Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

Wenye akili ndogo watakubali kwamba MOU iko safi lakini,ukweli utasimama,kuna dini nyingine wamezoea propaganda na uongo mana dini zao na imani zao zinawafundisha hivyo.unaweza kumdanganya mtu kwa muda flani ila huwezi kumfanya mjinga muda wote.eti wanadai MOU iko kisheria,Kanisa ndio waasisi wa Ufisadi Tanzania,ndio mana adui yao mkubwa ni ujamaa na uislamu,ukisoma kitabu cha prof Huntington na john Sivalon utajua mfumo kiristo wa nchi yetu.ha ha ha inachekesha sana mtu anavyofagilia MOU na kansa inayolitafuna taifa

Mtaongea vibaya kuhusu huduma za makanisa, lakini kesho mtapeleka wagonjwa huko, mna watoto mnaowapeleka kusoma katika shule hizo, sawa na kukata tawi ulilolikalia. Viongozi wengi waandamizi serikalini kutoka dini mbalimbali na wakana dini wengi wamepitia shule hizo. Basi waungwana na wastaarabu wanaona bora kunyamaza kwa ajili ya kutunza amani maana ukimnyanyulia jambia kichaa utaonekana we ndo mwenye tatizo.
 
Jaribu kutazama na kuisoma vizuri taswira ya mada, utakuja kugundua kwa kuisoma body of language ni ya Dr. Slaa, moderator wamejitahidi kuunganisha na document. Inaonyesha Dr. Slaa hakuanza mada ila alichangia hiyo mada, moderator wakaiweka pamoja ili kuleta mtiririko wa habari.

JF ina safu ya wasanifishaji, haiendi kienyeji tu. Thanks Mods.

You missed my point mkuu.

1.Naelewa kuwa haya ni maandishi ya Dr.Slaa akichangia mada nyingine,am i wrong?

2.Muanzisha uzi ametumia hii coment ya dr.(kutoka huko kwenye mada nyingine)kuanzisha uzi mpya hapa kwa kuweka title kama inavyoonekana,am i wrong?

Kama nipo sahihi in both 1&2 basi hoja yangu kuwa hili sio tamko ni ufafanuzi bado haijajibiwa.

Hakuna sehemu niliyosema "Jf inaendeshwa kienyejienyeji tu".Ungenielewa ungeelewa kuwa nilikuwa naelekea kusema "mleta mada ameweka title kienyejienyeji tu".
 
Duh!

Ama kweli ****** mna mambo!

Hamlali?

sasa kuna watu wanataka kubadilisha maneno mara ohh Ujerumani mara ohhh sijui nini

waislam walipopeleka MoU yao ambayo ilikuwa ilikuwa sawa na hii wakaambiwa ohhh fanyeni Subra kwanza kuja kushtuka too late.

Mimi naona badala ya kubishana kila mmoja apige madili kivyake au mnasemaje maana hapa ni ngumu kutaka FAIR PLAY wakati the entire game is UNFAIR
 
mimi labda sijaelewa slaa anatolea ufafanuzi kama msemaji wa kanisa au kiongozi wa chadema.babu mbona unatuchanganya uko upande upi

mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

nijuavyo mimi dr slaa ni mchungani wa kanisa by profession kama vile mchungaji mtikila na mchungaji rev run wa run dmc

so atakuwa anajua zaidi anachosema

hiyo haiondoi ukweli kuwa kwa hili wa gala walijiseti vizuri sana kwa kweli maana wao wanaendelea kula sisi tuko bize online na akina yeriko
 
Duh!

Ama kweli *******mna mambo!

Hamlali?

sasa kuna watu wanataka kubadilisha maneno mara ohh Ujerumani mara ohhh sijui nini

waislam walipopeleka MoU yao ambayo ilikuwa ilikuwa sawa na hii wakaambiwa ohhh fanyeni Subra kwanza kuja kushtuka too late.

Mimi naona badala ya kubishana kila mmoja apige madili kivyake au mnasemaje maana hapa ni ngumu kutaka FAIR PLAY wakati the entire game is UNFAIR
Kikwete kishawaambia pale Dodoma kuwa pelekeni maombi yenu. Changamkieni tenda!
 
Mkuu mbona povu sana hili mbona neno la kawaida sana mtaani.Hata kijana mdogo anaitwa babu kwa hiyo mwagia maji povu lako hilo
Kama mwananchi anayefahamu kinachojadiliwa. Unamuita babu ndo aliyemzaa nani kati ya baba au mama ako!?
 
Mkuu mbona povu sana hili mbona neno la kawaida sana mtaani.Hata kijana mdogo anaitwa babu kwa hiyo mwagia maji povu lako hilo

Usitishike na povu, ni kawaida yangu kwani huwa nakula ugali uliosongwa kwa OMO. wasalimie mtaani kwako BABU
 
Mimi labda sijaelewa Slaa anatolea ufafanuzi kama msemaji wa kanisa au kiongozi wa chadema.Babu mbona unatuchanganya uko upande upi
Si labda, ni kweli hujaelewa... Kwani nawe hayo maswli yako umayaulia kama nani? Kwani anayetakiwa kuposti kitu hapa JF ni nani? Elewa kuwa anayetakiwa kutoa ufafanuzi wa jambo lolote hapa JF ni yeyeote aliyejiandikisha na ndiyo guest anaishia kusoma tu. Hivyo Dr. Slaa ametoa ufafanuzi kama mwana JF... Kwani hao akina Le mutuz au Zitto, Nape huwa wanachangia kama nani? Acha kujitoa akili.
 
Tulipeka copy ya hiii yenu wakatutolea nje

ndo maana tumerudi tena kulalamika
sasa, kama mlikopi na kupesti, kipi kinawafanya muilalamikie hii iliyopo wakati huo huo mmeipenda hadi mkaikopi? Au hamjui mnachokilalamikia? Au udini unawahangaisha?
 
Dk Slaa tunashukuru kwa huu ufafanuzi ila sasa sijui kama wamekuelewa,kwasababu zaidi ya mwalimu wa madrasa sijui kama hata mwalimu darasani wanamuelewaga
 
You missed my point mkuu.

1.Naelewa kuwa haya ni maandishi ya Dr.Slaa akichangia mada nyingine,am i wrong?

2.Muanzisha uzi ametumia hii coment ya dr.(kutoka huko kwenye mada nyingine)kuanzisha uzi mpya hapa kwa kuweka title kama inavyoonekana,am i wrong?

Kama nipo sahihi in both 1&2 basi hoja yangu kuwa hili sio tamko ni ufafanuzi bado haijajibiwa.

Hakuna sehemu niliyosema "Jf inaendeshwa kienyejienyeji tu".Ungenielewa ungeelewa kuwa nilikuwa naelekea kusema "mleta mada ameweka title kienyejienyeji tu".

Liwe tamko au ufafanuzi kikubwa wewe na wasomaji wote tumeelewa what is behind MOU sasa unachong'ang'ania ni nini zaidi?
 
Kuweni makini, mishahara, oc na deve funds serikali inatoa kwa kanisa kila mwezi. Bugando, kcmc, peramio, ifakara, bwagala nk. Lakini bado tunalipia huduma. Mbona haitoi kwa bakwata? Ushaidi ni mimi na vitabu vya bajeti

wewe ulitaka utibiwe bure? maada dawa na vifaa vinadondoka toka angani kama mana waliyodondoshewa wana wa Israel kule Jangwani!
 
Thanks Dr! Maelezo yametulia sana ila hujatueleza BAKWATA walipodisapear na why ilibidi wadisapie, serikali ya "mfumo kristo" chini ya uongozi mahiri wa Shekh Mwinyi iliwafukuza?
 
Back
Top Bottom