Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Topical said:
Siyo kweli.. Bugando na KCMC zilijengwa wakati wa mkoloni na serikali ya kikoloni (pesa za umma ni sawa na vuwanja vya mpira vya ccm)

Topical,

..soma hapa chini kuhusu nani amejenga KCMC.

..hospitali iliyojengwa na mkoloni ni kama Muhimbili, nadhani ilipewa jina la Princess mmmoja wa Uingereza.

Kilimanjaro Christian Medical Centre was founded in 1971 by the Good Samaritan Foundation, a Trust set up by the Lutheran, Anglican and Moravian churches. It was taken over by the Government for a time but was handed back to the Trust in 1992.
In 1996 the Evangelical Lutheran Church of Tanzania established Tumaini University of which Kilimanjaro Christian Medical College became a part. The College became operational in October 1997. Since this time it has become a centre of medical training and teaching attracting medical resources from around the world. As the name implies, the Christian ethic guides and shapes the College's daily work.

KCMC is set in beautiful spacious grounds beneath the breathtaking snow-capped peak of Mount Kilimanjaro. We welcome you to KCMC.

Mdondoaji,

Nitajibu maeneo mawili katika hoja zako;

Suala la kukataliwa kwa MoU ya sheikh Ponda linaanzia kwa mzee wetu al haj ali hassan mwinyi aliyekuwa raisi wakati hiyo proposal imepelekwa.

Lakini pili, juzi wakati kikwete anawaambia na ninyi pelekeni proposal yenu ili mpate ruzuku, hapo ndio palikuwa mahali muafaka pa kumweleza muislamu mwenzenu kwamba kuna proposal ya sheikh ponda tayari na serikali haijasema ina mapungufu gani!

Sasa ukituuliza sisi hapa sababu za kukataliwa kwa hiyo proposal ya sheikh ponda wakati ukifahamu kwamba serikali haikuwahi kutoa majibu inakuwa vigumu kukujibu.

Mwita,

Serikali ya Mwinyi na Serikali ya JK zinaitwa jina gani vile hebu litamke basi??? Bado hujajibu swali langu kabisa!!!!
 
Kama kawaida yao ni porojo tu....! Wazazi wetu wameona Bugando inajengwa baada uhuru wakati wanasoma Mwanza secondary/Chopra.
Huu ubunifu Topical anaweza akawa ameupata kutoka kwa MS tu.

Hakuna kitu mkuu hospitali zilijengwa na serikali ya mkoloni (serikali inatumia pesa za umma)...period

Wakristo wote before MoU 1992 hakuna hata moja mwenye chuo wala nini?

Baada ya MoU (fedha za umma) mkaanza kujenga vyuo pretending to be church money kumbe hela zetu wote..

Tukiwaambia kanisa=RA=EL mtakataa..lol

Besides, kwa choyo zenu maaskofu wanakataa mahakam ya kadhi isipewa pesa za umma "wanafiki wakubwa" wanatakiwa waache kupokea wao kwanza kutoka serikali from 1992
 
Wanadai ati kuna kodi za wakristo humo wamesahau wao wanapokea kodi za waislamu kila mwaka kupitia MoU unafiki mtupu! 0.01 ya kila kodi ya mtanzania inaenda kuchangia katika zile Tshs Bilioni 91 wanazopewa kanisa kila mwaka. Hembu jiulizeni waislamu kila mwaka mnalipa bei gani ya kodi yenu kwenye MoU? Mie nachangia kila mwaka Tshs 360,000 ya kodi ninayolipa serikali kila mwaka kwenye MoU. Bakhressa anatoa karibu Bilioni 1.54 kila mwaka katika Bilioni 91. Huu sio unafiki???
 
quote_icon.png
By Mdondoaji

Zing,

Umesema hospitali ya Bugando ni bei rahisi kuliko ya Aga Khan pale mwanza naomba ufafanue zaidi urahisi wake ukoje? Mfano gharama za kupima homa (BS) ni kiasi gani Bugando na Aga Khan Mwanza.

Pia umezungumzia kuwa katika hospitali hizo kuna wafanyakazi wa serikali na vifaa vya serikali. Je inakuwaje vifaa na wafanye kazi hao wafanye kazi katika hospitali za makanisa tu wasifanye kazi hospitali zengine za privates? Labda to put it into perspective mnaweza kutuambia ni akina nani wameajiriwa huko katika mahospitali ya kanisa na shule za kanisa?

Kuhusu MoU ya sheikh Ponda na wenzie waachie serikali wajibu kwanini waliikataa maana waislamu wana shauku ya kutaka kujua kilitokea nini mpaka ikakataliwa. Hii interpretation yako kuwa ati MoU yao ilikuwa kidini zaidi ni sawa sawa na interpretation ya Mohamed Said kuwa MoU ya akina Ponda ilikataliwa kwasababu imetoka kwa waislamu na ina nia ya kunufaisha waislamu which kwa mtazamo wa serikali ya Tanzania wao ni SECOND CLASS CITIZEN AMBAO KAZI YAO NI KUIFANYIA KAZI SERIKALI HII NA KULIPA KODI ILA WASINUFAIKE NA KODI ZAO!!!.

Unadai tutofautishe baina ya hospitali ya kanisa au shule ya kanisa. Pengine nikuulize nani ni mmiliki wa shule au mmiliki wa hospitali ya kanisa. Je nikuulize ile dividend inayopatikana kwenye profit inaenda wapi??? Pia nikuulize wale wafanyakazi wa hospitali na mashule mishahara yao michango yao ya kanisani ikoje? Huwezi kutofautisha baina ya kanisa na hizi taasisi kwasababu BENEFECIARY WA MWISHO KATIKA HII SUPPLY CHAIN NI KANISA.... Humdanganyi mtu!!!!
Mdondoaji. MoU kati ya serikali na kanisa ilishaletwa humu jamvini ikajadiliwa. Nimeiona inajadiliwa sana kwenye mihadhara yenu ya kidini. Swali dogo... MoU yenu na serikali iko wapi ? kwanini mnaificha ? ileteni hapa tupate kuijadili ili tuone kama kweli mmeonewa....besides ..Kikwete alisema kama mlipeleka halafu ikakataliwa pelekeni malalamiko yenu mahakamani.
 
Wanadai ati kuna kodi za wakristo humo wamesahau wao wanapokea kodi za waislamu kila mwaka kupitia MoU unafiki mtupu! 0.01 ya kila kodi ya mtanzania inaenda kuchangia katika zile Tshs Bilioni 91 wanazopewa kanisa kila mwaka. Hembu jiulizeni waislamu kila mwaka mnalipa bei gani ya kodi yenu kwenye MoU? Mie nachangia kila mwaka Tshs 360,000 ya kodi ninayolipa serikali kila mwaka kwenye MoU. Bakhressa anatoa karibu Bilioni 1.54 kila mwaka katika Bilioni 91. Huu sio unafiki???

Mdondoaji,

Sidhani kama nitakuwa nimeenda nje ya mada kwa kuuliza hili swali.
Mara kadhaa nimekusoma ukidai kwamba bakhressa anachangia sh. 1.54bilioni katika MoU ya kanisa na serikali. Ningependa kujua hizi figure umezitoa wapi, manake katika list ya walipa kodi wazuri wa nchi hii iliyotolewa na waziri mkuu hivi karibuni sikumuona bakhressa.

Hiyo haimaanishi kwamba halipi kodi, bali nataka kufahamu hiyo figure umeipata wapi?
 
Mwita,

Serikali ya Mwinyi na Serikali ya JK zinaitwa jina gani vile hebu litamke basi??? Bado hujajibu swali langu kabisa!!!!

Mdondoaji,

Nimewataja Mwinyi na Kikwete kwa kuwa wanatoka katika jamii inayolalamika kwamba inaonewa na kudhulumiwa. Nataka kufahamu mchango wa hawa waislamu wenzenu katika kuondosha dhulma dhidi ya waislamu wenzao.

Siwezi kumtaja raisi mkristo kwakuwa ndio watuhumiwa. Nataka kuthibitisha kama maneno ya faiza yalikuwa ya kweli ama ni uongo!
 
Wanadai ati kuna kodi za wakristo humo wamesahau wao wanapokea kodi za waislamu kila mwaka kupitia MoU unafiki mtupu! 0.01 ya kila kodi ya mtanzania inaenda kuchangia katika zile Tshs Bilioni 91 wanazopewa kanisa kila mwaka. Hembu jiulizeni waislamu kila mwaka mnalipa bei gani ya kodi yenu kwenye MoU? Mie nachangia kila mwaka Tshs 360,000 ya kodi ninayolipa serikali kila mwaka kwenye MoU. Bakhressa anatoa karibu Bilioni 1.54 kila mwaka katika Bilioni 91. Huu sio unafiki???

Mdondoaji,

Umeshawahi kuiona MoU ya sheikh ponda iliyokataliwa na serikali? Ama niseme ushawahi kuisoma? Je unaweza kufanya mpango wa kuifikisha hapa JF?
 
Topical,

..Hospitali ya Bugando ilijengwa kwa msaada wa shirika la wakatoliki wa Kimarekani Maryknoll Sisters.

..Ujenzi wake ulimalizika mwaka 1970/71 na mwaka huo huo ikataifishwa na serikali ya Tanzania.

..KCMC iliyopo Moshi ni hospitali ya Walutheri nayo pia ilifunguliwa miaka ya mwanzo ya 70.

NB:

..wakati wa kampeni za Uraisi 2010 Raisi Kikwete alikuwa anaeleza waziwazi Hospitali za Misheni ambazo zitapandishwa ngazi na kuwa hospitali za wilaya na mikoa. Kama Waislamu mnachukia sana haya masuala ya MOU kwanini mkaendelea kuipigia kampeni na kura CCM???

JokaKuu,
Hadi hapo hawa ndugu zetu watakapokubali kwamba adui mkubwa kwa maendeleo yetu waislamu na wakristo ni ccm na mfumo wake wa kuendesha nchi na kuacha kuikumbatia, ndipo huu usawa wanaoulilia utakapo patikana.

Kama waislamu wenzao wameweza kushikilia nafasi za juu kabisa za uongozi wa nchi lakini hawajawasaidia, wakubali kwamba adui yetu ni ccm na ni lazima tuunganishe nguvu kuiondoa ili tuufikie usawa tunaoutaka.
 
Mdondoaji. MoU kati ya serikali na kanisa ilishaletwa humu jamvini ikajadiliwa. Nimeiona inajadiliwa sana kwenye mihadhara yenu ya kidini. Swali dogo... MoU yenu na serikali iko wapi ? kwanini mnaificha ? ileteni hapa tupate kuijadili ili tuone kama kweli mmeonewa....besides ..Kikwete alisema kama mlipeleka halafu ikakataliwa pelekeni malalamiko yenu mahakamani.

Wewe ndio serikali? Muongo JK amesema waislamu na wao wapeleke MoU yao na sio waende mahakamani. Na kwanini unataka waislamu waende mahakamani ? Nikuulize tanzania siku hizi tunafuata utawala wa sheria? Kama ni hivyo mbona basi Jaji mkuu mstaafu alikuwa analalamika rushwa imeingia katika mahakama za nchi hii?
 
Mdondoaji,

Umeshawahi kuiona MoU ya sheikh ponda iliyokataliwa na serikali? Ama niseme ushawahi kuisoma? Je unaweza kufanya mpango wa kuifikisha hapa JF?

Sijawahi kuiona Mwita niseme ukweli ila nimesoma kwenye Vitabu vya Mohamed Said labda waulizeni akina sheikh ponda au Mohamed Said watuletee MoU tuijadili humu ndani!
 
Sijawahi kuiona Mwita niseme ukweli ila nimesoma kwenye Vitabu vya Mohamed Said labda waulizeni akina sheikh ponda au Mohamed Said watuletee MoU tuijadili humu ndani!

Mkuu huwezi kujadili proposal inayopelekwa serikalini, mimi nimeona hayo maombi ya kina ponda na jinsii walivyopigwa danadana na serikali..

Unajua watu wengi hapa si viongozi wa taasisi za kiislam, viongozi wetu wanapata tabu sana..

Wakikubali kama ile ya kanisa baada ya kukataa miaka mingi hadi juzi JK alipokuwa madaraka ikatolewa na kina game theory (Namshukuru JK kwa kutoa huu uzi hadharani ilikuwa siri kubwa (mfumo kristo) .

Siku wakikubali tutaweka JF lakini kwa sasa ni maombi tu yanafanyika huwezi kuweka maombi yako na serikali hadharani ni ukosefu wa adabu, besiedes unakumbuka walivyovyafanya siri miaka yote hadi 2005 ulipofumuliwa ndio maana wanamuita JK mdini..

Kwenye mjadala fulani niliwahi kusema kwa waislam JK ni better evil ukilinganisha na wengine..
 
Mdondoaji,

Sidhani kama nitakuwa nimeenda nje ya mada kwa kuuliza hili swali.
Mara kadhaa nimekusoma ukidai kwamba bakhressa anachangia sh. 1.54bilioni katika MoU ya kanisa na serikali. Ningependa kujua hizi figure umezitoa wapi, manake katika list ya walipa kodi wazuri wa nchi hii iliyotolewa na waziri mkuu hivi karibuni sikumuona bakhressa.

Hiyo haimaanishi kwamba halipi kodi, bali nataka kufahamu hiyo figure umeipata wapi?

Fuatilia katika hii thread kuna sehemu nimesema anyway figures ya 0.01 nimeipata hapa:-

Jumla ya hela makanisa wanapewa ni Bilioni 91. Total budget ya nchi hii ni Trilioni 12.8. Ratio ya Bilioni 91/ Trilion 12.8 = 0.01

Hivyo kila shilingi ya kodi unayokatwa mtanzania 0.01 ya kodi hiyo inapelekwa katika makanisa. Sasa piga mahesabu wewe kwa mwaka kwenye kodi yako 0.01 yake ni kiasi gani? Bakhressa turnover yake ya mwaka ni $300 Milion sawa na Tshs Bilioni 166. 0.01 ya kodi ya Bakhressa ni sawa na Bilioni 1.6.

Umenipata!!!!
 
JokaKuu,
Hadi hapo hawa ndugu zetu watakapokubali kwamba adui mkubwa kwa maendeleo yetu waislamu na wakristo ni ccm na mfumo wake wa kuendesha nchi na kuacha kuikumbatia, ndipo huu usawa wanaoulilia utakapo patikana.

Kama waislamu wenzao wameweza kushikilia nafasi za juu kabisa za uongozi wa nchi lakini hawajawasaidia, wakubali kwamba adui yetu ni ccm na ni lazima tuunganishe nguvu kuiondoa ili tuufikie usawa tunaoutaka.

nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2005 wakati Kikwete anashika madaraka kuna rafiki yangu ambaye ni mwiislam aliniambia nyinyi wakristo ulikuwa mnatuonea sana sasa mtatukoma rais ni mwislam. Matokeo naona hatukomi bali wanakoma wao kwa kulia lia tu. Someni wapendwa jengen mashule, vyuo ili muache kulia lia
 
Sijawahi kuiona Mwita niseme ukweli ila nimesoma kwenye Vitabu vya Mohamed Said labda waulizeni akina sheikh ponda au Mohamed Said watuletee MoU tuijadili humu ndani!

Hivi kweli Mdondoaji unaamini kwa dhati ya nafsi yako kweli kuwa Waislam watapeleka katika serikali hii jambo lolote lenye kheri kwetu na serikali itakaa ijadili na kuridhia?

Nimeamua kuchangia hapa kwa kuwa umenitaja.

Kwa kawaida huwa nanyamaza kimya kwa kuwa najua mengi Alhmdulilah ambayo wengi hawayajui.
Nakupa mfano mdogo sana.

Mahali popote duniani kama Waislam wangelikutana kwa wingi ule waliokutana Diamond Jubilee mara zote mbili na kusema kuwa serikali hii inaongozwa na MFUMOKRISTO hiyo ingekuwa HABARI KUBWA HEAVY INK FRONT PAGE MAGAZETI YOTE NA LEADING NEWS TV STATIONS ZOTE NCHINI.

Hapa wamepuuza.

Hii ndiyo nafasi yetu Waislam katika nchi hii achilia mbali kuwa tunasheherekea miaka 50 ya uhuru tukiwa jamii dhalili.

Lakini si kama hawajui kuwa kuna TUFANI wanajua kwa kuwa wanaona mawingu yakijikusanya.

Angalia hapa chini kwa muhtasari jinsi mambo yalivyo na nani ndiyo mtawala wa Tanzania kwa uhakika wake:

The Catholic Church is in control of the government by proxy. Throughunseen hands it manipulates the political system in such a way its influencepermeates every sector of society from the mass media to selection of studentsto join secondary schools and other institutions of higher learning, securingscholarship, employment, promotion, for political office etc. etc. In short the Church is in control of theExecutive, Judiciary and the Legislature.[1] This isthe reason the political system has been able to manipulate the law withimpunity as far as it affects Muslim interests. The government has been able toignore serious petitions submitted to the President, Prime Minster, and theParliament by Muslims. The government with the support of the Christiandominated press has been able to control and shape public opinion against Islamand Muslims. The Church perceive Islam as an enemy it therefore has in operationstrategies to ounter its development.[2] Evidenceto this fact has been uncovered by Muslim as well as Christian scholars.[3] Through research and many years of observations it isnow possible to know a little how the unseen hand of the Church functions. Itworks like a secret society and yet it is not one at least from outside. Itworks in a two prong fashion. It has agents in all important institutions ofthe civil society who co-ordinates their activities when the need arise formingwhat could be identified as the Christian lobby. This is a multi-denominationpower house.

[1] The following are few names of Muslims who were over the years punishedby the Christian Lobby for contravening church interests: Mufti Sheikh Hassanbin Amir, Tewa Said Tewa, Bilal Rehani Waikela, Prof. Kighoma Ali Malima,Abubakar Mwilima, Aboud Jumbe, KitwanaSelemani Kondo, Manju Msambya, etc.
[2] In 1968 thegovernment banned the East African Muslim Welfare Society. In 1980s thegovernment refused to allow Organisation of Islamic Conference (IOC) to build auniversity in Tanzania instead IOC built it in Mbale, Uganda. In 1990s DarulIman from Saudi Arabia wanted to build a school but was made to understand itwas not wanted when it received negative press and harassment and as a resultit closed its office in Dar es Salaam. In 2002 the Parliament passed the Preventionof Terrorism Act of 2002 which targeted Muslims. See Mohamed Said, “Terrorism”in East Africa the Tanzanian Experience,”2006, paper presented at a conference organised by Department ofArabic and Islamic Studies University ofIbadan, Nigeria.
[3] Jan P van Bergen, Religion andDevelopment in Tanzania, (Madras, 1981), John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992). K. Mayanja Kiwanuka, The Politics of Islam in Bukoba District (1973), B.A. Thesis,University of Dar es Salaam.

Mohamed
 
@mdondoaji

Nadhani tatizo wewe unaonglea kitu huku akili yako iiwa inafikiria Dar tu. au Tanga jini au Mwanza Mjini Taanzania ni kubwa ndugu yangu. Hivi umewai kuishi real coutry life kijijini hata kwa mwezi ?

Ebu tumbie hizo Pesa ni kwajili ya hopitali ngapi na zipo wapi.?

Kuna maeneo Vijijini n wilayani huduma ya afya peee inayotegemea ni hizi hopitali. Nkupa mfano wa hopitali tatu za Ndolage, Kashozi, Mugana. By Far mkoani kagrea hizi hospitali ni bora kuliko hata hopitali ya Mkoa iliyo mjini.

Wewe

  • wa mjini Upanga dar au kinodnoni unaweza usiwe na picha halisi
  • Ambaye unatzama role ya hopitali hizi kwa kigezo zinamilikiwa na dini gani badala ya zinatoa huduma kwa nani hutaki kuangalia big picture.
Tanzania hii ni kubwa hilo fungu la hospitali ni dogo sana
 
Fuatilia katika hii thread kuna sehemu nimesema anyway figures ya 0.01 nimeipata hapa:-

Jumla ya hela makanisa wanapewa ni Bilioni 91. Total budget ya nchi hii ni Trilioni 12.8. Ratio ya Bilioni 91/ Trilion 12.8 = 0.01

Hivyo kila shilingi ya kodi unayokatwa mtanzania 0.01 ya kodi hiyo inapelekwa katika makanisa. Sasa piga mahesabu wewe kwa mwaka kwenye kodi yako 0.01 yake ni kiasi gani? Bakhressa turnover yake ya mwaka ni $300 Milion sawa na Tshs Bilioni 166. 0.01 ya kodi ya Bakhressa ni sawa na Bilioni 1.6.

Umenipata!!!!

Aisee mkuu umenikumbusha hesabu hizi nimekumbuka kanisa lilianza kutuibia zamani sana..naomba nikupe kisa cha kweli..

Niliwahi kufanya utafiti huko mbulu na Babati nilibahatika kuwauliza wazee wa kiislam na kikristo wakati huo kulikuwa na shule moja tu ya kanisa katoliki miaka ile iko chini ya dayosisi ya Mbuli inaitwa "singe secondary school"

Unajua kwamba watu wote katika wilaya babati walikuwa wakikatwa kodi kila wakiuza ng'ombe mnadani na mahindi sokoni hadi shule za kata ilipoanza? inaitwa kodi ya sekondari irrespective of weather una mtoto huko sekondari au huna? guess pesa wananchi zinapelekwa dayosisi ya mbulu watoto wanaosoma singe ni wakristo na waislam (wachache) kwasbb selection inafanywa na dayosisi staff???

Jamani hii kanisa kwa uwizi wametoka mbali ..hizo hesabu zako zimenikumbusha inabidi nikatufate zile documents ..enzi hizo nilikuwa mtafiti wale sikuwa sensitive na uwizi wa kanisa na udini..sasa nimeona dhahiri hawa jamaa nyerere alishawafanya kwamba wao ni serikali..oops
 
kanisa katoliki limefungua chuo kikuu huko songea. Hongera kanisa kuendelea kuwatoa ujinga watanzania.
 
Mdondoaji,

Nimewataja Mwinyi na Kikwete kwa kuwa wanatoka katika jamii inayolalamika kwamba inaonewa na kudhulumiwa. Nataka kufahamu mchango wa hawa waislamu wenzenu katika kuondosha dhulma dhidi ya waislamu wenzao.

Siwezi kumtaja raisi mkristo kwakuwa ndio watuhumiwa. Nataka kuthibitisha kama maneno ya faiza yalikuwa ya kweli ama ni uongo!

Mwita,

Serikali ya Mkapa, Mwinyi na Kikwete inaitwa THE GOVERNMENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA. Hivyo haijalishi aliyeko madarakani kwani akirejea hadidu rejea za serikali ataona maamuzi ya serikali. Sasa kuna watu wanajifanya wao ndio wanaserikali. Waacheni wajibu walikataa vp MoU ya akina sheikh ponda? Mnasahau nyie kama urais ni mfumo na sio mtu. Anaweza kuwa mtu ni mwislamu lakini mfumo kristo unamzunguka. Mfano Obama ni mtu anapenda usawa (socialist) ila amezungukwa mfumo dume wa kibepari na hatoki kwa hilo.
 
Hivi ni serilkali iliyokwenda kwa kanisa kuomba kutumia vitu (facilities) vya kanisa au ni kanisa likwenda kwa serikali kuiomba serikali itumie vitu vya kanisa? Kama kuna Hospitali ni Kanisa linakwenda kuomba serikalini hospitali yao ifanywe teule au serikali inaliomba kanisa kuifanya Hospitali ya kanisa iwe teule?

Nauliza tuu??

Mwaka 1992 waka MoU inaandikwa rais wa nchi siyo alikuwa ni Alhaji Ally Hassani Mwinyi? Nauliza tu jamani.
 
Back
Top Bottom