Kwani mwanamke akijikuruhu (kujivua ndoa) Kuna shida gani?
Dini ya kiislam Ina utaratibu huo Kama mwanaume hataki kutoa talaka mwanamke anajivua.
Mke w mwaka atumie option hiyo vinginevyo Kuna Jambo amelilenga.
Wewe si sehemu ya Watu wanaolazimishaga Wanawake waendelee kukaa kwenye Ndoa zao hata kama zina Matatizo au mateso mpk mwisho wa Siku wanapigwa na kuumizwa au tunakuja kuona Polisi wanatangaza Ameuliwa na Mume wake.Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?
Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
wanawake wengi wa kiisilamu mala nyingi wakipelea mashauli yao ya ndoa wakipewa tala tibu hawa awako tayali kuzifuata hata wanaume watu wengi udhani kuachani rahis rahis kama wengi wanavio dhani ukichunguza ndio nyingi zinavunjika bila kuufuata talatibu hivio wanawake wengi wanaolewa kwengine wakiwa bado ni wake za watu hakuna kuachana katika ausilamu bila mwanamke kuketi edaKwani mwanamke akijikuruhu (kujivua ndoa) Kuna shida gani?
Dini ya kiislam Ina utaratibu huo Kama mwanaume hataki kutoa talaka mwanamke anajivua.
Mke w mwaka atumie option hiyo vinginevyo Kuna Jambo amelilenga.
huyo mwanamke ni kicheche ange subili maamuzi ya viongozi wa dini alio wapelekea shauli hawajatoa hukumu kaisha lipuka yeye alidhani akieda huko tu akifika tu anapewa talakaSema mambo ya ndoa mengi hayasemwi hadharani, ila mwaka nae alishawahi kimleta kwenye media tena wake wote wawili kwa kujidai kwamba iko vizuri nao, Mke kaiga hilo, what goes round comes round, mwaka is responsible kwa hi saga......kwani ni wangapi wanamgogoro na wake zao ila wanamalizana kimya kimya, huwezi kushindana na mwanamke kwenye vita ya kupata sympathiser iko tayari hata kulia ili kupata huruma yako hata kama yeye ndo mkosaji kwani yeye Mwaka hakujua hilo, Mwaka hawezi kushinda hiyo vita atadhalilika zaidi na zaidi kuna NGO nyingi za kutetea haki zawanawake watadandia hi case asubhi mapema. Bora atoe talaka yaishe mapema.
Shida iko wapi akipatia amani kwenye ndoa ingine? Kwahiyo aendelee kuvumilia sehemu isiyompa aman.Atoe talakaHuyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?
Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
hakuna sheria inatosema hayo unayoyasema huyu anataka taraka then amgeuzie kibao mbele ,sheria ya ndoa inatambua mgawanyo wa mali kwa mke uliemuacha kwa talaka na si mwanamke aseme tu nawe ukurupuke utakuja juta Mabele arude kwa mumewe akapigwe mboo tu.Sasa amejiingiza kwenye mtego wa Dr. Mwaka bila kutarajia.
Nadhani hakuwa anajua kwamba sio kama Dr. Mwaka haitaji waachane, ila ni mwamba hataki waachane kisha wagawane mali
Hii angeijua mapema angezichanga karata zake vizuri.
nakubaliana na mewe asilimia 100 chanzo halisi mwanamke atakua kapata jamaa anamkamua. Mwanamke akishatoka njia kuu hawezi kurudi.Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?
Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
Aiseeee....Amuomba Rais Samia, viongozi wa serikali na viongozi wa dini wamsaidie ili apate haki yake awe huru na kupata amani.
Kama ameshamchoka unalazimishaje waendelee kuwa pamoja? Ndoa ni makubaliano ya HIARI ya wawili kuishi pamoja. Kama mmoja wao hataki ndoa, talaka ni lazima itoke, vinginevyo ni udikteta!Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?
Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
Mali ni kitu kidogo sana ,amani ndo Kila kituSasa amejiingiza kwenye mtego wa Dr. Mwaka bila kutarajia.
Nadhani hakuwa anajua kwamba sio kama Dr. Mwaka haitaji waachane, ila ni mwamba hataki waachane kisha wagawane mali
Hii angeijua mapema angezichanga karata zake vizuri.
Talaka ziko tatu, hutolewa moja kwa kipindi kimoja.swali kuna aina ngapi za talaka?
na hili hiwe tala 1 anakuwaje?
hili zihesabike talaka 3 inakuwaje?
Hataki ndoa na huwezi mlazimishaHuyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? Kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?
Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.