Mke mgonjwa amuomba mumewe amletee EX wake afurahie penzi kwa mara ya mwisho kabla ya kufa

Haina shida. Hata mimi nina girlfriend wangu ambaye tuliachana kama 6 years ago. Huyu mdada hadi anafika miaka 29 alikuwa hajui mwanamke kukojoa ni nini hadi alipokutana na mimi. Tumeachana ila akitaka kukojoa lazima anitafute. Hakuna zaidi ya hicho
 
Dah!Ila mnatufanya tuishi maisha ya "henzapu/hands-up" sana.Tutafika tunatiririkwa na machozi ya uchungu huku tukijidai ni mchanga tu ndiyo uliingia machoni.๐Ÿค”
Tunawaashangaaga humu mnavyosemagaa my wife this my wife that...mnajimwambafai wenyewe...Nyie hamtujui sisi nawaambiaa Mungu alituumba kwa namna ya pekee kidogo..."big pretenders"..sisi tunawachoraga tu humu
 
Tunawaashangaaga humu mnavyosemagaa my wife this my wife that...mnajimwambafai wenyewe...Nyie hamtujui sisi nawaambiaa Mungu alituumba kwa namna ya pekee kidogo..."big pretenders"..sisi tunawachoraga tu humu
Usiwape code zote watatuogopa..!laiti siku wanawake wangeamua kufunguka ya ndani ndani tungebaki tunashika tama!
 
Mke anataka afeel utamu wa penzi mara ya mwisho kabla hajafa,wala sio sababu ya mmewe akalale na mke wa x wa mkewe.

Mgonjwa aheshimiwe.
Si amuelekeze anavyotaka kufukuliwa mtaro jamaa amshughulikie tu maana vipaji havifanani kuna waliozaliwa navyo na waliojifunza amfundishe kula na mikono alieokuwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ