Mke wa Dkt. Mwaka asema yuko tayari kumuachia Dkt. Mwaka kila kitu mradi apate amani

Mke wa Dkt. Mwaka asema yuko tayari kumuachia Dkt. Mwaka kila kitu mradi apate amani

Talaka muhimu huko kujivua ni kutaka awatenge hadi wanae
Kwani mwanamke akijikuruhu (kujivua ndoa) Kuna shida gani?
Dini ya kiislam Ina utaratibu huo Kama mwanaume hataki kutoa talaka mwanamke anajivua.
Mke w mwaka atumie option hiyo vinginevyo Kuna Jambo amelilenga.
 
Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?

Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
Wewe si sehemu ya Watu wanaolazimishaga Wanawake waendelee kukaa kwenye Ndoa zao hata kama zina Matatizo au mateso mpk mwisho wa Siku wanapigwa na kuumizwa au tunakuja kuona Polisi wanatangaza Ameuliwa na Mume wake.

Sio changamoto zote kwenye Ndoa zinaweza kuvumilika na sio wote wameumbiwa Moyo wa kuvumilia Matatizo.

Amani sio lazima Watu wawe pamoja, wanaweza kuachana na kila Mmoja akawa na Amani
 
Kwani mwanamke akijikuruhu (kujivua ndoa) Kuna shida gani?
Dini ya kiislam Ina utaratibu huo Kama mwanaume hataki kutoa talaka mwanamke anajivua.
Mke w mwaka atumie option hiyo vinginevyo Kuna Jambo amelilenga.
wanawake wengi wa kiisilamu mala nyingi wakipelea mashauli yao ya ndoa wakipewa tala tibu hawa awako tayali kuzifuata hata wanaume watu wengi udhani kuachani rahis rahis kama wengi wanavio dhani ukichunguza ndio nyingi zinavunjika bila kuufuata talatibu hivio wanawake wengi wanaolewa kwengine wakiwa bado ni wake za watu hakuna kuachana katika ausilamu bila mwanamke kuketi eda
 
Sema mambo ya ndoa mengi hayasemwi hadharani, ila mwaka nae alishawahi kimleta kwenye media tena wake wote wawili kwa kujidai kwamba iko vizuri nao, Mke kaiga hilo, what goes round comes round, mwaka is responsible kwa hi saga......kwani ni wangapi wanamgogoro na wake zao ila wanamalizana kimya kimya, huwezi kushindana na mwanamke kwenye vita ya kupata sympathiser iko tayari hata kulia ili kupata huruma yako hata kama yeye ndo mkosaji kwani yeye Mwaka hakujua hilo, Mwaka hawezi kushinda hiyo vita atadhalilika zaidi na zaidi kuna NGO nyingi za kutetea haki zawanawake watadandia hi case asubhi mapema. Bora atoe talaka yaishe mapema.
huyo mwanamke ni kicheche ange subili maamuzi ya viongozi wa dini alio wapelekea shauli hawajatoa hukumu kaisha lipuka yeye alidhani akieda huko tu akifika tu anapewa talaka

kwanza lazima wote yeye na mumewe wakalishwe wasikize pende zote 2 kisha maamuzi yatolewe

kama mwanake sababu zake ni zamsingi kulingana na imani husika viongozi wa dini watamuamulu mwaka kumtaliki

lakini kama sababu sio za kweli bimana mke akawa amtaki mume mke ataamuliwa kurudisha mahari aliompa kisha aende zake
 
Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?

Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
Shida iko wapi akipatia amani kwenye ndoa ingine? Kwahiyo aendelee kuvumilia sehemu isiyompa aman.Atoe talaka
 
Sasa amejiingiza kwenye mtego wa Dr. Mwaka bila kutarajia.

Nadhani hakuwa anajua kwamba sio kama Dr. Mwaka haitaji waachane, ila ni mwamba hataki waachane kisha wagawane mali

Hii angeijua mapema angezichanga karata zake vizuri.
hakuna sheria inatosema hayo unayoyasema huyu anataka taraka then amgeuzie kibao mbele ,sheria ya ndoa inatambua mgawanyo wa mali kwa mke uliemuacha kwa talaka na si mwanamke aseme tu nawe ukurupuke utakuja juta Mabele arude kwa mumewe akapigwe mboo tu.
 
Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?

Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
nakubaliana na mewe asilimia 100 chanzo halisi mwanamke atakua kapata jamaa anamkamua. Mwanamke akishatoka njia kuu hawezi kurudi.
 
Tatizo lilopo kati ya hawa wawili ni ukosefu wa maadili (maadili ya dini na kijamii/familia). Kwa mwanamke aliefundwa na mwenye kuyafahamu vyema hayo maadili yote mawili hawezi kwenda kubwatuka ofisi za dini yake km tulivyoona ktk clip. Na wala hawezi kutoa faragha zake kwenye vyombo vya habari ili kutafuta amani. Muda mwingine unaweza hata kuhoji elimu zao wote wawili maana wanatia shaka kwa maamuzi yao. Kwani wao ndio wa kwanza kuachana, mbona huwa hatusikii haya makelele(ukiacha hawa wa juzi nao waliokuwa wanaaibishana mtandaoni, bila shaka mnawajua). Maswalli ya kujiuliza:
1) Hivi wote hawana wazazi. Km wapo je wameshindwa kumaliza kifamilia. Km hawapo je hawana watu wao wa jirani kuwasaidia kutanzua mgogoro wao.
2) Hivi hawana dini. Km wanayo, kwanini wasingeenda kwa viongozi wao wa dini wayamalize kimyakimya.
3) Kwa nini wanakimbilia vyombo vya habari. Huku wanatafuta mssada gani na kutoka kwa nani.
4) Kwa nini mwanamke aombe mssada hadi kwa serikali au Rais wakati anajua taratibu zote za kupata haki zake. Mbona kupewa talaka hakuiomba serikali au Rais amsaidie.
5) Anasema anataka amani ya moyo, kwani mtalaka wake ana mtishia maisha. Km jibu ni ndio, kwa nini asiende kuripoti vyombo vya Dola.
6) Kwanini mwanamke amekuwa akipenda sana kusista kuachana Wala si kusuluhishwa, keshaona wakiachana atafaidi Nini ambacho kitamuumiza mumewe.
7) Kwa nini mwanamke anataka suala la kuachana na mumewe liwe la kitaifa badala ya personal issue. Kuomba msaada serikalini, kwa Rais na kujianika kwenye vyombo vya habari vinathibitisha hili.

Pole zao.
 
Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?

Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
Kama ameshamchoka unalazimishaje waendelee kuwa pamoja? Ndoa ni makubaliano ya HIARI ya wawili kuishi pamoja. Kama mmoja wao hataki ndoa, talaka ni lazima itoke, vinginevyo ni udikteta!
 
Mwaka funga madirisha yako, Msukuma atakuvua nguo huyo.
We ng'ang'ana tu na media utadhani mlikutana kwenye media.
 
Sasa amejiingiza kwenye mtego wa Dr. Mwaka bila kutarajia.

Nadhani hakuwa anajua kwamba sio kama Dr. Mwaka haitaji waachane, ila ni mwamba hataki waachane kisha wagawane mali

Hii angeijua mapema angezichanga karata zake vizuri.
Mali ni kitu kidogo sana ,amani ndo Kila kitu
 
swali kuna aina ngapi za talaka?

na hili hiwe tala 1 anakuwaje?

hili zihesabike talaka 3 inakuwaje?
Talaka ziko tatu, hutolewa moja kwa kipindi kimoja.

Yaani talaka moja, anakaa eda (au anarejewa na ndoa inaendelea), talaka ya pili (anakaa eda tena). Akirejewa ikitolewa ya tatu ndiyo zimekwisha na mpaka aolewe na mume mwingine awachwe ndiyo huyu mume wa kwanza anaweza kumuoa.

Hakuna talaka tatu zinazotolewa kwa mpigo mmoja.
 
Huyo Mwaka kwa akili hizo za kisoda anawezaje kuishi na wanawake wengi...
Mwanamke kamzidi akili na busara...
 
Huyu mwanamke kwa nini analazimisha talaka? Kama kuna tatizo kati yake na mwenzie kwanini wasikae chini wayamalize, kama kweli anataka amani? iweje kwake amani iwe inapatikana tu kwa kutengana na mwenzie?

Hapo kuna jambo, huyu mwanamke ndio kati ya wale unamuacha saa sita mchana, ikifika saa nane, unasikia yupo sehemu nyingine anafunga ndoa.
Hataki ndoa na huwezi mlazimisha
 
Back
Top Bottom