Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Tufute kwanza dpw then tutakaa tuome tunafanyeje.
bado hakuna mkataba wa kazi baina ya DPW na TPA msihamishe magoli.

Tunataka hii MoU ya serikali na kanisa ifutwe, haina faida yoyote kwa sasa. Inawaneemesha maaskofu na mabpadri tu.
 
Kwenye hili hapa nipo nawe moja kwa moja.
Serikali isjihusishe kwa vyovyote na hizi dini, na wala dini zisitafute upendeleo wowote toka serikalini.
Na hayo mambo ya sala sijui maombi huko serikalini iwe ni marufuku.
Watu watasali na kuomba majumbani kwao au kwenye nyumba za ibada zao.

Ujinga mwingi huko serikalini unaanzia huko huko kwa kuingiza dini huko.
Haya ndiyo msingi muhimu wa kuzingatia.
Dini ibaki kwa wananchi na siyo kwenye serikali.

Mungu Mwenyewe alituasa tumtofautishe Yeye na kaisari. Tusichanganye mambo ya imani na tawala za nchi.

MoU ibatilishwe
 
Hizo pesa zitumike kujenga misikiti.
Kama anavyo taka Mwarabu.
hatutaki kujenga misikiti, makanisa yapo mengi tutaanza kampeni ya kuyabadili yote yawe misikiti. Tutawapa elimu tu, Afrika Kusini na Kenya wameshaanza kuyabadili makanisa kuwa misikiti, kama Ulaya.


Sasa hivi, mada iliyopo hapa, tunataka MoU ya serikali na kanisa isitishwe haraka sana na pesa zetu zisipelekwe tena kanisani. Mtanzania binafsi ataetaka kuchangia kanisa atapeleka sadaka zake kanisani.
 
Ndio hawatibiwi bure, kwasababu serikali huwa haitoi pesa zote zinazotakiwa kufidia gharama kulingana na hayo makubaliano ya MoU unayotaka yafutwe, inabidi hizo hospitali zitafute namna nyingine ya kuwezesha kukidhi mahitaji.

Unataka mtibiwe bure ili hizo hospitali zife kabisa kwa kushindwa kujiendesha? hiyo itakuwa hasara kwa serikali pia, kama unataka huduma ya bei rahisi kaitafute unapopenda, lakini usilazimishe huduma ya gharama kama MRI Scan uipate kwa 200/= huo ni uzuzu.

Hili unalijua upande mmoja pekee, hujui upande wa pili, wacha mihemko ya kitoto hapa.
Tufanye mlinganisho wa gharama za tiba kwenye private hospitals na hizo zinazopokea ruzuku ya serikali.....

Pia hata kwenye elimu tulinganishe gharama kati ya private schools na za kanisa

Jambo la msingi, tunaposema Kanisa tunajumuisha mpaka akina Mwamposa au kuna Kanisa la Serikali yetu tukufu?
 
hatutaki kujenga misikiti, makanisa yapo mengi tutaanza kampeni ya kuyabadili yote yawe misikiti. Tutawapa elimu tu, Afrika Kusini na Kenya wameshaanza kuyabadili makanisa kuwa misikiti, kama Ulaya.


Sasa hivi, mada iliyopo hapa, tunataka MoU ya serikali na kanisa isitishwe haraka sana na pesa zetu zisipelekwe tena kanisani. Mtanzania binafsi ataetaka kuchangia kanisa atapeleka sadaka zake kanisani.
Mou ya Bakwata vipi nayo?
iachwe?
 
Kwahiyo Ada ya Ilboru ni sawa na st Peter's?
Ata Ada Ya DIAMOND PR SCHOOL
Siyo Sawa Naya SHULE YA MSINGI TEMEKE
Pamoja na Kwamba Zote Niza Serikali.
Acheni Ubishi Wa Vijiwe vya Kahawa.
Mazingira Tu Ya Hospital Na Mapokezi Yake Yanatosha Kumpa Unafuu Mgonjwa Anaepelekwa Hospital za Binafsi Au Za Dini.
 
TATIZO KUBWA tunapowafundisha Vitu Huwa Hamuelewi.

Vichwa Vimejaza Majini.

Kanisa la Rumi, Roman Catholic.
Ni Dola ya kale ya Roman Empire.
Tawala KUBWA ya sasa ya Dunia.

Tawala za Dunia tangu kuanzishwa.
1. Uyunani.
2. Babeli.
3. umedi na Ujemi.
4. Roman Empire.

Roman Empire ndio Dola inatawala Dunia nzima, Ndio walianzisha DINI ya kiislamu kwa LENGO la KUTAWALA DUNIA.
(Hakuna MUISLAMU ASIYEMJUA WARAQ Bin Nurfai) padre wa KATOLIKI ALIYEMPA UTUME fake Mohamed.

Ili watawale Dunia wanatumia VIONGOZI mapandikizi Yao Marais wote wanakuwa Waroma au WAISLAMU almost Dunia nzima.
Mfano BAKWATA IPO CHINI YA SELIKALI LAKINI NYUMA YAKE NI ROMAN EMPIRE. (VATCAN)

Wakina JF KENEDY walipojaribu kupinga Dora ya Rumi waliuwawa Dakika Moja
Eg Magufuli
 
Rekebisheni huyo Mkataba au hayo makubaliano.
La sivyo Mwarabu mtamsikia redioni tu huku Tanganyika.
Nendeni kwenu PEMBA.
Mkamkaribishe huko Mwarabu wenu huko. mnywe Naye kahawa.
Tanganyika sio nchi ya Mwarabu

Ni kwanini mlimpindua kipenzi chenu?
MWARABU WA DUBAI?

Sisi hatuna shida na Mwarabu. Rekebisheni hayo Makubaliano aje afanye kazi ya kushusha makontena tu.
 
Tufanye mlinganisho wa gharama za tiba kwenye private hospitals na hizo zinazopokea ruzuku ya serikali.....

Pia hata kwenye elimu tulinganishe gharama kati ya private schools na za kanisa

Jambo la msingi, tunaposema Kanisa tunajumuisha mpaka akina Mwamposa au kuna Kanisa la Serikali yetu tukufu?
Unapotaka mlinganisho wa gharama za tiba kwenye private hospitals, na hizo zinazopokea pesa toka serikalini ili u-justify kama mnaonewa, lazima utambue jambo ..

- Hakuna mgonjwa anayelazimishwa kwenda popote kutibiwa, sasa kama unaona hapa gharama kubwa, kwanini usiende pale kwenye gharama ndogo? huu ni ujinga wako usilaumu hospitali za kanisa.
 
Kwa kushindwa kujibu hoja zangu hizo unanipa fursa ya kukuelimisha;

1. Serikali inatoa ruzuku kwa taasisi mbalimbali kama kanisa, misikiti, vyama vya siasa ambavyo vingime hata huvijui n.k.

2. Zunguka nchi hii ukajionee huduma za afya kwenye hospital za serikali na zile za dini, kama utatumia akili yako badala ya mihemko mada yako utaifuta.

3.Ada ya shule za kanisa, ada ya shule za serikali na ada ya shule binafsi zinatofautiana.

4. Ukiondoa hospitali ya taifa, tiba bora zinapatikana kwenye hospital za rufaa za kanda, sitaki kujua mmiliki wake.

5. Licha ya serikali kukusanya kodi na kutoa huduma za jamii kwa hyo kodi, bado hospitali za serikali zinatoza fedha, kuhusu ubora wa huduma hizo malizia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom