Ndio hawatibiwi bure, kwasababu serikali huwa haitoi pesa zote zinazotakiwa kufidia gharama kulingana na hayo makubaliano ya MoU unayotaka yafutwe, inabidi hizo hospitali zitafute namna nyingine ya kuwezesha kukidhi mahitaji.
Unataka mtibiwe bure ili hizo hospitali zife kabisa kwa kushindwa kujiendesha? hiyo itakuwa hasara kwa serikali pia, kama unataka huduma ya bei rahisi kaitafute unapopenda, lakini usilazimishe huduma ya gharama kama MRI Scan uipate kwa 200/= huo ni uzuzu.
Hili unalijua upande mmoja pekee, hujui upande wa pili, wacha mihemko ya kitoto hapa.