Topical said:Siyo kweli.. Bugando na KCMC zilijengwa wakati wa mkoloni na serikali ya kikoloni (pesa za umma ni sawa na vuwanja vya mpira vya ccm)
Topical,
..soma hapa chini kuhusu nani amejenga KCMC.
..hospitali iliyojengwa na mkoloni ni kama Muhimbili, nadhani ilipewa jina la Princess mmmoja wa Uingereza.
Kilimanjaro Christian Medical Centre was founded in 1971 by the Good Samaritan Foundation, a Trust set up by the Lutheran, Anglican and Moravian churches. It was taken over by the Government for a time but was handed back to the Trust in 1992.
In 1996 the Evangelical Lutheran Church of Tanzania established Tumaini University of which Kilimanjaro Christian Medical College became a part. The College became operational in October 1997. Since this time it has become a centre of medical training and teaching attracting medical resources from around the world. As the name implies, the Christian ethic guides and shapes the College's daily work.
KCMC is set in beautiful spacious grounds beneath the breathtaking snow-capped peak of Mount Kilimanjaro. We welcome you to KCMC.
