Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Usiwe punguani hiyo pesa ya walipa kodi unachukulia poa kila mwezi wanapewa na mkataba hauna kikomo.Bi 36 kitu gani bwana. Hauwezi kulihonga kanisa ili ufanye ujinga ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe punguani hiyo pesa ya walipa kodi unachukulia poa kila mwezi wanapewa na mkataba hauna kikomo.Bi 36 kitu gani bwana. Hauwezi kulihonga kanisa ili ufanye ujinga ujinga
Hivi kuja kwa DP world kuna uhusiano gani na waislam? Mbona mwananchi au kikundi kinachopinga huu mkataba kinashambuliwa kwa matusi na bila hoja na hawa muhajidina wenye siasa kali? Je, ulikuwa ni mkakati wa kidini uliojificha nyuma ya kuendeleza bandari? Hawa mujahidina hawaoni wanazidi kutia wasiwasi wanapofananisha suala la kupinga mkataba huu mbovu na ukristo?Number 1 ameamua kuvujisha hako kanyaraka ili ajiponye na zimwi la DPW?
Mwambie asishupaze shingo litavunjika. Lisipo vunjika litavunjaa na likigoma kuvunjika hata baada ya kuvunjwa (nitakuja kumalizia baadae)
Yes, nyie muwe mnakuja kuchangia story za Mbususu and the likes, hayo mambo critical mnatumwa kuja kuyapigia kelele hamna uwezo wa kuyachambua na kuyaelewa. They are way far beyond your understanding capacity.JF kuna vituko huyu ndiyo anajitapa msomi angalieni anavyoandika kama angekuwa siyo msomi ingekuaje mambo ya matako msomi wa JF yametoka wapi tena?
Shida ya waisalam wengi ni elimu Dunia , Mwarabu aliwaharibu sanaWanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Swali la kipuuzi sana waislamu hawatibiwi kwa sababu hawana hospitali?Waislamu mmejenga hospitali gani yenye hadhi ya bugando..?
Usijitoe ufahamu mada niHivi kuja kwa DP world kuna uhusiano gani na waislam? Mbona mwananchi au kikundi kinachopinga huu mkataba kinashambulia kwa matusi na bila hoja na hawa muhajidina wenye siasa kali? Je, ulikuwa ni mkakati wa kidini ulijificha nyuma ya kuendeleza bandari? Hawa mujahidina hawaoni wanazidi kutia wasiwasi wanapofananisha suala la kupinga mkataba huu mbovu na ukristo?
Fedha ya watazania kutumika kwa watanzania kuna ubaya gani? Je, waislam na dini nyingine na hata wasio na dini waliomba kufanya mikataba kama hii wakakataliwa? Hamuoni kuwa mnapofananisha suala la huu mkataba mbovu wa waarabu kuwa hiyo MOA ya wakristo inaonyesha kabisa DP world ilikuwa inakuja kwa sababu za kidini?Usiwe punguani hiyo pesa ya walipa kodi unachukulia poa kila mwezi wanapewa na mkataba hauna kikomo.
Tunataka huu mkataba usitishwe mara moja.Kwa kweli, baada ya hili suala la DPW, tunataka na Mkataba usio na Kikomo kati ya Serikali na Kanisa uwekwe hadharani nao tuujadili na tukubaliane juu ya vifungu vyake kama bado kwa zama hizi tunautaka ama tuachane nao. MOU kati ya Kanisa na Serikali, pia hatuutaki kwa sababu serikali ndio inawajibu wa kutoa huduma za jamii kwa watu wake ikiwemo afya na elimu. Hatuwezi kukubali kuendelea kutoa bilions of Shilings kwa kanisa endlessly wakati kila siku serikali imekuwa ikijenga hosp na vituo vya afya kote nchini. Je hizo zinazolipiwa kanisani ni kwa nini? Mikataba yote ya janja janja ipigwe chini.
Ndugu yangu toka tupate uhuru serikalini wamejaa wagalatia ndiyo watendaji na ndiyo mmelifikisha hapo tulipo taifa letu kwenye umasikini mkuvbwa huo usomi wenu mnaojitapa nao umewasidia nini Watanzania?Shida ya waisalam wengi ni elimu Dunia , Mwarabu aliwaharibu sana
Na vyombo vya usalama vinaliogopa hilo kundi? Basi litakuwa hatari sanaKundi hatari sana Tanzania.
TEC wanamiliki Armed Forces Commision kinyume na katiba
na Padri Slaa aliwahi kutamka kuwa kuna silaha zinapitia TEC
Hawa wana achiwa sana. Msisahau walichofanya Rwanda
Hizo huduma wanazipata bure au wanalipia? Ukishakua na pesa yako popote unatibiwa hiyo siyo hoja.Waislamu wengi sana hupata huduma za Kanisa bila ya Ubaguzi unajua kwa mfano Waislamu wangapi hutibiwa KCMC au Bugando? Na hiyo ni mifano midogo tu kuna Wilaya kubwa Tanzania huduma pekee ni ya Kanisa na kila mtu hutibiwa au unafikiri hakuna Muislamu anasoma SAUT ?
Serikali siyo wajinga wanachangia kwa sababu haina uwezo wa kufikia kila Mtanzania kwa huduma za Matibabu na hata elimu, hivyo labda haujui unachokihoji.
Shida kubwa ya Uislamu ni dini inayonyanyapaa na kukanyaga masikini na watu wa chini wasio na mtetezi, Waislamu maelite hawajali Waislamu wa chini ndiyo maana Uislamu hautoi huduma kwa jamii hata tu watoto yatima hakuna ndiyo maana wewe unahoji Kanisa kupata fedha ktk Serikalini kwa sababu kwako masikini na watu chini siyo kitu.
Viingozi wa Kiislamu wenye uwezo sijawahi kusikia hata siku moja wakianzisha foundation kama Mkapa foundation kusaidia watu, wao kazi yao starehe na kupiga picha social media tu …
kosa la nan hapo?Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Hawa wote wanalipwa mishahara kutoka kodi za
Watanzania na sio sadaka.
Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36
Billion kila mwezi.
Kazi kweli kweli duh 🙄 !Wanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.