUT inapokea nini kutoka serikalini. Au serikli ndio inapokea kutoka SAUT.
 
Zing,

Umesema hospitali ya Bugando ni bei rahisi kuliko ya Aga Khan pale mwanza naomba ufafanue zaidi urahisi wake ukoje? Mfano gharama za kupima homa (BS) ni kiasi gani Bugando na Aga Khan Mwanza.

Pia umezungumzia kuwa katika hospitali hizo kuna wafanyakazi wa serikali na vifaa vya serikali. Je inakuwaje vifaa na wafanye kazi hao wafanye kazi katika hospitali za makanisa tu wasifanye kazi hospitali zengine za privates? Labda to put it into perspective mnaweza kutuambia ni akina nani wameajiriwa huko katika mahospitali ya kanisa na shule za kanisa?

Kuhusu MoU ya sheikh Ponda na wenzie waachie serikali wajibu kwanini waliikataa maana waislamu wana shauku ya kutaka kujua kilitokea nini mpaka ikakataliwa. Hii interpretation yako kuwa ati MoU yao ilikuwa kidini zaidi ni sawa sawa na interpretation ya Mohamed Said kuwa MoU ya akina Ponda ilikataliwa kwasababu imetoka kwa waislamu na ina nia ya kunufaisha waislamu which kwa mtazamo wa serikali ya Tanzania wao ni SECOND CLASS CITIZEN AMBAO KAZI YAO NI KUIFANYIA KAZI SERIKALI HII NA KULIPA KODI ILA WASINUFAIKE NA KODI ZAO!!!.

Unadai tutofautishe baina ya hospitali ya kanisa au shule ya kanisa. Pengine nikuulize nani ni mmiliki wa shule au mmiliki wa hospitali ya kanisa. Je nikuulize ile dividend inayopatikana kwenye profit inaenda wapi??? Pia nikuulize wale wafanyakazi wa hospitali na mashule mishahara yao michango yao ya kanisani ikoje? Huwezi kutofautisha baina ya kanisa na hizi taasisi kwasababu BENEFECIARY WA MWISHO KATIKA HII SUPPLY CHAIN NI KANISA.... Humdanganyi mtu!!!!

Mkuu nashukuru sana hili la faida sijawahi ku-imagine

Kanisa linapewa pesa (za umma), hakuna kamati ya bunge ku-audit zimetumikaje, bado wananchi have to pay more for the services from church ..halafu faida yote inaenda kanisani..

Hilo la faida umenielimisha sana mkuu naiongeza kwenye databse yangu..kwa ajali ya vizazi vijavyo kufanyia kazi..
 
Hadanganyiki mtu hapa!!!! Waje na hoja nyengine but sio hii ya kudai tutafautishe baina ya kanisa na taasisi zake. Tutakesha hapa hadi asubuhi.
 
Wangejengaje vyuo vikuu bila sheria kuruhusu? Bugando ilijengwa na Mkoloni? Cardinal Rugambwa atajisikia vibaya huko kaburini.
Kama kawaida yao ni porojo tu....! Wazazi wetu wameona Bugando inajengwa baada uhuru wakati wanasoma Mwanza secondary/Chopra.
Huu ubunifu Topical anaweza akawa ameupata kutoka kwa MS tu.
 
Back
Top Bottom