Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Naomba unitajie Hospitali mbili au kituo cha Afya kimoja kinachomilikiwa na wazee wa asamaleko
 
Wagalatia bana upo radhi useme uongo alimradi unatetea maparoko.

Ebu tupe ripoti ya CAG ya mwaka wowote inayoelezea pesa wanazipewa Kanisa na Serikali ukileta najitoa JF.

Nipo pale nimejibanza nasubiri huku nakunywa kahawa na kashata na juice ya tende.
Wakupe ripoti ya CAG waitoe wapi?
Labda uombe ripoti ya kreti za divai au chibuku zinazotumika kila siku pale Kanisani kwa baba Pengo. Hizo storr keeper anaweza kuwa nazo.
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Wafute, unafikiri hatutaendesha hospitali zetu? Aisee tulijenga wenyewe ila muwaandae Watanzania kwa impact ya maamuzi yenu.
 
Kile chuo kikuu cha kiislamu kilichopo Morogoro, lini wananchi walishirikishwa hadi wakapewa waislamu?
Unaposema chuo cha waislamu maana yake nini hasa.
Je kinasomesha waislamu tu?
Je kinafundisha masomo ya Uislamu tu?
Au ni Chuo ambacho kinaendeshwa na waislamu lkn hakina tofauti na chuo chochote kingine Tanzania.?

Uliza swali lenye kueleweka upewe darsa la bure kijana
 
Askofu wa majimbo kuu na papa pale roma

Mnatifuana hata haya hamuoni, nyie ni wa kuchoma moto tu
Machoko ya kizungu nyie shenztype
Mkuu wa mtifuano ni huyu hapa

HASSANHadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
 
Unaposema chuo cha waislamu maana yake nini hasa.
Je kinasomesha waislamu tu?
Je kinafundisha masomo ya Uislamu tu?
Au ni Chuo ambacho kinaendeshwa na waislamu lkn hakina tofauti na chuo chochote kingine Tanzania.?

Uliza swali lenye kueleweka upewe darsa la bure kijana
Waraka wa Maaskofu umewaingia kwelikweli.Maaskofu wameiandikia.serikali(inayoongozwa na viongozi waislamu na wakristo ambapo asilimia sabini ni wakristo)Nyie mnapanic as if wameuandikia msikiti.Kuna nini nyuma ya pazia
 
Kwahiyo hii ndio sababu ya Bandari kupelekwa Arabuni?
Yaani bilioni 36 kwa mwezi zinazolwenda hosptali kumsaidia mtanzania kinyume chake ndio Bandari iende arabuni?
Mwenye uzi nadhani unazidi kumwagia petroli
 
Wafute, unafikiri hatutaendesha hospitali zetu? Aisee tulijenga wenyewe ila muwaandae Watanzania kwa impact ya maamuzi yenu.
@ammoshiwe mchaga au?
Mi nadhani wachaga wengi wajanja na ni wafahamu wa mambo na uhalisia.
Au we umechanganya damu?

Nani alikudanganya hizo Hospital kongwe zimejengwa na Kanisa?
Kanisa lipi limejenga. Na lilianza kujenga lini?

Bugando imeanza kujengwa 1968 kwa pesa za Muingereza. Nyerere kaenda kufungua hio Hospital ndio akaiita ya Kanisa Katoliki.

We unajua 1968 wakatoliki wengi walikuwa hawana hata uwezo wa kuvaa suruali ?
Nyerere mwenyewe suruali yake ya kwanza kapewa na Muislamu. Leo unadanganywa Bugando imejengwa na Kanisa na wewe unapiga "hallelujah "!
Au tuanzishe uzi mpya upewe Darsa hapa?
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Serikali ilibeba ilivyoweza, hata leo mnaweza ibebeni basi.
 
Waraka wa Maaskofu umewaingia kwelikweli.Maaskofu wameiandikia.serikali(inayoongozwa na viongozi waislamu na wakristo ambapo asilimia sabini ni wakristo)Nyie mnapanic as if wameuandikia msikiti.Kuna nini nyuma ya pazia
Ati asilimia 70. 🤣
We msukuma naona leo umekunywa mapuya mabichi.

Yarudishe jikoni fasta kabla hujatokwa na bawasiri kwa kuhara
 
You can't fight the Church established by Jesus himself who is truly human and truly God! More than 2000 yrs preaching the gospel! Roman empire imebomoka, ukomunisti umebomoka! Itakuwa hivi vipele?
 
Serikali ilibeba ilivyoweza, hata leo mnaweza ibebeni basi.
Sio serikali.
Sema KANISA limebeba na kuiba PESA za wananchi miaka mingi sana.
Hii peke yake ni BILLION 36 kila mwezi. Na hakuna hesabu yyt KANISA Linaonyesha serikalini.

We bado unaona ni sawa?
 
Zanzibar ni nchi tofauti kabisa na Tanganyika.
Ina watu wake na imani yake na dasturi zake.

Na km una elimu japo kidogo tu ya historia unatambua kuwa sababu ya Zanzibar kuunganishwa na Tanganyika ni moja ktk mipango ya Vatican (mfumo kristo) kuweza kudhibiti Waislamu na hakuna kingine.

Mpk leo bajeti ya Zanzibar inapangwa Dodoma.
Mapato yote ya Zanzibar yanapangiwa matumizi Dodoma. Na mengine mengi sana. Sina muda wa kuyaeleza hapa.

Unauliza "wakristo wawafelishe Waislamu ili iweje sasa" !
Are you seriously asking this question? Are you insane?

Km mpk leo hujajua kwanini WAKRISTO walioko madaraka wanafelisha Waislamu kusudi ktk mitihani yao basi hio topic haikufai wewe .
Km kweli HUJUI basi bora uendelee kutokujua manake huna utakaloweza kufanya zaidi ya kuumia kichwa tu.

Waislamu wamepigwa vita sana sana Tanzania tena kwa miaka mingi sana sana.

We unadhani system ya kuchagua rais MKATOLIKI ksiha muislam kidha MKATOLIKI miaka yote ni bahati tu eti?

Hebu jaribuni kumteua mtu ambae atagombea URAIS hapo asiekuwa MKATOLIKI uone Km hata NEC itampitisha.

Kijana we kaa ukifahamu kuwa Ubaya haulipi.
Ni maangamizo tu.
Wakristo wakipata hizo senti za Haramu wanaskia raha kwa muda mfupi tu. Lkn RIZIKI YA HARAMU siku zote ina madhara
Watu wenye pesa ndefu yaaani wafanyabiashara wengi ni waislamu utasema Wakristo wanapigwa vita na waislamu wasiwe wafanyabiashara?.
Mfumo wa namba upo Duniani nzima hata huko nchi za kiislam na hii ni baada ya maendeleo ya technology kwa maana ya tally binary system.
Na sio umeanzishwa na Malima ili waislamu wasifelishwe.
Hata Sasa mbona wanatumia mfumo wa namba na still shule za kiislam plus ukanda wa pwani bado wapo nyuma,hapo utasemaje
 
Kama mtu anatukana ovyo hio ni dalili ya malezi mabaya .
Andiko linasema Mithali 20:3 “Mtu kujitenga na ugomvi ni heshima kwake; Bali kila mpumbavu ataka kugombana”.

Na pia andiko linaongezea

26:11 Kut 8:15; Za 85:8; 2 2:22

Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake.

Yeye akitukana na wewe ukitukana nani mwenye busara?
Mithali 26 : 5 - Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.

Hicho kitabu ulicho kinukuu ni kitabu cha mayahudi na manasara
Na wewe si wa imani hiyo, unaonaje kama utaleta aya za quran ili tuende sambamba.
 
Sio serikali.
Sema KANISA limebeba na kuiba PESA za wananchi miaka mingi sana.
Hii peke yake ni BILLION 36 kila mwezi. Na hakuna hesabu yyt KANISA Linaonyesha serikalini.

We bado unaona ni sawa?
Braza ndo maana in simple term chukueni tena.
 
You can't fight the Church established by Jesus himself who is truly human and truly God! More than 2000 yrs preaching the gospel! Roman empire imebomoka, ukomunisti umebomoka! Itakuwa hivi vipele?
Jesus never establish any church nor building any .
As matter facts Jesus he call church " a house of SATAN ".

Revelation 3:9​

Behold, I will make those of the synagogue of Satan who say that they are Jews and are not, but lie...

Stop lying to yourself son.
You are a devil worshiper.
 
Back
Top Bottom