Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Wenye akili ndogo watakubali kwamba MOU iko safi lakini,ukweli utasimama,kuna dini nyingine wamezoea propaganda na uongo mana dini zao na imani zao zinawafundisha hivyo.unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani ila huwezi kumfanya mjinga muda wote.eti wanadai MOU iko kisheria,Kanisa ndio waasisi wa Ufisadi Tanzania,ndio mana adui yao mkubwa ni ujamaa na uislamu,ukisoma kitabu cha prof Huntington na john Sivalon utajua mfumo kiristo wa nchi yetu.ha ha ha inachekesha sana mtu anavyofagilia MOU na kansa inayolitafuna taifa
Mtaongea vibaya kuhusu huduma za makanisa, lakini kesho mtapeleka wagonjwa huko, mna watoto mnaowapeleka kusoma katika shule hizo, sawa na kukata tawi ulilolikalia. Viongozi wengi waandamizi serikalini kutoka dini mbalimbali na wakana dini wengi wamepitia shule hizo. Basi waungwana na wastaarabu wanaona bora kunyamaza kwa ajili ya kutunza amani maana ukimnyanyulia jambia kichaa utaonekana we ndo mwenye tatizo.