Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Kabla hatujapiga kura wangapi wameuona mkataba? Ushusheni hapa na mtusaidie kuufafanua. Vinginevyo mwarabu apewe tu. Kura yangu ni ndio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka Uzi wa wa watanzania wote wanaopinga DP na wasiopinga. Iwe kwa kumbukumbu sahihi za Tanganyika hapo baadaye.Wametumwa hao
Wewe ni prominent humu. Anzisha Uzi tu vote kuhusu DPWNoma sana
Wenye JF WamekusikiaWewe ni prominent humu. Anzisha Uzi tu vote kuhusu DPW
Na waliotaka kujitenga na Tanganyika na waliokuwa na chuki dhidi ya Tanganyika yupo huyo huyo, kama alivyokuwa bosi wake na Mentor wake mkuu Amana Karume.Wazenjibia wanaiuza Tanganyika kwa waarabu hivi hivi,nchi ngumu sana hii
Yes, kwa mfano wa hili la BandariMzanzibari anakuwa raisi wa Tanganyika, anawaongoza watanganyika kwenye mambo ambayo hata siyo ya Muungano!. Ila kule Zenji Mtanganyika hawezi kugusa mambo ya wazenji.
Huu muungano ni jinamizi kwa Watanganyika!
Yes, kwa mfano wa hili la Bandari
Mkataba unasema ni baina ya Dubai na The United Republic of Tanzania. Maana yake ni kwamba na Zanzibar ipo.
Kwa namna isioyoeleweka Zanzibar haipo katika mkataba na Rais SSH anajua haipo.
Hivyo iliyobaki na mkataba ni Tanganyika. Rais SSH anasaini kama Rais wa Tanganyika.
Rais SSH anatoa madaraka kwa Waziri Mbarawa ambaye ni Waziri wa Wizara iisiyo ya muungano yaani Wizara ya Tanganyika akiwa Mzanzibar. Pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara isiyo ya Muungano ambaye ni Mzanzibar.
Hivyo si kuwa Rais wa Tanganyika anakuwa Mzanzibar bali pia Wazanzibar wanasimamia rasilimali muhimu sana za Tanganyika na wanaingia mikataba. Hilo ndilo linawafanya Watanganyika wajiulize nani anasimamia masilahi yao?
Kuna msemo wa Waswahili kwamba usimfundishe panya kula sufi. Maana yake ni kuwa panya huyo akishazoea atakula sufi za godoro lako.
Rais SSH alipoingia alikuta kero za Wazanzibar takibani 20 zilizoachwa na Watangulizi wake. Kwa namna ya ajabu kero zimemalizwa lakini hatujui zimemalizwa kwa utaratibu gani na nani alisimamia masilahi ya Tanganyika.
Kwahiyo Rais SSH alikaa na Rais Mwinyi wakamaliza kero za Wazanzibar.
Hayo yakitokea VP na PM wapo kimya wakisubiri zamu yao, guess what! ipo siku wataulizwa tu na Watanganyika
Kwani hayo mafuta yalipoingizwa kwenye huo muungano yalipitia bungeni? Wacha yatole kwa njia njia hizo hizo yaliongizwaNa kama kero zinahusiana na mambo ya kikatiba inawezekana vipi akazimaliza bila kubadili katiba ya sasa?
Kwa mfano utaondoaje jambo la mafuta kwenye mambo ya muungano bila utaratibu wa kufanya hivyo kwa kulipeleka suala hilo bungeni ambapo inabidi upate theluthi mbili ya wabunge kutoka pande zote!
Hili ni tatizo, Wazanzibar wameshindwa kulielewa. Wakati wa JK waliambiwa wanaweza kwenda kukopa nje ya nchi.Na kama kero zinahusiana na mambo ya kikatiba inawezekana vipi akazimaliza bila kubadili katiba ya sasa?
Kwa mfano utaondoaje jambo la mafuta kwenye mambo ya muungano bila utaratibu wa kufanya hivyo kwa kulipeleka suala hilo bungeni ambapo inabidi upate theluthi mbili ya wabunge kutoka pande zote!
Hii ni kwa sababu viongozi wa Tanganyika ni vilaza.Wazenjibia wanaiuza Tanganyika kwa waarabu hivi hivi,nchi ngumu sana hii
Walilenga zaidi kujaza kifuko yao.Sielewi viongozi wa sasa walilenga nini
😆😆😆😆😆Walilenga zaidi kujaza kifuko yao.
Sijawahi kushuhudia utawala wa kihuni kama huu. Mungu anawaona wapuuzi hawa wanaotapanya rasimali za taifa kila kukicha.Mapato yatakayotokana na bandari za Tanganyika ni ya muungano na Zanzibar inapata mgao wake achilia mbali mgao wa 4.5% BoT kwa pato linalotokana na rasilimali za Bara.
Sasa hivi Zanzibar wana mpango wa kulipa wajumbe wa nyumba kumi mishahara. Tayari wazee wanalipwa pensheni na waliobaki wanatumia umeme bure. Hapo hawajui gharama za ulinzi , mambo ya ndani na nje au taasisi zingine za muungano.
Huyu Mbarawa anakuwaje waziri wa jambo lisilo la muungano? Sasa Rais wa JMT ni Mzanzibar, Rais wa SMZ ni Mzanzibar na Waziri ni Mzanzibar. Nani anamtetea Mtanganyika kwa usawa huo.
Uuzwaji wa bandari hauna uchungu isipokuwa kwa Watanganyika.
Nyerere, Mkapa, Kikwete , JPM walijua hilo hawakuwahi kufikiria. Walijua ni rasilimali na hazina za Watanganyika
Mwinyi aliuza Loliondo ''ujombani'' akiwa na Waziri Diria. Historia bwana!
JokaKuu Pascal Mayalla
Wakati ndio huu !Twende kazi
Huku ni Tanzania Bara !Hii ni kwa sababu viongozi wa Tanganyika ni vilaza.