Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Means Roma is an arm of Lucifer
Roma ni kubwa kuliko SERKALI YOYOTE DUNIANI

Ns
 
Mbona una chuki mbaya hivyo na wakristu??? Walikufanyia kitu gani kibaya?
Mimi tena! 🤣
Sina chuki hata kidogo na WAKRISTO. Tatizo lako umedandia treni kwa mbele.
Nicole toka mwanzo utaelewa tu km una busara.

Mimi nimesoma na wakiristo, nimekuwa nao , na mpk leo nafanya kazi nao kila kukicha. Na chakula tunakula pamoja ambacho mara nyingi tu kinapikwa na mkiristo.
Wengi wa wakiristo hawajui namna KANISA linavyo maliza nchi hii.
Wengi sana wanachojua ni kwenda kusali weekend. Kuimba kupiga makofi na kutoa fungu la 10.
Akitoka hapo anajiona dhambi zote za wiki nzima zimefutwa.
Hawajui kuwa huyo Mchungaji huenda ni Member wa kanisa la Shetani anaeiba mali ya maskini wa Tanzania huku akivaa joho kuuuubwa na kudanganya watu kwa Divai na Crisp za mahindi.
 
Kwani katoliki walioewa hayo mabillioni ndio wakajenga,au serikali ilikuta katoliki imejenga ndo inatoa hayo mabillioni? Na kama ni kabla,je waislamu mlikuwa wapi?
Katoliki hawajajenga Chochote bali NYERERE ndio aliyetamka kuwa hospitali hizo zimejengwa na Katoliki kitu ambacho sio kweli.

BUGANDO imejengwa mwaka 1968 na pesa ya Waingereza.

KCMC imejengwa na Good Samaritan Foundation in 1971 ya WAKOLONI kisha ikakabidhiwa serikali.
Wakaipasia Evangelical Lutheran Church of Tanzania
Mpk leo imekuwa ya KANISA

Sema ingine ulioambiwa imejengwa na KATOLIKI nikupe Data haraka.

Katoliki mwaka 1971 walikuwa na makanisa ya majani.
Walipo ondoka waingereza makanisa yao yalioko chini YA Church of ENGLAND mengi yalipokonywa na KATOLIKI.
Manake waingereza SIO KATOLIKI NA hawataki kabisa kusikia MKATOLIKI ktk maisha yao. Manake VATICAN inaongoza kwa laana zote duniani.
 
Kwani katoliki walioewa hayo mabillioni ndio wakajenga,au serikali ilikuta katoliki imejenga ndo inatoa hayo mabillioni? Na kama ni kabla,je waislamu mlikuwa wapi?
Dah, mungu bwana, yaani hapo ndio pakujiuliza, walipowapa wakristo kwani waislam walikuwa wapi? Au ndio walidhulumiwa huku wanaona?
 
Swali nakuuliza .
Je hayo makubaliano BAINA YA SERIKALI NA KANISA walihisishwa wananchi ktk hilo jambo?
Au unadhani nchi hii mali ya KANISA!
DR SLAA amesema wazi kuwa alikuwa anasaidia kuleta SILAHA ndani ya kanisa.
Hizo silaha mmeweke wapi.?
Sasa we tazama tu.
Siku kikiwaka hilo kanisa litatamani kupaa.
Kama
makubaliano BAINA YA SERIKALI NA KANISA....
Hayana faida kwa taifa, YAVUNJWE.
Kuhusu kushirikishwa wananchi, usijitoe ufahamu!, Serikali ya CCM hainaga uwajibakaji huo. Wameshapitisha mikataba mingi, na mingine ya hovyo miaka nenda miaka rudi kwa usiri mkubwa. Tunakujaga sikia mambo yakibuma!
 
Je hao waislam wanatibiwa bure, je huko SAUTI wanasoma bure?
Tuachane na waislam haileti taswira nzuri(udini)

Je hizo taasisi zinatoa huduma bure,jibu ni hapana
Sasa hizo bilioni 36 za nini?
We unadhan Wana pewa za nini?? Vitu vingine mbona unaweza kukaa tuu kimya au uka uliza Je kwann anapewa,
 
Wanaukumbi.

Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Lini wananchi walishikishwa ugawaji wa majengo ya ambacho kingekua chuo cha Tanesco Morogoro, kwa Muslim Development Foundation (MDF)
 
Lini wananchi walishikishwa ugawaji wa majengo ya ambacho kingekua chuo cha Tanesco Morogoro, kwa Muslim Development Foundation (MDF)
Chuo ni FUNGU LA PESA LINALOTOKA KILA MWEZI ?
Mbona nyie wakolosai mnaongea utumbo kushoto kulia?
Aisee nyie viumbe ni shida.
 
Kama

Hayana faida kwa taifa, YAVUNJWE.
Kuhusu kushirikishwa wananchi, usijitoe ufahamu!, Serikali ya CCM hainaga uwajibakaji huo. Wameshapitisha mikataba mingi, na mingine ya hovyo miaka nenda miaka rudi kwa usiri mkubwa. Tunakujaga sikia mambo yakibuma!
Ndio maana hili JAMVI LA JF Likawekwa ili Huu ujinga unaofanywa na serikali na WEZI unaofanywa na KANISA ujadiliwe hapa na hao viongozi wanaoshiriki waone kuwa wananchi tunajua na hatutokaa kimya.

Zile zama za KUIBIWA kisha tunashangilia zimeshapita.
Mungu ailinde nchi yetu na majambazi wasio na huruma na mtoto maskini wa kitanzania ..

Can I get an " amen" please.
Thank you
 
Chuo ni FUNGU LA PESA LINALOTOKA KILA MWEZI ?
Mbona nyie wakolosai mnaongea utumbo kushoto kulia?
Aisee nyie viumbe ni shida.
  • ugawaji wa majengo ya Tanesco kwa taasisi ya kiIslam uangaliwe upya.
  • makubaliano/mkataba unahusisha malipo ya kila mwezi kwa taasisi ya kiKristu yaangaliwe upya
This time wananchi washiirikishwe.

Kama kuna unfairness, then isijalishe mnufaika ni dini gani, marekebisho yafanyike. Umenielewa?
 
Ndio maana hili JAMVI LA JF Likawekwa ili Huu ujinga unaofanywa na serikali na WEZI unaofanywa na KANISA ujadiliwe hapa na hao viongozi wanaoshiriki waone kuwa wananchi tunajua na hatutokaa kimya.

Zile zama za KUIBIWA kisha tunashangilia zimeshapita.
Mungu ailinde nchi yetu na majambazi wasio na huruma na mtoto maskini wa kitanzania ..

Can I get an " amen" please.
Thank you
Mimi nasupport haki, bila kujali dini, kabila au kanda.
 
Swali nakuuliza .
Je hayo makubaliano BAINA YA SERIKALI NA KANISA walihisishwa wananchi ktk hilo jambo?
Au unadhani nchi hii mali ya KANISA!
DR SLAA amesema wazi kuwa alikuwa anasaidia kuleta SILAHA ndani ya kanisa.
Hizo silaha mmeweke wapi.?
Sasa we tazama tu.
Siku kikiwaka hilo kanisa litatamani kupaa.
Umepandikizwa chuki sana huko Kibiti
 
Katoliki hawajajenga Chochote bali NYERERE ndio aliyetamka kuwa hospitali hizo zimejengwa na Katoliki kitu ambacho sio kweli.

BUGANDO imejengwa mwaka 1968 na pesa ya Waingereza.

KCMC imejengwa na Good Samaritan Foundation in 1971 ya WAKOLONI kisha ikakabidhiwa serikali.
Wakaipasia Evangelical Lutheran Church of Tanzania
Mpk leo imekuwa ya KANISA

Sema ingine ulioambiwa imejengwa na KATOLIKI nikupe Data haraka.

Katoliki mwaka 1971 walikuwa na makanisa ya majani.
Walipo ondoka waingereza makanisa yao yalioko chini YA Church of ENGLAND mengi yalipokonywa na KATOLIKI.
Manake waingereza SIO KATOLIKI NA hawataki kabisa kusikia MKATOLIKI ktk maisha yao. Manake VATICAN inaongoza kwa laana zote duniani.
Haya ndo mnafundishwa pale.MUM?
 
Moja.
Suala la waislamu individual kuwa na pesa halihusiani na TAASISI YA KIISLAMU YYT.

KANISA KAMA KANISA lina pesa kupita maelezo na vyanzo vyake vyote ni BOGUS.

Mbili.
soma historia uangalie nani aliyebadili System hapa TZ ya kuondoa majina na kuweka na Namba.
Na kwanini aliamua kufanya hivyo.

Tatu. Kuhusu suala la shule za kiislam kutokufanya vizuri.
Kuna kesi majuzi tu ya binti wa kiislam kupewa namba feki ya mitihani na marks zote za namba yake ya halali kupewa MKRISTO.

Hilo suala bado lipo kila kona ktk taifa hili lenye laana.
Wakristo wanakaa vikao chungu nzima kuhakikisha waislamu hawapati nafasi yyt ya maana popote pale.
Iwe mashuleni, mitaani mpk serikalini.

Zikija scholarship Tz mfano 200. Basi KANISA litapewa 150.
Waislamu 20 na 30 zitatangazwa kwa wengine.
Na hizo 20 zitawekewa vikwazo chungu nzima.
Mtu anadhani vikwazo vinatoka nje ya nchi kumbe vimepikwa humu humu na Mfumo kristo.

hio ni chuki isio na faida.

watoto hawa wote ni watanzania. Chuki husababisha vifo vibaya sana.
Ogopeni Mungu
We ni muathirika wa chuki.
 
Back
Top Bottom