Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Na kuna nyaraka za siri ya kupinga kila jambo la waislamu ambayo inawezekana imetembezwa kwa wakiristo waote walio bungeni na serikalini ,huwezi kujua ila dalili zinaonyesha kuna mkakati kwa mambo ya Waislamu.
 
Game Theory said:
Hivi waislam wangetaka kuingia mikataba na nchi kama Iran au Saudi Rabia Pinda atakubali ku sign hiyo memorandum?

Saudia wametaka kuja kufanya kilimo hapa mmepiga makelel as if nchi imeuzwa..wakati srikali imesema itakuwa makini mkataba unufaishe pande zote mbili

Mlikuwa mmejificha lakini naona taratibu mmeanza kuondoa makovu yenu

kazi kweli kweli

the bottom line ile illusion kuwa tuko pamoja haipo ni uwongo na janja janja tuuu tuko pamoja nmapotaka yenu.

Yakisemwa ohhh lete ushahidi..huo sasa

Game Theory,

..tayari Saudi Fund, na Kuwait Fund, wanasaidia ujenzi wa barabara ya kwenda kusini. umesikia malalamiko yoyote kuhusu hilo?

..Iran nao si walikuwa na mradi wa kilimo cha mpunga maeneo ya Rufiji. sidhani kama mradi huo unakwenda vizuri though.

..huu mpango wa kuwapa Wasaudia ardhi walime mpunga kupeleka kwao nina mashaka utaishia kuwafanya Watanzania vibarua tu.

..bora Raisi angesema ametupatia soko la mpunga Saudia, halafu akatoa mikopo na mashine za kilimo, Watanzania tulime wenyewe tukauze Saudia.
 
Game Theory,

..unapotosha unapodai serikali imeingia mkataba wa siri na makanisa.

..ili mkataba wa namna hii usainiwe ni lazima ujadiliwe na upate ridhaa ya baraza la mawaziri.

..kipindi ambacho mkataba huu ulisainiwa Raisi wetu alikuwa Alhaji Ali Hassan Mwinyi. vilevile kulikuwa na mawaziri kadhaa Waislamu akiwemo Prof.Kighoma Malima ambaye anaheshimika sana na umma wa Waislamu wa Tanzania.

..pamoja na kwamba Jumuiya za Kiislamu hazijasaini mkataba wa aina hii na serikali, bado zimekuwa zikipata misaada mbalimbali toka serikalini.

..tangu mkataba huo usainiwe serikali imefadhili mkutano mkuu wa bakwata, pia imesaidia kuwakwamua mahujaji waliokwama kwenda hijja. viongozi wakuu wameshiriki ktk fund raising kwa miradi inayomilikiwa na taasisi za waislamu. zaidi serikali imechangia majengo kwa ajili ya chuo cha waislamu morogoro.

..ofisi ya waziri mkuu wanaripoti kwamba Kanisa la Kilutheri wana shule za msingi za walemavu 10, vyuo vya ufundi 35, sekondari 61, vyuo vikuu na vishirikishi 6. Kanisa la Kilutheri pia wana hospitali 20, na zahanati 138 zilizosambaa nchi nzima.

..binafsi sioni ubaya wowote ule kwa serikali kutambua mchango kama huo, na kutoa ahadi ya kusaidia kila inapowezekana.

NB:

..badala ya kuendelea kulalamika Waislamu nao waandae MOU kati yao na serikali.
Shule za kikristo, hospitali ya kikristo kwanini waislamu walipie kodi..si mmachingishane huko kanisani kuendesha vyuo na shule zenu? kama amabvyo waislamu wanafanya kwa shule, vyuo na hospitali zao?
Ama kweli bila hila, uwizi na ufisadi hakuna taasisis ya kikristo itasimama yenyewe lazima waibe kutoka serikalini (fedha za watanzania wote)
 
Kelele zote bottom line "fedha za kutoka serikalini" mara waraka nonsense!
 
Tumain said:
Shule za kikristo, hospitali ya kikristo kwanini waislamu walipie kodi..si mmachingishane huko kanisani kuendesha vyuo na shule zenu?

kama amabvyo waislamu wanafanya kwa shule, vyuo na hospitali zao?
Ama kweli bila hila, uwizi na ufisadi hakuna taasisis ya kikristo itasimama yenyewe lazima waibe kutoka serikalini (fedha za watanzania wote)

Tumain,

..ninachojaribu kusisitiza hapa ni kwamba hakuna madhehebu ya dini yoyote ile ambayo yametengwa na serikali.

..hata taasisi za Waislamu nazo zimekuwa zikipata msaada wa serikali wa mara kwa mara. kwa mfano: serikali imetoa majengo ya tanesco ili kuanzisha chuo kikuu cha Waislamu Morogoro.

..pamoja na hayo these institutions do not depend 100% on government/taxpayers money.

..pia ondokana na hiyo dhana ya "shule za kikristo" na "hospitali za kikristo."

..kutokana na ukata unaoikabili serikali yetu huduma zinazotolewa na mashirika ya kidini[waislamu,wakristo,bohora,baniani] ni msaada mkubwa kwa Watanzania wote bila kujali imani zetu.
 
Nilivyoelewa MOU hii inatambua mchango mkubwa wa mashirika ya dini katika sekta hizo zilizotajwa. niseme mapema kwamba ni lazima kulikuwa na sababu za kuwa na MOU, kwa hiyo nadhani hapa wahusika wakuu, yaani serikali na hayo mashirika wanaweza kufafanua. lakini kwa uelewa wangu, huko nyuma serikali iliwahi kutaifisha mashule, vyuo na mahospitali ya mashirika ya dini. sasa kama ambavyo serikali imebidi ihakikishie wawekezaji kwamba haitataifisha mali zao huko mbele, nadhani ipo haja ya kuwa na utaratibu wa kufanya kazi ili mashirika haya yaweze kuendelea kuwekeza, kwa kutumia donor funds na pia serikali inao wajibu wa kusaidia hapa na pale kwa kuwa ni mdau mkubwa, hasa kwa kuwa huduma hizo zinatolewa kwa watanzania wote. naelewa kwamba institutions kama seminari za kikristo ambapo haiwezekani mtu wa dhehebu lingine kupata huduma, hizo hazina privilege ambazo zinaweza kupatikana katika zile za public. mimi nadhani tukubali kitu kimoja kwamba wale walioleta uislamu huku kwetu hawakufanya utafiti wa kujenga vizuri misingi ya jamii imara, kwa kutoa elimu na huduma za afya, kama vile ambavyo walioleta dini za kikristo walivyofanya. kwa mtaji huo, lazima baadae ionekane tofauti tu. kama wachaga mfano, wanasomesha sana watoto wao, dhahiri utawakuta wengi katika soko la ajira, achilia mbali wakipendeleana. dawa sio kusema wachaga ni wabaya ati kwa sababu wanasomesha sana watoto wao, dawa ni kuhakikisha na wale wengine wanasomesha sana watoto wao pia. Nyerere kwa kutaifisha mashule na vyuo vya mashirika ya Kikristu alitaka kutoa nafasi sawa kwa wote, na hasa kuwasaidia waislamu wa-catch up. nadhani jitihada zinahitajika kwa waislamu kujiimarisha sana katika kujenga mashule na vyuo. hilo mbona linawezekana sana tu?
 
Tumain,

..ninachojaribu kusisitiza hapa ni kwamba hakuna madhehebu ya dini yoyote ile ambayo yametengwa na serikali.

..hata taasisi za Waislamu nazo zimekuwa zikipata msaada wa serikali wa mara kwa mara. kwa mfano: serikali imetoa majengo ya tanesco ili kuanzisha chuo kikuu cha Waislamu Morogoro.

..pamoja na hayo these institutions do not depend 100% on government/taxpayers money.

..pia ondokana na hiyo dhana ya "shule za kikristo" na "hospitali za kikristo."

..kutokana na ukata unaoikabili serikali yetu huduma zinazotolewa na mashirika ya kidini[waislamu,wakristo,bohora,baniani] ni msaada mkubwa kwa Watanzania wote bila kujali imani zetu.
Nakubaliana na wewe lakini kwanini iwe kati ya dini moja tuu! (christo), if serikali haina dini inapoingia kwenye MoU kama hii basi inatakiwa iwe neutral mfano ingekuwa (religious groups bila kutaja christiaity) na kila taasisi ya dini nyingine ziwe na access na fund kutoka serikalini mfano mzuri (tanzania education authority) ambayo ni act inasaidia shule zote binafsi, religious kwa kutoa either grants or loan lakini hili la serikali kuu kutoa fedha za serikali kwa taasisi za kikristo (hata kama zinasaidia wote) haina maana kwamba ni haki!!! Ukipendelea kwa Mshiko taasisi za dini moja zitakuwa nyingi na hiyo inakuwa bottom line vilevile katika propaganda za kueneza (kutafuta wafuasi wake) hiyo ndiyo hoja!!!- maana nyingine ni kwamba serikali kwak kutoa fedha (za watu wote) kwa wakristo inasaidia kueneza ukristo through service provison which is wrong!!!
 
2-1.jpg

It is shame for muhammadans to behave the way they do and continue to show inferiority kwa wakristo. This memo is not applied mathematics kiasi cha kushindwa kusoma na kuelewa, labda Madrasa inaendelea kufanya kazi mbaya ndani ya hawa Muhammadans.

Mlengwa katika hii memo of understanding ni Mtanzania na sio Mkristo wa Tanzania. Atakaye faidika na hii memo ni Mtanzania na sio Mkristo au Kanisa ndani ya Tanzania, zaidi ya Kanisa kuwa kijakazi.

Waislam hawana jipya zaidi ya kuendelea kuonyesha ni jinsi gani Uislam unavyo penda kurudisha nyuma maendelea katia jamii. I don't see any biase here than clear and open thoughts zinazo taka kumsaidia Mtanzania na jamii nzima ya Tanzania kwa ujumla.

Hakuna kipengele hata kimoja katika hii memo of understanding inayo mlenga au faidisha Mkristo pekee zaidi ya kuonyesha kwa uwazi kuwa mlengwa ni jamii nzima ya Tanzania.

Hakuna hata sehemu moja katika hii memo of understanding inayosema au mtenga Muislam katika mapokeo ya huduma inayoendeshwa na hiki kitengo/wakristo katika hii memo ya understanding.

Makanisa yamejenga mashule, maospitali, vyuo vikuu kibao ambavyo hata kimoja hakijamtenga au mkataa kumuhudumia muislam.

Wherefore, there is no issue here to complain than to thank the Christian community kwa kazi nzuri wanayo fanya kwenye jamii yote ya Tanzania na dunia nzima.

It is shame and sad to be islamized.

Nakubaliana na wewe lakini kwanini iwe kati ya dini moja tuu! (christo), if serikali haina dini inapoingia kwenye MoU kama hii basi inatakiwa iwe neutral mfano ingekuwa (religious groups bila kutaja christiaity) na kila taasisi ya dini nyingine ziwe na access na fund kutoka serikalini mfano mzuri (tanzania education authority) ambayo ni act inasaidia shule zote binafsi, religious kwa kutoa either grants or loan lakini hili la serikali kuu kutoa fedha za serikali kwa taasisi za kikristo (hata kama zinasaidia wote) haina maana kwamba ni haki!!! Ukipendelea kwa Mshiko taasisi za dini moja zitakuwa nyingi na hiyo inakuwa bottom line vilevile katika propaganda za kueneza (kutafuta wafuasi wake) hiyo ndiyo hoja!!!- maana nyingine ni kwamba serikali kwak kutoa fedha (za watu wote) kwa wakristo inasaidia kueneza ukristo through service provison which is wrong!!!

Umeshindwa kuelewa kuwa mwenye maono ya kuisaidia Tanzania ni kanisa, na Kanisa limeweka maono yake kwenye Serikari.

Waislam hamna maono yeyote yanoyo taka au lenga kuisaidia jamii ya Mtanzania, zaidi ya kulalama mnapo ona Mkristo anafanya mambo mema kwa jamii

Hivyo basi, kawaulize mashehe wenu kwanini hawana maono mazuri kama ya Wakristo.
 
Ukizowea kupendelewa inafikia kipindi unaona ni haki yako.
 
..kilichotakiwa kufanyika ni Bakwata,Balukta,Shura ya Maimamu,Bohora,Baniani etc etc kuandaa MOU na serikali.

..inawezekana taasisi hizo zimeona hazihitaji MOU ili kupata msaada na ushirikiano toka serikalini.

..ninavyoelewa mimi serikali imekuwa ikitoa ushirikiano kwa taasisi za madhehebu yote ya kidini bila kubagua. kwa mfano: serikali imetoa majengo ya Tanesco kuwa Chuo Kikuu cha Waislamu, serikali imesaidia mahujaji kwenda hijja baada ya kukwamishwa na ATC, viongozi wakuu wameshiriki fundraising zilizoandaliwa na madhehebu ya Kiislamu, etc etc

..sidhani kama MOU hii inayaweka madhehebu ya kikristo karibu zaidi na serikali kuliko hayo madhehebu mengine.

..kama nilivyokuelekeza hapo juu, serikali imekuwa ikitoa misaada kwa taasisi za Kiislamu, na inaendelea kufanya hivyo. tena majuzi Waziri Mkuu Lowassa, Mkuu wa Majeshi Gen.Mwamunyange alishiriki fundraising kwa ajili ya shule inayodhaminiwa na Mufti Shaaban Simba. je, itakuwa haki kuituhumu serikali na viongozi wakuu kusaidia kueneza Uislamu?

NB:

..binafsi nadhani muda mwingi unatumika kulalamika kuliko kushughulikia matatizo.

..hivi muda mliotumia ku-post hapa si unatosha kubisa kukaa pamoja mkaandaa MOU ya taasisi za Kiislamu na mkaiwasilisha serikalini?
 
Duh1 yaani unaogopa kuingia na jina lako la kawaida umeamua kutumia jina la Max Shimba!

kazi kweli kweli kwani kuna ubaya gani ukawa mwanamme na kuja kusimamia msimamo wako japo hautokuwa popular?

kazi kweli kweli
 
Umeshindwa kuelewa kuwa mwenye maono ya kuisaidia Tanzania ni kanisa, na Kanisa limeweka maono yake kwenye Serikari.

Waislam hamna maono yeyote yanoyo taka au lenga kuisaidia jamii ya Mtanzania, zaidi ya kulalama mnapo ona Mkristo anafanya mambo mema kwa jamii

Hivyo basi, kawaulize mashehe wenu kwanini hawana maono mazuri kama ya Wakristo.
Shauri ya kwako,
Mahakama za kadhi tayari zipo mikononi, kama mnawivu jinyongeni nyooooote.
 
Paragraph 4 clearly states that the Gov shall endeavour to include financial assistance to Church run social services in its bilateral negotiations.

The above paragraph is not a guarantee of the financial assistance, it is only when two sides came to certain mutual understanding then the Gov will/may give funds where comes necessary, inter-alia, said paragrah does not say that the Gov is the sole donor and/or underwriter.
 
Shauri ya kwako,
Mahakama za kadhi tayari zipo mikononi, kama mnawivu jinyongeni nyooooote.

Sasa mnalialia nini? Kama mnazo bogus kadhi kama utamaduni wenu wanyenyekevu, mbona mnalilia msaada wa Serikali, kama si kutafuta ajira kwa walimu wenu wa madrasa?
 
Last edited:
Duh1 yaani unaogopa kuingia na jina lako la kawaida umeamua kutumia jina la Max Shimba!

kazi kweli kweli kwani kuna ubaya gani ukawa mwanamme na kuja kusimamia msimamo wako japo hautokuwa popular?

kazi kweli kweli

There is only one Max Shimba bana.
 
all of a sudden JF imekuwa na traffic ya ajabu

safi sana...

waliitaka hiyo Mou na wakapewa
 
all of a sudden JF imekuwa na traffic ya ajabu

safi sana...

waliitaka hiyo Mou na wakapewa

Inaonekana ulicho fanya wewe ni kubandika bila ya kujuwa kilicho andikwa. Wewe ulipo ona neno finance basi ukawaka. lol
 
Paragraph 4 clearly states that the Gov shall endeavour to include financial assistance to Church run social services in its bilateral negotiations.

The above paragraph is not a guarantee of the financial assistance, it is only when two sides came to certain mutual understanding then the Gov will/may give funds where comes necessary, inter-alia, said paragrah does not say that the Gov is the sole donor and/or underwriter.

why with serikali ya Ujerumani?
 
Back
Top Bottom