Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Israel vipi akatae wakati ni US ndio anapanga naye, we bwege kweli. Hizo point ni za US na Israel wameona hawawezi kumshinda vita Hezbullah.Umeandika gazeti bila kujua details za hayo makubaliano bila kujiuliza nani alieomba /kupendekeza ceasefire na kwanini Hezbollah wameyakubali hayo mapendekezo na kwanini Israel inambwilambwila kutaka kukataa hiyo ceasefire?
Naona mnalima ndago!Haiiishiiiii hiii story za abunuasiii mpaka tusafishee gazaaa
Niko kwa masawe wakala
Ngoja tuoneSubir makubaliano yatiwe saini
Na wakikubali hezbollah watakuwa vibogoyo kabisa. Mikwara yote waishie kunyoosha mikono juu kizembe wakati wenzao wanaendelea kupewa kichapo?Ngoja tuone
Ila israhell wao na ile mikwara yao hawatakua wameshindwa huku raia wao wakiwa wakimbizi wa ndaniNa wakikubali hezbollah watakuwa vibogoyo kabisa. Mikwara yote waishie kunyoosha mikono juu kizembe wakati wenzao wanaendelea kupewa kichapo?
Mlokole wa JF anajiliwaza😅Na wakikubali hezbollah watakuwa vibogoyo kabisa. Mikwara yote waishie kunyoosha mikono juu kizembe wakati wenzao wanaendelea kupewa kichapo?
Wewe ndio kiongozi wa mabwege, kwani Biden hakuwahi kuja na ceasefire plan Hamasi wakaikubali na Israel wakaikataa?Israel vipi akatae wakati ni US ndio anapanga naye, we bwege kweli. Hizo point ni za US na Israel wameona hawawezi kumshinda vita Hezbullah.
Cjakuelewa madai ya hezbollah yalikuwa nininiMlokole wa JF anajiliwaza😅
View: https://x.com/zainabali_72/status/1861242549370827043?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wakimbiz watu wanarud na Gaza kichapo kinaendelea huku hezbollah viongoz karibu wote wameuwawaIla israhell wao na ile mikwara yao hawatakua wameshindwa huku raia wao wakiwa wakimbizi wa ndani
Wazayuni washaanza kulalama huko kwamba kusitisha vita na hizbollah ni pigo kwao wametoa sababu mbili moja sababu hawataweza rejelea kaskazini mbili sababu 70 asilimia ya miji huko kaskazini imebomolewa hawawaelewi viongozi wao kwanini wanasimamisha vita katika hali kama hiiiWakimbiz watu wanarud na Gaza kichapo kinaendelea huku hezbollah viongoz karibu wote wameuwawa
Nashrallah anawaona wenzake wanavosaliti hii kauli huku akiendelea kuigiza porn kwa AllahHakuna mkazi wa kaskazini anarejelea
Hezbollah wamekubali kurudi nyuma ya Mto Litani na eneo hilo litalindwa na Wanajeshi wa Serikali ya Lebanon pamoja na UN Blue Helmetskuwarudisha Hezbullah nyuma ya mto Letani.
Hezbollah hawana hamu ya Vita tena😆😁 FAFO waliyokutana nayo sio ndogo🤣🤣Na wakikubali hezbollah watakuwa vibogoyo kabisa. Mikwara yote waishie kunyoosha mikono juu kizembe wakati wenzao wanaendelea kupewa kichapo?
Walinichekesha kuna sehemu kutokea mipaka ya Lebanon ukienda upande wa mashariki kufika mto Letani ni karibu sana, lakini sio kwa uperation ya vita. Israel walienda kupiga picture kuonyesha eti askari zake wako Letani, time wanarudi wakukutana na wazee wa mjii wakawashughulikia ipasavyo 😁Wazayuni washaanza kulalama huko kwamba kusitisha vita na hizbollah ni pigo kwao wametoa sababu mbili moja sababu hawataweza rejelea kaskazini mbili sababu 70 asilimia ya miji huko kaskazini imebomolewa hawawaelewi viongozi wao kwanini wanasimamisha vita katika hali kama hiii
Wazayuni kwa propaganda hawafai kabisaaaaaaaWalinichekesha kuna sehemu kutokea mipaka ya Lebanon ukienda upande wa mashariki kufika mto Letani ni karibu sana l, lakini sio kwa uperation ya vita. Israel walienda kupiga picture kuonyesha eti askari zake wako Letani, time wanarudi wakukutana na wazee wa mjii wakawashughulikia ipasavyo 😁
Israel wanacho fanya ni show off ya Bollywood, sa kama kweli wamefika mto Letani ambao ni 10 km kutoka border si wainge pakalia kwa nguvu ni more safe kwao kuliko kusign mkataba, hizo zote ni propoganda ili kuwaonyesha watu wao jeshi lina nguvu, kumbe siagi 🤣
Nimekuambia sababu za hezbollah kuanzisha vita zimeisha?Wazayuni washaanza kulalama huko kwamba kusitisha vita na hizbollah ni pigo kwao wametoa sababu mbili moja sababu hawataweza rejelea kaskazini mbili sababu 70 asilimia ya miji huko kaskazini imebomolewa hawawaelewi viongozi wao kwanini wanasimamisha vita katika hali kama hiii
Hezbullah hawajakubali walio kubali ni serekali ya Lebanon na hio ni pressure ya US kwa hao mapuppets zake kule Lebanon wakawa na mpressure Nabi Al Bary kiongozi wa bunge la Lebanon ambaye ni Shia.Hezbollah wamekubali kurudi nyuma ya Mto Litani na eneo hilo litalindwa na Wanajeshi wa Serikali ya Lebanon pamoja na UN Blue Helmets
Na Usalama wa Raia Kaskazini mwa Israel Guaranteed.
Na nikakuuliza sababu za israhell kuanzisha vita zimeishaaaNimekuambia sababu za hezbollah kuanzisha vita zimeisha?