Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali.

Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote.

Inaelezwa kuwa mahakama imebaini Ashraf Hakimi alishaweka mali zake zote kwa jina la mama yake muda mrefu uliopita.
"HiLI nalo mkalitazame"
 
Kwetu tumezaliwa watatu, wa kiume mmoja na wakike wawili, kila ninachomiliki nimeandika kwa majina mawili ya wadogo zangu.

Sitaki uhuni wa kugawana mali kama tulitafuta wote pamoja , bora nigawane na wadogo zangu .
 
Sio yule Emmanuel Eboue aliekuwa akipata mshahara wote anatuma kwa mkewe ndo aweke uwekezaji.Mwisho wa siku Emmanuel akapigwa talaka na kuambulia zero.Ashraf kweli Mungu alimuongoza,hawa warembo wengi wanakimbilia wacheza mpira sababu ya pesa. Ndo maana C.Ronaldo hataki kufunga ndoa na Georgina.
Ni kweli na mimi nimeanza kumuelewa Ronardo
 
Sio yule Emmanuel Eboue aliekuwa akipata mshahara wote anatuma kwa mkewe ndo aweke uwekezaji.Mwisho wa siku Emmanuel akapigwa talaka na kuambulia zero.Ashraf kweli Mungu alimuongoza,hawa warembo wengi wanakimbilia wacheza mpira sababu ya pesa. Ndo maana C.Ronaldo hataki kufunga ndoa na Georgina.
ah ndio wanawake wote wapo hivyo wanataka tuu kula mali za mwanaume.
ni mwanaume mwenye hela bwege tuu kama mengi ndio anafunga ndoa. wajanja wote wenye hela unamuweka mwanamke ndani unamkula mbususu na hudumaunatoa basi ila no ndoa. na hamna mwanamke duniani akataa kuliwa mbusus na bilionea ata kama hamna ndoa
 
Back
Top Bottom