Hapo mfano Mama akipata akifariki mgawanyo wa Mali unakuwa vipi hapo au akiolewa na Mume mwingine akamuandikisha Malio wake😬Ana roho nzuri kwa sababu hajawanyima wanae mali bali amezitunza ziwafae baadaye.
Mke anadai talaka ili wagawsne mali. Hana habari na hisia za wanae
"HiLI nalo mkalitazame"
Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.
Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.
Inaelezwa kuwa mahakama imebaini Ashraf Hakimi alishaweka mali zake zote kwa jina la mama yake muda mrefu uliopita.
Unaelewa maana ya "bora"?Mnaosema bora ndugu mna hakika? au hamjajua
SpainHuyo mke wake ni raia wa wapi
Wosia umeandika mrithi ni HakimiHapo mfano Mama akipata akifariki mgawanyo wa Mali unakuwa vipi hapo au akiolewa na Mume mwingine akamuandikisha Malio wake😬
Na takaye tokea kumpinga uenyekiti wake basi uanachama afutwe mara moja!!Huyu anapewa umwenyekiti wakudumu kabisa
Hata mimi nimeanza kuwaelewaKataa ndoa kuna muda nawaelewa.
Hapo penye madeni ni big heckoMahakama ingewagawanya hata madeni kama jamaa anayo.
Mama mkwe wa mchongo huyo 😁😁kiazi kweli kweli ila kwa kuwa roho yake ilikuwa tayari na jambo baya moyoni ndio hivyo yametokea ya kutokea.
alafu wamama nao bwana, kumbe alikuwa anamsafinifu tuu mrimbwende 🤣🤣🤣🤣🤣
😃😃Amejua kutuheshimisha huyu jamaa
😁😁😁 Hii ndio undava undava yaani 🤭🤭🤭Mahakama ingewagawanya hata madeni kama jamaa anayo.
Ni kweli na mimi nimeanza kumuelewa RonardoSio yule Emmanuel Eboue aliekuwa akipata mshahara wote anatuma kwa mkewe ndo aweke uwekezaji.Mwisho wa siku Emmanuel akapigwa talaka na kuambulia zero.Ashraf kweli Mungu alimuongoza,hawa warembo wengi wanakimbilia wacheza mpira sababu ya pesa. Ndo maana C.Ronaldo hataki kufunga ndoa na Georgina.
weee anajua uchungu wa anayopitia mwanae na aliyopitia yeye mwenyewe mpaka mtoto kufikia hapo alipo. wacha mama aenjoy.Mama mkwe wa mchongo huyo 😁😁
Vyovyote vileHapo mfano Mama akipata akifariki mgawanyo wa Mali unakuwa vipi hapo au akiolewa na Mume mwingine akamuandikisha Malio wake😬
ah ndio wanawake wote wapo hivyo wanataka tuu kula mali za mwanaume.Sio yule Emmanuel Eboue aliekuwa akipata mshahara wote anatuma kwa mkewe ndo aweke uwekezaji.Mwisho wa siku Emmanuel akapigwa talaka na kuambulia zero.Ashraf kweli Mungu alimuongoza,hawa warembo wengi wanakimbilia wacheza mpira sababu ya pesa. Ndo maana C.Ronaldo hataki kufunga ndoa na Georgina.
Apewe tuzo za Nobel kabisa, amecheza kama Pele vile 😀😀😀😂😂😂Amejua kutuheshimisha huyu jamaa
He he he kumbe adi wadada wapo Kataa ndoa🤣🤣🤣🤣 japo mi nimeolewa ila we jamaa kila nikiona hii comment yako nacheka hoi🤣🤣🤣🤣🤣
Hii haimaanishi naunga mkono hoja yako sema tu unaniua mbavu na huu msimamo wako🤣🤣🤣