Mke kuleta ndugu likizo kupumzika na kukaa miezi bila dalili ya kuondoka

Angekuwa mwanamke ndio kaanzisha huu uzi, ungesikia wanawake wana roho mbaya hawapendi ndugu wa mume, wanapenda ndugu zao tu ndio wawatembelee
Tàtizo wanaume tunakufa na tai shingoni, yawezekana jamaa bajeti inamtatiza badala awe muwazi anaogopa kuonekana mwanaume suruwali.
Amwambie tuu mkewe madeni yamemzidia mke ataelewa siyo kutoa sababu za kinyonge.
 
Wape likizo wote!
 
Wakuu hii imekaaje mke kuleta ndugu bila taarifa kuja kukaa likizo nakusalimia nakukaa miezi bila kuondoka..mke akiulizwa anasema anaogopa kumwambia atamwambiaje ataona amfukuza
Kwakuwa wewe ni bwege.
 
Wakuu hii imekaaje mke kuleta ndugu bila taarifa kuja kukaa likizo nakusalimia nakukaa miezi bila kuondoka..mke akiulizwa anasema anaogopa kumwambia atamwambiaje ataona amfukuza
Hata namna ya kuongea na mkeo unataka tukufundishe?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…