Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mdondoaji,

..naungana mkono. hoja kwamba Waislamu hawajasoma ni mufilisi.

..hoja kwamba Waislamu hawawezi kusoma pia ni mufilisi.

..I am one of those who believe kwamba Waislamu wakipewa access to a quality education basi wanaweza ku-achieve mambo makubwa.

..Personally nimesoma na Waislamu, and looking back, manake wakati huo tulikuwa hatuulizani dini, kuna vijana wa Kiislamu who were very smart.

..miongoni mwa wa-Tanganyika watatu wa kwanza kupata shahada ya London University ni Abdulrahman Salim Msangi. Ilibidi DC wa wilaya ya Pare wakati huo apande milima ya Usangi kwenda kumpongeza Mzee Salim Msangi kwa achievement ya mwanawe. Later on Abdulrahman Msangi alikuwa dean wa kwanza mzalendo wa kitivo cha Science UDSM.

..now,Prof.Juma Mikidadi Mtupa anafahamika sana tangu akiwa mbunge toka mkoa wa Lindi.

..baada ya kuondoka bungeni akagombea nafasi ya Mufti wa Bakwata na kushindwa. lakini nadhani huyu angewafaa Waislamu.

..tatizo ninaloliona mimi ni kwamba Waislamu wenye elimu ya ki-secular hawashiriki/hawashirikishwi ktk uongozi wa Jumuiya za Kiislamu.

..nadhani kukosekana kwa waumini wenye elimu ya ki-secular ktk taasisi za Kiislamu ndiko kunakosababisha viongozi wa taasisi hizo kutumiwa kisiasa na CCM na kupelekea kuviaibisha vyombo hivyo.

JK,

umenena vizuri sana na sio kuwa hawashiriki bali hawashirikishwi walioko katika Bakwata either ni watu wa system au mamluki. Mfano mzuri aliutoa Faiza siku za nyuma kuwa kulifanyika mabadilko kwa akina mama Bakwata wakatolewa wasomi na kuwekwa watu wanaowajua wao wenyewe wanaopendezwa na system. Why do you think system ina prefer watu hao kuliko waislamu wasomi? Jibu utalipata mwenyewe.
 
Mdondoaji,

..naungana mkono. hoja kwamba Waislamu hawajasoma ni mufilisi.

..hoja kwamba Waislamu hawawezi kusoma pia ni mufilisi.

..I am one of those who believe kwamba Waislamu wakipewa access to a quality education basi wanaweza ku-achieve mambo makubwa.

..Personally nimesoma na Waislamu, and looking back, manake wakati huo tulikuwa hatuulizani dini, kuna vijana wa Kiislamu who were very smart.

..miongoni mwa wa-Tanganyika watatu wa kwanza kupata shahada ya London University ni Abdulrahman Salim Msangi. Ilibidi DC wa wilaya ya Pare wakati huo apande milima ya Usangi kwenda kumpongeza Mzee Salim Msangi kwa achievement ya mwanawe. Later on Abdulrahman Msangi alikuwa dean wa kwanza mzalendo wa kitivo cha Science UDSM.

..now,Prof.Juma Mikidadi Mtupa anafahamika sana tangu akiwa mbunge toka mkoa wa Lindi.

..baada ya kuondoka bungeni akagombea nafasi ya Mufti wa Bakwata na kushindwa. lakini nadhani huyu angewafaa Waislamu.

NB:

..tatizo ninaloliona mimi ni kwamba Waislamu wenye elimu ya ki-secular hawashiriki/hawashirikishwi ktk uongozi wa Jumuiya za Kiislamu.

..nadhani kukosekana kwa waumini wenye elimu ya ki-secular ktk taasisi za Kiislamu ndiko kunakosababisha viongozi wa taasisi hizo kutumiwa kisiasa na CCM na kupelekea kuviaibisha vyombo hivyo.

Kwingine kote uko sawa..

Nilipo underline siyo kweli..

Viongozi wengi wa kiislamu wa elimu ya kisecular na taasisi zetu zinatoa elimu zote (tatizo hujui nini maana ya uislam)

Taasisi ya kiislam inafundisha elimu, uchumi, siasa na mambo ya jamii na dini..(rituals)

Hiyo ya kutumia vibaya ni mbinu chafu ya viongozi wa ccm na serikali..

Mfano kwanini serikali ikubali Bakwata as the only taasisi ya kiislamu? wakati kuna taasisi chungu nzima ambazo zinasimamia waislamu??

Divide and rule muslims ..
 
Topical said:

Topical,

..basi kuna uwezekano kwamba mchango wa wale wenye elimu ya ki-secular ni mdogo au siyo mzuri na makini.

..kwa mfano: chombo kama Bakwata kina shule ambazo zinafanya vibaya miaka nenda rudi. sasa kama kungekuwa na Waislamu wazoefu ktk masuala ya elimu na uendeshaji taasisi za elimu ndani ya Bakwata nadhani tusingekuwa tunazungumzia tatizo hili sasa hivi.

..I am not questioning UISLAMU, isipokuwa facts on the ground, zinanielekeza kuamini kwamba taasisi nyingi za Kiislamu hazinufaiki na mchango wa kitaalamu toka kwa Waislamu.

NB:

..kuna Waislamu wanalalamika kwamba serikali iko karibu sana na Wakristo.

..kwa upande mwingine nadhani Waislamu wangeitumia Bakwata kuwa karibu na serikali ktk kuwakilisha matatizo yao.

..It is about time Waislamu waibadilishe Bakwata frm within. It might be easier said than done, but i think it is a something worthy to be tried.​

Sweke,

Kuna mwengine anaitwa Sayyid Omar Abdallah bin Sheikh (Mwinyibaraka) alipata B Phil (Bachelors of Philosophy) - Oxford University mwaka 1963 . (B Phil hiyo sasa inaitwa Mphil or stage 2 PhD). Huyu hadi Nyerere alikuwa akimuogopa sana Sheikh Mohamed Said anamjua vizuri zaidi.

Mufti Harith bin Khelef - graduated (Al-Azhar University).

Sheikh Yahya bin Hussein - graduated (Al-Azhar University).

Sheikh Hassan bin Ameir - nominated as a distinguished professor (Al-Azhar University).

Na wengineo wengi tosheka na hao ukitaka zaidi nitakupa.

Al Habiiib, Mwinyi Baraka, umenikumbusha kifaa cha uhakika. Mpole, mtaratibu, muungwana, kutwa anatabasamu, akiongea utapenda asiache kuongea, kila analolitoa kinywani mwake lina maana. MashaAllah, Mwenyezi Mungu amrehem.
 
MoU kati ya Serikali na kanisa ni wizi mtupu hauteteeki, mtazunguka na mtarudi pale pale, hakuna sababu ya kanisa kukwapua hizo fedha na watu bado tuko kimya. Its time kuanza kuishinikiza serikali ifute hiyo MoU na kanisa lirudishe fedha zote. Jamani, mikataba ya Lowasa si ndiyo inayopigiwa kelele hiyo? vipi leo wa Richmond uwe haufai wa kanisa uwe unafaa? Makubwa haya! Ukisikia "visa vya kanisa" ndio hivi.
 
Topical,

..basi kuna uwezekano kwamba mchango wa wale wenye elimu ya ki-secular ni mdogo au siyo mzuri na makini.

..kwa mfano: chombo kama Bakwata kina shule ambazo zinafanya vibaya miaka nenda rudi. sasa kama kungekuwa na Waislamu wazoefu ktk masuala ya elimu na uendeshaji taasisi za elimu ndani ya Bakwata nadhani tusingekuwa tunazungumzia tatizo hili sasa hivi.

..I am not questioning UISLAMU, isipokuwa facts on the ground, zinanielekeza kuamini kwamba taasisi nyingi za Kiislamu hazinufaiki na mchango wa kitaalamu toka kwa Waislamu.

NB:

..kuna Waislamu wanalalamika kwamba serikali iko karibu sana na Wakristo.

..kwa upande mwingine nadhani Waislamu wangeitumia Bakwata kuwa karibu na serikali ktk kuwakilisha matatizo yao.

..It is about time Waislamu waibadilishe Bakwata frm within. It might be easier said than done, but i think it is a something worthy to be tried.​

Mkuu mimi ni muislam msomi (kiwango cha ki-secular) naweza ku-claim kwamba nimesoma..

Mkuu Bakwata is more than you think..watu walijaribu kufanya reforms within walipambikiwa kesi za kutaka kunyan'anya misikiti vijana wengi wasomi walifungwa na serikali..mbaya zaidi kwa maagizo ya viongozi wa kanisa (maaskofu)..ushahidi upo..

Mkuu watu kama mimi na wengine tukaamua kuuchana na Bakwata (ili ife kifo cha natural) tukaanzisha taasisi zingine za kiislam tunafanya mambo mengi ya jamii na uislam..kwa kiwango cha kutosha (InshAllah) kwakuwa tunaipenda dini yetu na jamii yetu pia..

Mkuu sasa nenda wasiliana na serikali ili upate walau supports from goverments hawasiklizi wala hawataki kabisa.. taasisi nyingine zaidi ya bakwata ambayo na yenyewe haifanyi chochote zaidi ya kufanya mission town..

Mkuu unaweza kudhani haya mambo ni uongo (option) lakini ukweli kwamba viongozi wa Bakwata wako karibu sana na maaskofu kuliko walivyo karibu na waislamu.. sasa sijui kama maaskofu wanataka maendeleo ya waislamu au ya wakristo..

I don't blame maaskofu but Bakwata and Goverment; kwasababu serikali inafanya makusudi kabisa kujifanya haioni juhudi za taasisi zingine zaidi ya Bakwata, wakati bakwata wako mbali sana na maslahi ya waislamu trust me..wasomi wengi hawana muda nayo..
 
Al Habiiib, Mwinyi Baraka, umenikumbusha kifaa cha uhakika. Mpole, mtaratibu, muungwana, kutwa anatabasamu, akiongea utapenda asiache kuongea, kila analolitoa kinywani mwake lina maana. MashaAllah, Mwenyezi Mungu amrehem.

We acha mie mzee wangu mmoja aliwahi kuhudhuria open lecture yake mmoja msikiti wa ngazija. Basi akimsikiliza hadi akachelewa kumpelekea vitu alivyoagizwa na baba yake. Alipofika nyumbani mzee wake akamkuta kafura kwa hasira mpaka zinataka kupasuka. Alipomuuliza alikuwa wapi akamjibu alikuwa katika darsa ya Sayyid Mwinyibaraka pale pale mzee wake akataharuki hasira zote zikaisha akauliza hilo darasa limeisha namie niwahi japo kiduchu (akasahau kabisa kuwa alichelewa kumletea vitu alivyomuagiza).

Hao ndio walikuwa mabwana wakubwa kama alivyosema Mohamed Said. Those were the days...........
 
Topical said:
Mkuu mimi ni muislam msomi (kiwango cha ki-secular) naweza ku-claim kwamba nimesoma..

Mkuu Bakwata is more than you think..watu walijaribu kufanya reforms within walipambikiwa kesi za kutaka kunyan'anya misikiti vijana wengi wasomi walifungwa na serikali..mbaya zaidi kwa maagizo ya viongozi wa kanisa (maaskofu)..ushahidi upo..

Mkuu watu kama mimi na wengine tukaamua kuuchana na Bakwata (ili ife kifo cha natural) tukaanzisha taasisi zingine za kiislam tunafanya mambo mengi ya jamii na uislam..kwa kiwango cha kutosha (InshAllah) kwakuwa tunaipenda dini yetu na jamii yetu pia..

Mkuu sasa nenda wasiliana na serikali ili upate walau supports from goverments hawasiklizi wala hawataki kabisa.. taasisi nyingine zaidi ya bakwata ambayo na yenyewe haifanyi chochote zaidi ya kufanya mission town..

Mkuu unaweza kudhani haya mambo ni uongo (option) lakini ukweli kwamba viongozi wa Bakwata wako karibu sana na maaskofu kuliko walivyo karibu na waislamu.. sasa sijui kama maaskofu wanataka maendeleo ya waislamu au ya wakristo..

I don't blame maaskofu but Bakwata and Goverment; kwasababu serikali inafanya makusudi kabisa kujifanya haioni juhudi za taasisi zingine zaidi ya Bakwata, wakati bakwata wako mbali sana na maslahi ya waislamu trust me..wasomi wengi hawana muda nayo..

Topical,

..U can not blame everything on Maaskofu, huko ni kutoelewa tatizo na kukimbia wajibu au kukata tamaa.

..yaani shule za Bakwata zifanye vibaya halafu lawama muwatupie Maaskofu??!!

..kwa mtizamo kama huo sidhani kama kutapatikana solution yoyote ile kwa matatizo ya Waislamu.​
 
We acha mie mzee wangu mmoja aliwahi kuhudhuria open lecture yake mmoja msikiti wa ngazija. Basi akimsikiliza hadi akachelewa kumpelekea vitu alivyoagizwa na baba yake. Alipofika nyumbani mzee wake akamkuta kafura kwa hasira mpaka zinataka kupasuka. Alipomuuliza alikuwa wapi akamjibu alikuwa katika darsa ya Sayyid Mwinyibaraka pale pale mzee wake akataharuki hasira zote zikaisha akauliza hilo darasa limeisha namie niwahi japo kiduchu (akasahau kabisa kuwa alichelewa kumletea vitu alivyomuagiza).

Hao ndio walikuwa mabwana wakubwa kama alivyosema Mohamed Said. Those were the days...........

Nasikiliza kanda za Othman Maalim very humble sheikh sijui anaongoza msikiti gani ndugu huyu Allah amjaalie..

Unaweza kumuongezea Maalim Bassellehe B.A. Education mwalimu wa muda mrefu serikalini..
 
Allah atatoa solution, turudi kwenye mada..tusiingize matatizo ya Bakwata hapa

MoU ya kanisa na serikali ni UFISADI period and must stop

Hauna tofauti na richmond/epa/doawans..

Anyone anaye kataa richmond na kukubali MoU either ni mdini au mnafiki period..
 
..Maalim Basalehe naye anaingia ktk kundi la wasomi!!??

..labda ktk masuala ya kiimani, lakini ktk masuala ya kijamii na kisiasa huwa amejaa jazba na upotoshaji.

..
 
Maalim Basalehe naye anaingia ktk kundi la wasomi!!??

..labda ktk masuala ya kiimani, lakini ktk masuala ya kijamii na kisiasa huwa amejaa jazba na upotoshaji.

Jibu yes...
Alikuwa mwalimu wa shule za serikali (B.A. Education)..wakati huo wote alikuwa msomi lakini akiongoza taasisi ya kiislam anakuwa si msomi..nyie mna mambo kweli..

Jazba na upotoshaji ni mtazamo wako wewe..

Mtazamo ambao unatokana ulivyo programmed ..mimi binafsi sioni tatizo maana ana nukuu vizuri
 
We acha mie mzee wangu mmoja aliwahi kuhudhuria open lecture yake mmoja msikiti wa ngazija. Basi akimsikiliza hadi akachelewa kumpelekea vitu alivyoagizwa na baba yake. Alipofika nyumbani mzee wake akamkuta kafura kwa hasira mpaka zinataka kupasuka. Alipomuuliza alikuwa wapi akamjibu alikuwa katika darsa ya Sayyid Mwinyibaraka pale pale mzee wake akataharuki hasira zote zikaisha akauliza hilo darasa limeisha namie niwahi japo kiduchu (akasahau kabisa kuwa alichelewa kumletea vitu alivyomuagiza).

Hao ndio walikuwa mabwana wakubwa kama alivyosema Mohamed Said. Those were the days...........

Katika watu waliobahatika kupata machache ya Mwinyi baraka, nnashukuru kusema na mimi japo nimo.

Nilisema humu kuna Anti yangu alikuwa ni jirani na Maalim Bi Sakina (Mtaa wa Pemba), basi hapo kwa Anti yangu na baadae kwa Maalim Sakina, kulikuwa kuna darsa kila siku, likitolewa na Al Marhum Al Faqir Ahmed Sheikh Mohamed maarufu kama Sheikh Ahmed Polisi, huyu alikuwa ni kitu katika vitu na ni mwanafunzi wa Mwinyi Baraka na Mwinyi Baraka kila akija Dar basi hatukosi darsa ya Mwinyi Baraka. AlhamduliLlah. Nashkuru kuwa mmoja wa wanafunzi wa hawa Wazee waliotutangulia.

Licha ya hayo, Binti wa Mwinyi Baraka (na yeye Mwenyeezi mungu Amrehem) alikuwa ni shoga yangu mkubwa na kuna wakati akiishi na Babaake, kumuuguza, nami nilikuwa karibu sana na wao na kila mara tukienda kupata Darsa za mwinyi baraka na Maradhi yake lakini alikuwa akikaa juu ya kochi akitupa darsa, na tulikuwa hatuishi maswali na MashaAllah mwinyi baraka kama hajatuona humuuliza Binti yake wako wapi leo hawa? Nae hututafuta kwa simu (siku hizo hakuna mobile).

Aaah, leo mmenipeleka mbali sana. Mwenyeezi mungu Awarehem na kuwasameh wote waliotutangulia na sisi aturehem na kutusameh kwa kila mmoja wetu, atuongoze njia njema, atupe kauli thabit, atujaze katika dunia hasanatan na atujaze katika akhera hasanatan na atuepushe na adhabu ya moto. Eeeh Allah tuzidishie Ilm.
 
Topical said:
Alikuwa mwalimu wa shule za serikali (B.A. Education)..wakati huo wote alikuwa msomi lakini akiongoza taasisi ya kiislam anakuwa si msomi..nyie mna mambo kweli..

Jazba na upotoshaji ni mtazamo wako wewe..

Topical,

..tatizo la Basaleh na kundi lake ni kulaumu Wakristo kila kukicha.

..sasa hivi wewe kama msomi unaamini matatizo yote yanayowakabili Waislamu yamesababishwa na Wakristo pamoja na Maaskofu?

..mimi ninachoona hawa wameshindwa kuongoza jamii ya Waislamu, sasa ili kuendelea kuwa na uhalali wanasingizia kushindwa kwao kumesababishwa na hujuma za Wakristo etc etc.

..labda nikupe mfano mdogo: Muslim Development Fund wamepewa chuo cha Tanesco ili waanzishe chuo kikuu cha Waislamu. Kwa msingi huo u can realize kuna Waislamu wanaweza kui-approach serikali na wakapatiwa ushirikiano wanaouhitaji.

..sasa huyu Basalehe mara kachoma bendera ya Marekani, haishi kuzua hili na lile, hivi unategemea kuna anayeweza kumsikiliza huko serikalini??
 
Mdondoaji said:
Mufti Harith bin Khelef - graduated (Al-Azhar University).

Sheikh Yahya bin Hussein - graduated (Al-Azhar University).

Sheikh Hassan bin Ameir - nominated as a distinguished professor (Al-Azhar University).

Mdondoaji,

..lakini hao ni wasomi wa Dini.

..kulingana na Wikipedia, AL-Azhar Univ imeanza kutoa shahada za ki-secular mwaka 1961.

..labda katika wasomi wa ki-secular ungemuingiza na Barubaru manake nasikia ana PhD.

..kuna Prof mmoja wa Bio Chemistry pale Muhimbili anaitwa Dr.Jahazi, sijui kama unamfahamu huyu.

..pia namkumbuka Prof.Swedi Mwankemwa, ndiye founding dg wa Muhimbili Med Center.
 
Topical,

..tatizo la Basaleh na kundi lake ni kulaumu Wakristo kila kukicha.

..sasa hivi wewe kama msomi unaamini matatizo yote yanayowakabili Waislamu yamesababishwa na Wakristo pamoja na Maaskofu?

..mimi ninachoona hawa wameshindwa kuongoza jamii ya Waislamu, sasa ili kuendelea kuwa na uhalali wanasingizia kushindwa kwao kumesababishwa na hujuma za Wakristo etc etc.

..labda nikupe mfano mdogo: Muslim Development Fund wamepewa chuo cha Tanesco ili waanzishe chuo kikuu cha Waislamu. Kwa msingi huo u can realize kuna Waislamu wanaweza kui-approach serikali na wakapatiwa ushirikiano wanaouhitaji.

..sasa huyu Basalehe mara kachoma bendera ya Marekani, haishi kuzua hili na lile, hivi unategemea kuna anayeweza kumsikiliza huko serikalini??

Sawa lakini usiseme siyo msomi ...kwasababu anachoma bendera za merakani..

Mkuu kila mtu anachagua kazi ya kufanya, kazi anayofanya sheikh Bassalleh ni muhimu..

Naamini hiyo "cover up" waliyofanya serikali kwa Muslim Development Agency ni kwasababu kuna watu wenye moyo wakuonyesha jinsi gani kanisa linapendelewa..so wanatafuta cover up ..

What majengo compared to MoU which the government has to endovuor kila mwaka billions..

Unajua tatizo lenu mna mentality ya ubwabwa..kwamba waislamu watariziki kwa ujanja usio na msingi wala haki..

MoU ni uwizi usihamishe topic..please.
 
Nasikiliza kanda za Othman Maalim very humble sheikh sijui anaongoza msikiti gani ndugu huyu Allah amjaalie..

Unaweza kumuongezea Maalim Bassellehe B.A. Education mwalimu wa muda mrefu serikalini..

Sheikh Othman Maalim sijui amesoma wapi ila kuna mtu mmoja namfahamu anasema alisoma nae Kuwait mara wengine wanasema alisoma Saudia but nikipata taarifa za uhakika nitakuambia. Maalim Baasaleh alikuwa Imam wa msikiti pale Kariakoo na amesoma B.A Education. Vile vile ni katika wanafunzi wake Sheikh Hassan bin Ameir. Anaufahamu vizuri mfumo kristo kwani ameuona ulivyo ijapokuwa ana jazba sana ila daim wa waislamu kwani mambo anayoyazungumza mengi baadhi yetu tunayafahamu sasa ila muda mrefu tulikuwa hatuyajui.
 
Topical said:
Sawa lakini usiseme siyo msomi ...kwasababu anachoma bendera za merakani..

Mkuu kila mtu anachagua kazi ya kufanya, kazi anayofanya sheikh Bassalleh ni muhimu..

Naamini hiyo "cover up" waliyofanya serikali kwa Muslim Development Agency ni kwasababu kuna watu wenye moyo wakuonyesha jinsi gani kanisa linapendelewa..so wanatafuta cover up ..

What majengo compared to MoU which the government has to endovuor kila mwaka billions..

Unajua tatizo lenu mna mentality ya ubwabwa..kwamba waislamu watariziki kwa ujanja usio na msingi wala haki..

MoU ni uwizi usihamishe topic..please.

Topical,

..mimi nadhani una chuki na Ukristo, na mou ni "kichaka" tu kutolea chuki zako.

..kama mou ni wizi na ufisadi, je Muslim Dev Fund kupewa yale majengo nayo ni wizi na ufisadi?

..unadai mou lazima iwe audited, I am OK with it, na hakuna uhakika kama hilo halifanyiki, lakini ni lini Bakwata, Shura ya Maimamu, Muslim Dev Fund, zimekuwa audited?Hata kama hawapokei funds zozote zile toka serikalini je vyombo hivyo havistahili kuwa audited?

..personally, sidhani kama Waislamu wa aina yako wanaweza "kuridhika" kwasababu tatizo lao siyo haki, bali ni chuki dhidi ya imani nyingine, particularly Ukristo.

..mnadai kuna "mfumo Kristo" mbona Wahindi na Waarabu wanapeta nchi hii, na wana hali nzuri kuliko majority ya Wakristo???

.."mfumo Kristo" gani huo unaoruhusu Raisi, Makamu, Jaji Mkuu, Jaji Kiongozi, Mkuu wa Polisi, Mkuu wa usalama wa Taifa,Waziri wa Fedha, Waziri wa Elimu, Waziri wa Afya, ...wote hao wakawa Waislamu???!!

..Mashekhe wame-create adui wa kufikirika "mfumo Kristo" ili kuwalaghai the innocent and naive Muslims waendelee kuwaweka ktk nafasi za uongozi.
 
Mdondoaji,

..lakini hao ni wasomi wa Dini.

..kulingana na Wikipedia, AL-Azhar Univ imeanza kutoa shahada za ki-secular mwaka 1961.

..labda katika wasomi wa ki-secular ungemuingiza na Barubaru manake nasikia ana PhD.

..kuna Prof mmoja wa Bio Chemistry pale Muhimbili anaitwa Dr.Jahazi, sijui kama unamfahamu huyu.

..pia namkumbuka Prof.Swedi Mwankemwa, ndiye founding dg wa Muhimbili Med Center.

Hivi Professa Dr Jahazi yupo jamani. Nilikutana naye katika conference mmoja amemebeba kikapu nikasema huyu professa udaruweshi kazidi. Ila mtu mzuri sana. Yaa namkumbuka Professor Suedi Mwankemwa. Usimsahau na Dr Hassy Kitine ijapokuwa sikubaliani na matendo yake but ni msomi mzuri wa elimu ya secular. Kuna Professor Mwengine yuko pale Muhimbili anakaa upanga naye mahiri sana kwa mambo ya kisukari. Bila ya kumsahau Professor Amour (sijui kama keshakuwa professor ila niliambiwa anakaribia) naye wa muhimbili. Kikubwa wako wasomi wa kiislamu wapo wengi na huwezi kuwagundua kwani hawajionyeshi wao maprofessor au madr.

Wasomi niliokupatia Joka Kuu hao wamesomea dini wakawiva kama maandazi yaliyoumuka vizuri. Umezungumzia Al-Azhar ni kweli ilianzishwa kama university 1961. However, ilikuwa kama academic institution yenye kutoa wanafunzi mahiri wanaokubalika duniani since 975 A.D. (Enzi za akina Salahudin Ayubi (R.A)). Wanasema ukitoka Al-Azhar wewe ni mwanazuoni kamili maana kule dozi yake nasikia sio lele mama.

Ndio maana namuambia sweke usiowaone watu na makanzu kanzu yao na vilemba na kashda na bushti hao watu ni madaruweshi ukitaka kujua elimu zao ikiingia madarasani wanakofundisha watakuambia ni akina nani ila sio kuwaita sheikh ubwabwa that is insulting.

Turudi katika mada ya MoU kwa kweli kama nilivyosema mwanzo ushauri wangu ni kufutilia mbali haya mambo kusiweko hizi MoU bali serikali ikijikite zaidi kusaidia kuboresha elimu na afya ya watanzania. Hospitali za private, kanisa, msikiti ziendeshwe na wenyewe. Vile vile hela zilizochukuliwa zirudishwe maana ni ufisadi . Badala ya serikali kuzisaidia hospitali au shule ziwasaidie wanafunzi na wagonjwa huo ndio msimamo wangu.
 
Wanauondoa mjadaala kutoka MoU ya kanisa na Serikali, ambao ni wizi mtupu, kuelekea kwenye usomi wa watu.

Four walls of a class room does not make a person learned, it is rather a solitary confinement of someones greater potentials.
FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom