Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game Theory said:Hivi waislam wangetaka kuingia mikataba na nchi kama Iran au Saudi Rabia Pinda atakubali ku sign hiyo memorandum?
Saudia wametaka kuja kufanya kilimo hapa mmepiga makelel as if nchi imeuzwa..wakati srikali imesema itakuwa makini mkataba unufaishe pande zote mbili
Mlikuwa mmejificha lakini naona taratibu mmeanza kuondoa makovu yenu
kazi kweli kweli
the bottom line ile illusion kuwa tuko pamoja haipo ni uwongo na janja janja tuuu tuko pamoja nmapotaka yenu.
Yakisemwa ohhh lete ushahidi..huo sasa
Shule za kikristo, hospitali ya kikristo kwanini waislamu walipie kodi..si mmachingishane huko kanisani kuendesha vyuo na shule zenu? kama amabvyo waislamu wanafanya kwa shule, vyuo na hospitali zao?Game Theory,
..unapotosha unapodai serikali imeingia mkataba wa siri na makanisa.
..ili mkataba wa namna hii usainiwe ni lazima ujadiliwe na upate ridhaa ya baraza la mawaziri.
..kipindi ambacho mkataba huu ulisainiwa Raisi wetu alikuwa Alhaji Ali Hassan Mwinyi. vilevile kulikuwa na mawaziri kadhaa Waislamu akiwemo Prof.Kighoma Malima ambaye anaheshimika sana na umma wa Waislamu wa Tanzania.
..pamoja na kwamba Jumuiya za Kiislamu hazijasaini mkataba wa aina hii na serikali, bado zimekuwa zikipata misaada mbalimbali toka serikalini.
..tangu mkataba huo usainiwe serikali imefadhili mkutano mkuu wa bakwata, pia imesaidia kuwakwamua mahujaji waliokwama kwenda hijja. viongozi wakuu wameshiriki ktk fund raising kwa miradi inayomilikiwa na taasisi za waislamu. zaidi serikali imechangia majengo kwa ajili ya chuo cha waislamu morogoro.
..ofisi ya waziri mkuu wanaripoti kwamba Kanisa la Kilutheri wana shule za msingi za walemavu 10, vyuo vya ufundi 35, sekondari 61, vyuo vikuu na vishirikishi 6. Kanisa la Kilutheri pia wana hospitali 20, na zahanati 138 zilizosambaa nchi nzima.
..binafsi sioni ubaya wowote ule kwa serikali kutambua mchango kama huo, na kutoa ahadi ya kusaidia kila inapowezekana.
NB:
..badala ya kuendelea kulalamika Waislamu nao waandae MOU kati yao na serikali.
Tumain said:Shule za kikristo, hospitali ya kikristo kwanini waislamu walipie kodi..si mmachingishane huko kanisani kuendesha vyuo na shule zenu?
kama amabvyo waislamu wanafanya kwa shule, vyuo na hospitali zao?
Ama kweli bila hila, uwizi na ufisadi hakuna taasisis ya kikristo itasimama yenyewe lazima waibe kutoka serikalini (fedha za watanzania wote)
Nakubaliana na wewe lakini kwanini iwe kati ya dini moja tuu! (christo), if serikali haina dini inapoingia kwenye MoU kama hii basi inatakiwa iwe neutral mfano ingekuwa (religious groups bila kutaja christiaity) na kila taasisi ya dini nyingine ziwe na access na fund kutoka serikalini mfano mzuri (tanzania education authority) ambayo ni act inasaidia shule zote binafsi, religious kwa kutoa either grants or loan lakini hili la serikali kuu kutoa fedha za serikali kwa taasisi za kikristo (hata kama zinasaidia wote) haina maana kwamba ni haki!!! Ukipendelea kwa Mshiko taasisi za dini moja zitakuwa nyingi na hiyo inakuwa bottom line vilevile katika propaganda za kueneza (kutafuta wafuasi wake) hiyo ndiyo hoja!!!- maana nyingine ni kwamba serikali kwak kutoa fedha (za watu wote) kwa wakristo inasaidia kueneza ukristo through service provison which is wrong!!!Tumain,
..ninachojaribu kusisitiza hapa ni kwamba hakuna madhehebu ya dini yoyote ile ambayo yametengwa na serikali.
..hata taasisi za Waislamu nazo zimekuwa zikipata msaada wa serikali wa mara kwa mara. kwa mfano: serikali imetoa majengo ya tanesco ili kuanzisha chuo kikuu cha Waislamu Morogoro.
..pamoja na hayo these institutions do not depend 100% on government/taxpayers money.
..pia ondokana na hiyo dhana ya "shule za kikristo" na "hospitali za kikristo."
..kutokana na ukata unaoikabili serikali yetu huduma zinazotolewa na mashirika ya kidini[waislamu,wakristo,bohora,baniani] ni msaada mkubwa kwa Watanzania wote bila kujali imani zetu.
Nakubaliana na wewe lakini kwanini iwe kati ya dini moja tuu! (christo), if serikali haina dini inapoingia kwenye MoU kama hii basi inatakiwa iwe neutral mfano ingekuwa (religious groups bila kutaja christiaity) na kila taasisi ya dini nyingine ziwe na access na fund kutoka serikalini mfano mzuri (tanzania education authority) ambayo ni act inasaidia shule zote binafsi, religious kwa kutoa either grants or loan lakini hili la serikali kuu kutoa fedha za serikali kwa taasisi za kikristo (hata kama zinasaidia wote) haina maana kwamba ni haki!!! Ukipendelea kwa Mshiko taasisi za dini moja zitakuwa nyingi na hiyo inakuwa bottom line vilevile katika propaganda za kueneza (kutafuta wafuasi wake) hiyo ndiyo hoja!!!- maana nyingine ni kwamba serikali kwak kutoa fedha (za watu wote) kwa wakristo inasaidia kueneza ukristo through service provison which is wrong!!!
Tumain said:Nakubaliana na wewe lakini kwanini iwe kati ya dini moja tuu! (christo), if serikali haina dini inapoingia kwenye MoU kama hii basi inatakiwa iwe neutral mfano ingekuwa (religious groups bila kutaja christiaity) na kila taasisi ya dini nyingine ziwe na access na fund kutoka serikalini mfano mzuri (tanzania education authority) ambayo ni act inasaidia shule zote binafsi, religious kwa kutoa either grants or loan lakini hili la serikali kuu kutoa fedha za serikali kwa taasisi za kikristo (hata kama zinasaidia wote) haina maana kwamba ni haki!!! Ukipendelea kwa Mshiko taasisi za dini moja zitakuwa nyingi na hiyo inakuwa bottom line vilevile katika propaganda za kueneza (kutafuta wafuasi wake) hiyo ndiyo hoja!!!- maana nyingine ni kwamba serikali kwak kutoa fedha (za watu wote) kwa wakristo inasaidia kueneza ukristo through service provison which is wrong!!!
Shauri ya kwako,Umeshindwa kuelewa kuwa mwenye maono ya kuisaidia Tanzania ni kanisa, na Kanisa limeweka maono yake kwenye Serikari.
Waislam hamna maono yeyote yanoyo taka au lenga kuisaidia jamii ya Mtanzania, zaidi ya kulalama mnapo ona Mkristo anafanya mambo mema kwa jamii
Hivyo basi, kawaulize mashehe wenu kwanini hawana maono mazuri kama ya Wakristo.
Shauri ya kwako,
Mahakama za kadhi tayari zipo mikononi, kama mnawivu jinyongeni nyooooote.
Duh1 yaani unaogopa kuingia na jina lako la kawaida umeamua kutumia jina la Max Shimba!
kazi kweli kweli kwani kuna ubaya gani ukawa mwanamme na kuja kusimamia msimamo wako japo hautokuwa popular?
kazi kweli kweli
Ukizowea kupendelewa inafikia kipindi unaona ni haki yako.
all of a sudden JF imekuwa na traffic ya ajabu
safi sana...
waliitaka hiyo Mou na wakapewa
Paragraph 4 clearly states that the Gov shall endeavour to include financial assistance to Church run social services in its bilateral negotiations.
The above paragraph is not a guarantee of the financial assistance, it is only when two sides came to certain mutual understanding then the Gov will/may give funds where comes necessary, inter-alia, said paragrah does not say that the Gov is the sole donor and/or underwriter.