antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kwani Muhimbili unatibiwa bure?Wanatibiwa bure?
Unaelewa maana ya huduma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Muhimbili unatibiwa bure?Wanatibiwa bure?
Naomba unitajie Hospitali mbili au kituo cha Afya kimoja kinachomilikiwa na wazee wa asamalekoWanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Wakupe ripoti ya CAG waitoe wapi?Wagalatia bana upo radhi useme uongo alimradi unatetea maparoko.
Ebu tupe ripoti ya CAG ya mwaka wowote inayoelezea pesa wanazipewa Kanisa na Serikali ukileta najitoa JF.
Nipo pale nimejibanza nasubiri huku nakunywa kahawa na kashata na juice ya tende.
Hili swali anaeweza kuuliza ni kilaza yyt mdogo kwa umri na asie na elimu .Naomba unitajie Hospitali mbili au kituo cha Afya kimoja kinachomilikiwa na wazee wa asamaleko
Wafute, unafikiri hatutaendesha hospitali zetu? Aisee tulijenga wenyewe ila muwaandae Watanzania kwa impact ya maamuzi yenu.Wanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Unaposema chuo cha waislamu maana yake nini hasa.Kile chuo kikuu cha kiislamu kilichopo Morogoro, lini wananchi walishirikishwa hadi wakapewa waislamu?
Samaleko ustazHili swali anaeweza kuuliza ni kilaza yyt mdogo kwa umri na asie na elimu .
Mkuu wa mtifuano ni huyu hapaAskofu wa majimbo kuu na papa pale roma
Mnatifuana hata haya hamuoni, nyie ni wa kuchoma moto tu
Machoko ya kizungu nyie shenztype
Waraka wa Maaskofu umewaingia kwelikweli.Maaskofu wameiandikia.serikali(inayoongozwa na viongozi waislamu na wakristo ambapo asilimia sabini ni wakristo)Nyie mnapanic as if wameuandikia msikiti.Kuna nini nyuma ya paziaUnaposema chuo cha waislamu maana yake nini hasa.
Je kinasomesha waislamu tu?
Je kinafundisha masomo ya Uislamu tu?
Au ni Chuo ambacho kinaendeshwa na waislamu lkn hakina tofauti na chuo chochote kingine Tanzania.?
Uliza swali lenye kueleweka upewe darsa la bure kijana
@ammoshiwe mchaga au?Wafute, unafikiri hatutaendesha hospitali zetu? Aisee tulijenga wenyewe ila muwaandae Watanzania kwa impact ya maamuzi yenu.
Serikali ilibeba ilivyoweza, hata leo mnaweza ibebeni basi.@ammoshiwe mchaga au?
Mi nadhani wachaga wengi wajanja na ni wafahamu wa mambo na uhalisia.
Au we umechanganya damu?
Nani alikudanganya hizo Hospital kongwe zimejengwa na Kanisa?
Kanisa lipi limejenga. Na lilianza kujenga lini?
Bugando imeanza kujengwa 1968 kwa pesa za Muingereza. Nyerere kaenda kufungua hio Hospital ndio akaiita ya Kanisa Katoliki.
We unajua 1968 wakatoliki wengi walikuwa hawana hata uwezo wa kuvaa suruali ?
Nyerere mwenyewe suruali yake ya kwanza kapewa na Muislamu. Leo unadanganywa Bugando imejengwa na Kanisa na wewe unapiga "hallelujah "!
Au tuanzishe uzi mpya upewe Darsa hapa?
Ati asilimia 70. 🤣Waraka wa Maaskofu umewaingia kwelikweli.Maaskofu wameiandikia.serikali(inayoongozwa na viongozi waislamu na wakristo ambapo asilimia sabini ni wakristo)Nyie mnapanic as if wameuandikia msikiti.Kuna nini nyuma ya pazia
Sio serikali.Serikali ilibeba ilivyoweza, hata leo mnaweza ibebeni basi.
Watu wenye pesa ndefu yaaani wafanyabiashara wengi ni waislamu utasema Wakristo wanapigwa vita na waislamu wasiwe wafanyabiashara?.Zanzibar ni nchi tofauti kabisa na Tanganyika.
Ina watu wake na imani yake na dasturi zake.
Na km una elimu japo kidogo tu ya historia unatambua kuwa sababu ya Zanzibar kuunganishwa na Tanganyika ni moja ktk mipango ya Vatican (mfumo kristo) kuweza kudhibiti Waislamu na hakuna kingine.
Mpk leo bajeti ya Zanzibar inapangwa Dodoma.
Mapato yote ya Zanzibar yanapangiwa matumizi Dodoma. Na mengine mengi sana. Sina muda wa kuyaeleza hapa.
Unauliza "wakristo wawafelishe Waislamu ili iweje sasa" !
Are you seriously asking this question? Are you insane?
Km mpk leo hujajua kwanini WAKRISTO walioko madaraka wanafelisha Waislamu kusudi ktk mitihani yao basi hio topic haikufai wewe .
Km kweli HUJUI basi bora uendelee kutokujua manake huna utakaloweza kufanya zaidi ya kuumia kichwa tu.
Waislamu wamepigwa vita sana sana Tanzania tena kwa miaka mingi sana sana.
We unadhani system ya kuchagua rais MKATOLIKI ksiha muislam kidha MKATOLIKI miaka yote ni bahati tu eti?
Hebu jaribuni kumteua mtu ambae atagombea URAIS hapo asiekuwa MKATOLIKI uone Km hata NEC itampitisha.
Kijana we kaa ukifahamu kuwa Ubaya haulipi.
Ni maangamizo tu.
Wakristo wakipata hizo senti za Haramu wanaskia raha kwa muda mfupi tu. Lkn RIZIKI YA HARAMU siku zote ina madhara
Mithali 26 : 5 - Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.Kama mtu anatukana ovyo hio ni dalili ya malezi mabaya .
Andiko linasema Mithali 20:3 “Mtu kujitenga na ugomvi ni heshima kwake; Bali kila mpumbavu ataka kugombana”.
Na pia andiko linaongezea
26:11 Kut 8:15; Za 85:8; 2 2:22
Kama mbwa ayarudiavyo matapiko yake, ndivyo mpumbavu arudiavyo upumbavu wake.
Yeye akitukana na wewe ukitukana nani mwenye busara?
Braza ndo maana in simple term chukueni tena.Sio serikali.
Sema KANISA limebeba na kuiba PESA za wananchi miaka mingi sana.
Hii peke yake ni BILLION 36 kila mwezi. Na hakuna hesabu yyt KANISA Linaonyesha serikalini.
We bado unaona ni sawa?
Jesus never establish any church nor building any .You can't fight the Church established by Jesus himself who is truly human and truly God! More than 2000 yrs preaching the gospel! Roman empire imebomoka, ukomunisti umebomoka! Itakuwa hivi vipele?
Dp world ameahidi kujenga misikiti na si hospitali Wala shule.Waache kununua tende wakajenge hospitali? Misikiti yenyewe wanajengewa