Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Una uhakika sportpesa ni Mali ya tarimba???au ndo yale yale wenye akili ni wawiliMakolo kaeni kwa kutulia, Sport Pesa ya Tarimba ndiyo Yanga ile ile, mnamaliza MB zenu bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika sportpesa ni Mali ya tarimba???au ndo yale yale wenye akili ni wawiliMakolo kaeni kwa kutulia, Sport Pesa ya Tarimba ndiyo Yanga ile ile, mnamaliza MB zenu bure
Kwani lazima watangaze utalii,wangeweka pichaya lissu tuEXACTLY! Ila hawakutaka kuonekana wanaiiga Simba na wakiacha jezi wazi wataonekana siyo wazalendo kwa kukataa kutangaza utalii, kwa hiyo wakaona liwalo na liwe.
Washukuru huyo Abbas Tarimba ni mtu wao, labda atafanya jambo la kuwasamehe ila hapa wangelipa fidia kubwa sana.
Hapo kwenye kutumia wanasiasa kuitishia sportpesa ndo umeongea,na si ajabu washafanya hivyo coz jamaa huwa hawashindwi kupindisha sheria alimradi lao liende.Basi hao wachina wawe makini zigo lisije likawaangukia wao. Kinachoweza kuwaokoa Yanga ni wanasiasa walio nyuma yao, wanaweza kuitisha SportPesa kuwa mazingira yao ya kufanya kazi nchini yanaweza kuwa magumu. Nchi hii mambo yakibumbuluka huwa hatutafuti chanzo, tunatafuta jinsi ya kuzima so.
Bonus ni kitu kidogo sana kwenye biashara au mkatabaHaujanijibu swali langu, kwanini sportpesa aweke vipengele vya bonus kwenye mashindano mawili tu ya ndani wakati inashiriki michuano ya kimataifa pia? Je mashindano ya kimataifa haiyahusu sportpesa?
NBC premier league na Azam Federation cupMashindano mawili yapi na yapi?
Mapinduzi sio mashindano ni bonanza, tuzungumzia mashindano yanayotambulika. Kwanini aliweka kipengele cha bonus? Na kwanini aishie bonus kwenye mashindano mawili tu? Mapinduzi sio mashindano aisee.Bonus ni kitu kidogo sana kwenye biashara au mkataba
Ni kitu ambacho kinatolewa kwa mapenzi kama motisha kuku encourage ili ufanye vizuri au hufanywa hivyo kama kivutio wengine waweze kuingia deal na hiyo kampuni
Bonus sio kitu cha lazima
Kwa upande mwingine ni kwamba SportPesa waliweza kusaini deal la mkataba na Yanga bila kuweka hizo bonus na bado wangeendelea kuhesabika kama wadhamini wakuu.
Na ndio maana ukiangalia katika mkataba waliokubaliana SportPesa na Yanga ilihusisha bonus ya ligi kuu na ASF, lakini hakukuwa na makubaliano yeyote ya maswala ya bonus kwenye mapinzduzi cup and still Yanga walivaa jezi yenye nembo ya SportPesa
Hiyo ni kwasababu
portPesa kanunua jezi, haijalishi ni mashindano gani Yanga anacheza lazima logo ya SportPesa iwekwe kiifuani, vinginevyo ni mpaka SportPesa mwenyewe aridhie
Hawajasema hakuwajibu. Wamesema walikubaliana ndio maana wanashangaa kuona malalamiko mitandaoniYanga wametoa tamko, wamesema walimuomba Sportpesa ruhusa, sportpesa hakuwajibu
Nionyeshe kwanza nilipoitaja Tottenham.Tukitoa tottenham ni timu gani umewahi shuhudia?
Karudie kusoma, Sportpesa hawakuwajibuHawajasema hakuwajibu. Wamesema walikubaliana ndio maana wanashangaa kuona malalamiko mitandaoni
Sheria inawabana kuanzia makundi. Uzamini wa caf unaanzia makundiKwenye preliminary stage Yanga walivaa jezi za sportpesa, ile ilikuwa local?
Mkuu CUF tena?? Lipumba atakutafutaKwahiyo niulize endapo CUF wangesema kila timu ivae uzi wenye nembo ya 1*Bet, Sportpesa wangesema Yanga atulipe fidia? Na je kama mdhamini wako mkuu ni Sportpesa akija kesho akasema kwenye kifua andika Mo energy utakubali kisa yeye ndiye mdhamini mkuu?
Alafu ukisoma waraka huo unaodaiwa kuwa wa sportpesa inaonekana Yanga hajaenda kuomba ruhusa Sportpesa bali aliwataarifu/kuwafahamisha tu kwamba kwenye mashindano haya tutakuwa na fulani. Mwisho siamini kama kweli ni waraka wa Sportpesa maana una ushabiki ndani yake.
Hamna kitu humo. Walishayaweka sawa hayo. Kolo ndiyo aliwekewa ngumu akamutepole sana Abbasi tarimba ndio ujue kufanya kazi kishikaji matokeo yake ndio haya.
View attachment 2502284
View attachment 2502285
View attachment 2502295
Kumbe unaongelea barua aliyotoa sport pesa mwenyewe? Tafuta updates za Yanga uwasikieKarudie kusoma, Sportpesa hawakuwajibu
Wewe itakuwa umebadili username. Kuna jamaa anaongeaga kama wewe ni mbishi kama shida zangu.Sheria inawabana kuanzia makundi. Uzamini wa caf unaanzia makundi
Mapinduzi ni mashindano sio bonanzaMapinduzi sio mashindano ni bonanza, tuzungumzia mashindano yanayotambulika. Kwanini aliweka kipengele cha bonus? Na kwanini aishie bonus kwenye mashindano mawili tu? Mapinduzi sio mashindano aisee.
Leta hapa huo mkataba tusome mbona mnafichaMkataba wa Yanga na Sportpesa ni kwenye swala zima la jezi
Sportpesa pesa kalipia eneo la kifua kwenye jezi ya Yanga kuwa lile ni eneo lake isipokuwa tu kwenye mashindano ya CAF ambayo tayari yameset sheria kwa kutoruhusu mdhamini anyejishughulisha na betting
Kwa maana hiyo sasa kampuni yeyote ambayo haijishughulishi kwenye maswala ya bahati nasibu inapotaka kuingia makubaliano na Yanga ni lazima Sportpesa pesa ndiye awe mru wa mwisho kuidhinisha au kubatilisha hilo ombi
Kwasababu Sportpesa pesa ni mdhamini mkuu na sehemu wanayotaka kuweka logo yao tayari ni sehemu ambayo Sportpesa ameilipia kwa miaka mitatu
Acha kukaa vijiweni nyie ndio wale kila kitu mjini ni cha RiziwaniHapo kwenye kutumia wanasiasa kuitishia sportpesa ndo umeongea,na si ajabu washafanya hivyo coz jamaa huwa hawashindwi kupindisha sheria alimradi lao liende.
Ila siku jakaya akienda zake jamaa watapata tabu sana,coz anawakingia kifua sana yule mzee,hususani kwenye mambo ya hovyo hovyo ambayo yeye mwenyewe ni master wa mambo hayo.
Kama wanahusika kwanini walipendekeza timu ivae visit Tanzania? Kwanini wasingekomalia timu ivae hiyo hiyo sportpesa kifuani?Wewe itakuwa umebadili username. Kuna jamaa anaongeaga kama wewe ni mbishi kama shida zangu.
Kuna mnaosema Sportpesa hana mamlaka na Yanga kwenye mashindano ya CAF, mnakumbushwa mbona Yanga alikuwa wanavaa nembo yao kwenye hatua za awali, unarudi kuongelea sheria za hatua za makundi kama vile hakuna anayejua kuhusu sheria za CAF. Swali ni kama Sportpesa hausiki mashindano ya kimataifa kwenye mkataba na Yanga, mbona walivaa nembo yao hapo kabla?
Acha ubishi dogo.
Kweli upo serious unajumisha mapinduzi cup kwenye mashindano? usha wahi ona mashindano mchezaji anaweza cheza bila kusajiliwa? naomba unitajie qualifications za kucheza mapinduzi, upgrade your IQ pleaseBonus ni kitu kidogo sana kwenye biashara au mkataba
Ni kitu ambacho kinatolewa kwa mapenzi kama motisha kuku encourage ili ufanye vizuri au hufanywa hivyo kama kivutio wengine waweze kuingia deal na hiyo kampuni
Bonus sio kitu cha lazima
Kwa upande mwingine ni kwamba SportPesa waliweza kusaini deal la mkataba na Yanga bila kuweka hizo bonus na bado wangeendelea kuhesabika kama wadhamini wakuu.
Na ndio maana ukiangalia katika mkataba waliokubaliana SportPesa na Yanga ilihusisha bonus ya ligi kuu na ASF, lakini hakukuwa na makubaliano yeyote ya maswala ya bonus kwenye mapinzduzi cup and still Yanga walivaa jezi yenye nembo ya SportPesa
Hiyo ni kwasababu
portPesa kanunua jezi, haijalishi ni mashindano gani Yanga anacheza lazima logo ya SportPesa iwekwe kiifuani, vinginevyo ni mpaka SportPesa mwenyewe aridhie
Haya mambo sio rahisi kuyatolea ufafanuzi kwa sababu iyo mikataba yenyewe hatujaiona ni vyema mkataba ukawekwa hadharani ndio tujue nani yupo sahihi ila hapa yanga na SportPesa kama organizations tofauti lazima kila mmoja atatoa maelezo ya kujijitetea aonekane hana kosa ivyo ivyo kwenye suala la feisal ulilokua unaunga mkono kilichofanywa na feisal sio sawa kufanya ivyo kwa kuangalia mistari miwili ya mkataba iliyovujishwa mitandaoni wakati mkataba una kurasa zaidi ya 5. Uwekwe kwanza mkataba wote hadharani, iwekwe hadharani iyo document ya yanga kwenda sportpesa kuwajulisha wanaweka mdhamini mwingine, ziwekwe wazi taratibu za mikataba zinasemaje kwenye mashindano husika hapo ndio tutajua mbivu na mbichi. Binafdi sijasema kwamba yanga haina kosa ninachojaribu kusema tusitoe hitimisho kwa kusukumwa na hisia za kishabiki maana nina uhakika kabisa hiki jiki kilichofanywa na viongozi wa yanga na mashabiki wa simba wanapinga kingefanywa na viongozi wa simba basi mashabikihao hao wa somba wangeteteaHivi unafikiri Yanga walikuwa wajinga kupeleka ombi kwa Sportpesa kuona kama wataruhusiwa kuweka mfadhili mwingine?
Unajua ile Visit Tanzania kwenye jezi ya Simba iliwekwa kwa idhini ya Sportpesa na sio maamuzi ya Club?