Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Kila mtu huona upande wa mwenzieAngekuwa mtoto wa nduguyake either dada au kakayake alafu mumewe angekataa angejisikiaje
Kwanin watu wakioana tu wapewe ndugu wa kuwalea??zamani waliishi wapi ,mtu akioa au kuolewa unashangaa wanapelekewa ndugu kukaa nae watu wajifunze kuwaacha watu walooana waishi kwa amani